I am pregnant with Twins

Hongera sana dada. I am a mother of twin boys aged 15yrs now. Siku nilifanya ultrasound ilikua ni siku ya furaha ambayo sitasahau. Nikushauri utafute dokta bingwa, na hospitali ambayo wako makini. Mimba za twins sometimes ni very complicated. Ninasema kutokana na experience. Mungu akuepushe na kila hatari, na umeweke yeye mbele

Aminaaaaaa kumbe umeshakuwa mama siku hizi?
Hongera sana, msalimie mumeo sana na wanao pia
 
Hongera sana dada. I am a mother of twin boys aged 15yrs now. Siku nilifanya ultrasound ilikua ni siku ya furaha ambayo sitasahau. Nikushauri utafute dokta bingwa, na hospitali ambayo wako makini. Mimba za twins sometimes ni very complicated. Ninasema kutokana na experience. Mungu akuepushe na kila hatari, na umeweke yeye mbele
Good to hear about that. Ebu angalia post namba 98 mie ninao majike they are 15 yrs old too. Nimeambatanisha na picha zao:D.
 
Back
Top Bottom