*.~~I am proud of myself~~,*

hata nikiweka hutosadiki kw ni mimi
kwa sababu huna avater tuwekee portrait yako ila ufunike kichwa ili tu-prove kuwa una rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
 
hongera sana maana ni jana tu nimeshuhudia matusi toka kwa jibaba moja akimaliza kutukana anasema na sikuachi kisa kahisi mkewe kananiliu
 
Mimi km mwanamke wa Kitanzania KWA ZAID YA MIAKA 10 SIJATUMIA KILEVI AINA YYT, SIJAVUTA SIGARA,BANGI WL KUTUMIA AINA YYT YA DAWA ZA KULEVYA, PIA KWA MM NI MWAMINIFU SN ZAID YA MIAKA 10 SIJAWAHI KUFANYA UZINZI (kumsalitu mume wangu) KWAKWELI NASTAIL KUJIPONGEZA.
Asubuhi unakunywaga kifungua kinywa aina gani mama? Juisi au Chai ama nini?
 
Hongera sana Mama kwa yote hayo. Kuna watu wengi watasema ni uongo, au ni unoko, wengine watasema ni kutafuta sifa na ujiko ila ukweli ni kwamba wanasema hivo sababu wenyewe hawataki kujaribu, au wameshindwa.
Kila siku nasema: Siku hizi ujinga ndio unaonekana ujanja. Na ujanja unaonekana ujinga.
Kuna dada aliandika story yake humu (namna gani aligeuka changu na the reason anawachukia wanaume) hakuna hata mmoja alie bisha na kusema haiwezekani sababu hiyo imekua ni jambo la kawaida. So when I see people like you wakijivunia tabia zao nzuri nafurahi sana.
Hongera Mama, keep it up, na mengine ambayo hujaweka sawa endelea kufanyia kazi. Even if perfection is not human, we still have the moral obligation to persue it.
 
hongera sana, uendelee hivyo hivyo maana ushetani ni uamuzi wa m2 tu hivyo ni wewe mwenyewe ndie muamuzi.
yes umeongea ukweli mana kuna wt wanaona hkn asiyeyafanya hayo kumbe uamuzi wa kufanya ni wao
 
Back
Top Bottom