I can't enjoy sex

atumie njia ya kalenda.ni nzuri tu,au umwage nje

Kisukari njia ya kalenda haiwezi kutumika kwa mtu ambaye hapati menses, atafanyaje timing?, halafu ni njia nzuri kwa wenye 28 days cycle. coitus interruptus requires sufficient self control by the man so that withdrawal of penis precedes ejeculation, but also the chance of pregnancy is more as precoital secretions may contain sperms.
 
Kama mtoto ananyonya kisawasawa ni kinga tosha dhidi ya mimba , mkeo hawezi kupata ujauzito kabisa...ila ni lazima mtoto anyonye sana na mtoto akinyonya vizuri mama amalizapo tu kumnyonyesha mtoto atajisikia kama kizunguzungu vile hapo ndiyo atajua kuwa mtoto kanyonya vizuri na hawezi kupata mimba akisex..pia ni vizuri mkaenda kuonana na dr bingwa wa uzazi atawapa ushauri mzuri na wa uhakika zaidi....lakin kuonya vizuri kwa mtoto ni kinga nzuri dhidi ya mimba.
Si lazima mpaka asikie kizunguzungu, lakini ni kweli kwamba kama mama anaenyonyesha mara 5 - 6 au zaidi, mtoto akashiba vizuri anaweza asipate mimba kwa miezi mpaka kumi, lakini wake zetu wengi wafanyakazi, akimaliza maternity likizo hataweza kunyonyesha mara nyingi hivyo na hivyo atakuwa kwenye risk.
 
Take it easy bro. Ku enjoy ni mawazo zaidi kuliko hali halisi. Ni kweli kuwa kuna tofauti kati ya kutumia na kutotumia condom. Taste ni tofauti. Jambo la msingi ni kuwa condum ni BEST option maana hizo njia nyingine zote zina MADHARA sana. soma hii makala
VIDONGE VYA MAJIRA NA MADHARA YAKE




Vidonge vya majira vimekuwa maarufu sana hasa katika miaka ya hivi karibuni. Maisha ya kisasa yamechangia na kuhamasisha sana matumizi yake. Soma makala hii ujifunze mengi ndani yake. Utafunguka macho zaidi.


Birth control pills have come a long way from their discovery in the 60s to their present form and are a preferred choice of birth control for as many as 18 million women. There are different brands of pills available and these contain progestin and estrogen in differing dosages. There are many benefits to the use of birth control pills. The most important benefit of the birth control pill is that it helps in prevention of ovarian cancer and also cancer of endometrium which is the lining of the uterus. Other benefits of these pills include reduction in cramps during the menstrual cycle.


Over the years there have also been many reports about the side effects of these birth control pills. Following these reports authorities have had to keep a close watch on these oral contraceptives. Since women tend to take these pills for a long period of time this medicine has been subjected to comprehensive studies in order to determine serious side effects if any.

Currently studies indicate that healthy and non smoking women can continue using the pills without any harmful side effects. Some possible side effects of the birth control pills that have been observed include irregularity in menstrual bleeding and headaches, dizziness and also breast tenderness. Other side effects of these pills include nausea and hand weight gain.

Some women have reported unusual changes in mood including depression following the use of the birth control pills. In the past there have been reports of the relation between these pills and cancer. Some studies have reported that certain women tend to have a greater risk of cancer with the use of birth control pills. These studies however have not been completely conclusive.


Following are some other serious and harmful side effects of the birth control pills.
  • Smokers who take birth control pills have a greater chance of getting cancer.
  • If the individual who is taking birth control pills is too young then she might experience an acne yeast infection and it is difficult to completely cure this infection.
  • Weight gain of around 12 pounds can be observed in women who take birth control pills.
  • Birth control pills may cause the formation of cysts in the breasts and these may feel painful and tender to touch.
  • Birth control pills can also cause blood clots. The possibility of this is rare particularly if the woman is over 35 years of age and does not smoke. A blood clot can occur in an artery or vein and have varying symptoms depending on the location of the clot. These clots can form in abdomen or legs and even in heart or lungs. A clot could in turn cause a stroke. With other factors such as a history of heart disease, blood pressure problems and clotting tendency the use of birth control pill could be dangerous.
  • Birth control pills can cause severe shortness of breath and chest pain in some cases.
  • These pills can cause problems of blurred vision or even loss of vision in some cases and severe leg pain in some other cases.
  • It has also been noted that there can be increased risk of women suffering with breast cancer following extensive use of birth control pills.
  • Some studies have also indicated that use of birth control pills can also result in development of blood pressure problems.
  • Women using birth control pills may also develop cancer of the liver (development of benign tumors in the liver) and gall bladder disease.
  • Some other effects of use of birth control pills include reduced satisfaction in sex, heart problems and possibilities of experiencing cervical dysplasia
A decision to choose the pill as a way of birth control should be taken by the concerned woman only after carefully weighing the benefits and considering the risks involved in the same. It is best for the concerned woman to consult a medical professional or a trusted health professional so that all the benefits and the risks can be thoroughly discussed before any decision is taken. It is also in the best interest of the woman to get all her queries and issues answered by the right people.
 
Mwambie akaweke kitanzi.

Yes Loop is another good alternative, Loop is especially recommended for women who are smoking as they cant use pills. For non smokers, pills are number one then Loop, advantage of loop is that it has no systemic side effects, it has prolonged contraception protection after insertion (5 to 10 yrs), its reversibility to fertility is prompt after removal. disadvantages of loop are adverse local reactions with pelvic inflamatory disease, pelvic pain and dysmenorrhoea (congestive type) and also risk of ectopic pregnancy is increased with the use of Loop. The pill has the advantage of having no adverse effects to lactation and it reduces risk of PID and endometrial cancer. disadvantages are acne (chunusi), mastalgia (maumivu ya matiti) headache and breakthrough bleeding but all are temporary and they disappear two weeks to three months of use,

There is no drug without side effects, the same applies to contraceptives especially hormonal contraceptives, so depending on ur decision you can choose whatever you want to use. BTW is not that all who use get side effects but you can never tell who will get who wont.

Waone wataalam wa uzazi na malezi bora UMATI watakusaidia zaidi, au vituo vinavyotoa ushauri katika uzazi wa mpango kama Amtulabai pale mnazi mmoja na UMATI Muhimbili. They are more specialized and you will get what you want.

Hii isiwe tu kwa ajili unataka kuenjoy sex, lakini pia iwe kwa ajili ya kumprotect mkeo na mimba za harakaharaka ambazo ni hatari kwa afya yake. Naona title ya hii thread iko kiselfish mno. It is for you, your kid and your wife.
 
unambemenda mtoto wewe atadumaa sababu ya maziwa mwezi mmoja tu umeshaanza vuta muda kwanza man huyo si mkeo mtaenjoy mpaka kufa subiri walau mtoto azoee kwanza hewa ya duniani hapa hasa kwenye kanchi haka kakifisadi
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha halisi ya mapenzi,plz msaada wenu wakuu.
 
Withdrawal ina 90% of failure, Kalenda ina 60% of failure. Kama mkuu ulishindwa kujiziwia baada ya mwezi tu, utaweza kweli kujiziwia siku mbaya za kalenda? na kama uliona ndom inakuondolea utamu utaweza kweli kuwithdraw at the critical moment?
Mi ningekushauri utumie IUD. ni kadude kanabandikwa inside ya uzazi wa mke wako. hakana hormones hivo hakawezi kusababisha kunenepa ao mood kubadilika. kanakaa humo ndani hadi mnapo amua kuzaa tena (kanaweza kaa up to 10 years). Kwa maelezo zaidi gonga hapa:
Intrauterine device - Wikipedia, the free encyclopedia
All the best.
 
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha halisi ya mapenzi,plz msaada wenu wakuu.

Tumia muda mrefu baa, ukirudi hom uko safi, kulala tu.
 
Vumilia mkuu acha tabia ya kujiendekeza as if we ndo kidume kiviiiileee kwani ukiwa unaumwaga serious inakuwaje?
 
ukitumia withdraw ukipiga cha kwanza ukitaka kuendelea na cha pili kama spem zilibaki baki kwenye mfereji haziwezi kusababisha mimba tena?
 
Mi naona mawazo yote ni mazuri. Lakini mi ninachoamini ni kwamba njia za kisasa ni safe ingawa si nzuri kwa afya.

mi nimesikia watu wengi sana wanapatwa na matatizo hasa wanawake kwa kukosa au kucheklewa kushika mimba au kushika mimba na kutoka. Wengi hawashabikii sana hizo za kitaalam.

Mi ninashauri kwamba;

1. Uvumilie hadi mkeo afikishe miezi 3 ndo muendelee na sex. au
2. Uendelee kutumia condom kwa miezi hiyo michache ilobaki.

Lakini ndg yangu, haraka ya nini wakati mke ni wako milele? si umvumilie tu afikishe hiyo miezi 3 kaka? Mh. wanaume nyinyi bana! Mfano mimi wife ana mimba ya miezi 7 nategemea kumpa likizo ya miezi 3 ndo niendelee nae ingawa sitafanya nje.
 
ebwana mimi sioni sababu ya wewe kuogopa? kwa kawaida shemeji hata awe na uzazi wa aina gani mwisho watoto 15 na kama ameanza kuzaa akiwa na miaka kumi na tano au kumi na sita, kila mtoto anakuja na riziki yake so haina haja ya kutafuta njia.....anyway hilo suala linahitaji mambo mengi ya kujadili, cha msingi onana na mtaalam mjadiliane faida na hasara ya njia mbalimbali,hakuna njia ya asilimia miamoja au isiyo na hasara, kama vp kamua bro,
 
Duuuuh! Mwezi mmoja mkuu? Kiafya ya mama sidhani kama kuna tatizo lakini kwa maoni yangu bora ungelivuta subira kidogo. Kuhusu njia bora, zote zilizotajwa ni bora, lakini ya kondom ni bora na salama zaidi. Ninakushauri uendelee na hii hii kwa sasa, utazowea tu. Tambua kuwa raha za ngono ni athari za kisaikolojia, rekebisha "chip" yako ya akili kwa kuichukulia njia hii kuwa ni bora zaidi, lakini ukishikilia hivyo hivyo kuwa kwa kondom hupati raha utaendelea kuwa hupati raha kweli. lakini mwisho wa habari wewe na shemeji ndio wahusika wakuu, kwa hiyo fuata shauri nyengine unazopewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom