I am sure that I don't love....

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Najua simpendi, bali nimemtamani.... lakini nataka nifanye naye ...... sitaki kumpa pesa, na sitaki kubaka.... je, nimpateje bila kumwambia "nakupenda"?
 
mmmh mkuu hapo labda kama ni kicheche ndio utampata otherwise msahau tu
 
Mfuate BUJIBUJI anayepata mademu bila ya kuwaaambia anawapenda
Najua simpendi, bali nimemtamani.... lakini nataka nifanye naye ...... sitaki kumpa pesa, na sitaki kubaka.... je, nimpateje bila kumwambia "nakupenda"?
 
Mmmmmh, haya, Utavuna unachopanda lakini.
Kiasi kile kile unachowapimia wenzako ndio hicho hicho na wewe utapimiwa.

Unatamani mabinti wa watu!!
Na wewe una binti/unadhani utakuwa na binti!!

Haya.
 
haya bwana huyo wa nini kama humpendi au ndio upo kwenye kazi za majaribio kazi njema
 
Mmmmmh, haya, Utavuna unachopanda lakini.
Kiasi kile kile unachowapimia wenzako ndio hicho hicho na wewe utapimiwa.

Unatamani mabinti wa watu!!
Na wewe una binti/unadhani utakuwa na binti!!

Haya.
Oh you need somebody just to hold you
If you do, just reach out and I'll be there
 
Una tabia mbaya na vile vile huna hata chembe ya haya, hovyo
 
Kweli we noma jitahidi kuwa nae karibu na usiseme lolote then uta do lakini mkunywe vibia vingapi tu.

OGOPA NGONO.
 
Back
Top Bottom