I cant imagine mapigo ya moyo ya kibaka huyu kabla ya kiberiti...Poor him

adhabu hii ndo safi sana..hakuna cha sio fair hapa piga kiberiti tu ndo inafaa
 
Tena ni jambo la dakika moja tu maana hana faida katika jamii,ni afadhali angeomba hata kazi ya kubeba zege sehemu kuliko kuiba.

Endelea na msimamo huohuo na huku UKIOMBA Mungu isijeikatokea siku watu wakakupigia kelele za mwizi kwa makosa au kwa fitna. Kumbuka ule msemo usemao, "Usutukane mamba kabla huujavuka Mto". Inawezakana isikutokee wewe lakini ikamtokea mtu wako wa karibu.
 
kwahakika vibaka namajizi niwatuwabaya mno ila wanastahiki kukatwa mikono wakiiba siokuchoma,nakwaupande wapili kuchoma moto au kupiga bila kudadisi haifai,kuna nduguyangu alitaka kuibiwa nakibaka akapambana nae kibaka alipozidiwa nguvu akapiga kelele kumpigia yowe lamwizi huyu ndugu alietaka kumuibia,watu wakaanza kumpa kipigo yule aliebiwa akaokolewa na watu waliokua wanamjua kua ni mtu na kazizake napesazake.usiombe yakukute.
 
Back
Top Bottom