I am pregnant with Twins

Thank you wote kwa nasaha nzuri inatia moyo.
Yo yo i am so sorry yaan nikiona watoto wangu wanakuwa na tabia kama zako sijui hata nitachukua hatua gani.maana ww uncle hujatulia kabisa.LOL!
 
Thank you wote kwa nasaha nzuri inatia moyo.
Yo yo i am so sorry yaan nikiona watoto wangu wanakuwa na tabia kama zako sijui hata nitachukua hatua gani.maana ww uncle hujatulia kabisa.LOL!
bwa ha ha ha wezako wanalilia watoto wao wawe kama mie.......FYI the real YO YO is intelligent,mchamungu,honest and trustworthy,a well balanced Person,truthful na pia ninaheshimika katika jamii inayonizunguka.....bila kusahau ni nadhifu

I can't believe this.Kwa sababu nikiangalia rafiki zako wa karibu humu jf napata mashaka na madai yako ya hapo juu.Fidel08,masanilo,Nyani ng'abu,siwezi kuamini kama madai yako ni ya kweli.
hell nooooo.....msiniharibie jin JF hao sio marafiki zangu.....kumbe ndio wanadangany mtaani wpate mashori kwa jinaa langu?
masanilo ni shemeji yangu
 
bwa ha ha ha wezako wanalilia watoto wao wawe kama mie.......FYI the real YO YO is intelligent,mchamungu,honest and trustworthy,a well balanced Person,truthful na pia ninaheshimika katika jamii inayonizunguka.....bila kusahau ni nadhifu

Let me think about it uncle yo yo.

kama ni kweli mcha mungu basi tutaelewana sana.maana mimi ni mwalimu wa sunday school basi itabidi nikualike kanisani kwetu siku moja.Nieambie kama upo tiali,.
 
Pamoja nakukupa hongera. Hebu nimegee siri ya urembo maana nami nimewatafuta siku nyingi lakini wapi. Staili zote nimejaribu au umetumia dawa za kupevusha mayai mwenzangu maana hizi ndo nasikia uneweza kupata pacha hata 8 ambayo ni hatari.
 
Nakupa hongera dada na Mungu akubariki. Jambo la muhimu lakini start planning for the arrival mapema kabisa usije ukaanza kuwa zimamoto muda utakapotimia. nakutakia kila la heri
 
Heheh naona Yo Yo Tell 'em anaanza kuleta mambo ya "In real life, I'm much more distinguished. I'm like a bloke from London, England".
 
Aaameeen.....nipo tayari jamani.......

Hiyo ni vizuri kabisa uncle yo yo basi usisahau kuja this weekend misa ya pili inaanza saa tano.check your PM for more information sawa.hii nikwamba nakuandaa vizuri kuwa uncle wa Derek and Dennis (The twins).


Asante Makanyagio na power to the people nashukuru sana kwa nasaha zenu na nitazifuatiliya bila shaka,.
 
aisee!
hivi ili mtu apate mapacha ni njia zipi mnatakiwa kufuata ili kupata mapacha, pleaase naomba nisaidie nimfanyeje wifi yako naye awe na mimba ya mapacha? kwani we na huyo shemeji yetu mlifanyeje hadi kufanikio kutunga mimba ya mapacha? au ni dhali tu? napenda kweli mapacha.
au kama vipi fanya mpango huo uzao uwe wangu, nitakulipa dada, yaani nauwa kama jacko vile, teh teh teh teh eeehh eeeeeeeeeeeeeeh!
have a gud luck dada
 
Hongera, lakini maajabu four month ni vigumu sana kujua ni jinsia gani ya watoto uliowabeba, so usishangae ukajifungua madem! but mtoto ni mtoto ciao
 
Hongera sana dada. I am a mother of twin boys aged 15yrs now. Siku nilifanya ultrasound ilikua ni siku ya furaha ambayo sitasahau. Nikushauri utafute dokta bingwa, na hospitali ambayo wako makini. Mimba za twins sometimes ni very complicated. Ninasema kutokana na experience. Mungu akuepushe na kila hatari, na umeweke yeye mbele
 
Hongera sana dia!ni good news ni raha ya namna gani kuwa mama!siwezi sahau siku ambayo nilisikia sauti ya first born wangu akilia ingawa ilikuwa ni Csection.
 
Wooooow. A great moment dear sasha,kushiriki katika uumbaji,ni heshima kubwa uliyopewa na muumbaji original -mungu ama vyovyote umuitavyo kwenu!nikutakie afya njema pamoja na watarajali hao!
 
Nilikuwa nataka ku-share good news with you family kuwa i am pregnant with twins.Nipo 4 month na half pregnant na jana nilikwenda kwa ultra sound na results ni kwamba ninapata boys.

I am doing fine and hope all goes well.Nina 5 more month to go.
Its a blessing kwa kweli na nina mshukuru mungu kwa yote.

I need your prayer kwa kweli.
asenteni.

Hongera Sana Lakini...
 
Last edited:
Kuna swali nataka kuuliza a while back watu walikuwa wanaongea sasa sijui kama ni kasumba tuu ile.Kuwa eti ukiwa na mimba alafu ukaja kumpenda sana mtu (it doesn't matter mwanamke/mwanaume) wanasema kuwa ukija kujifungua ni kwamba posibility ni kubwa yule mtoto kufanana na yule mtu uliyempenda sana wakati wa mimba (miezi yote 9).
Ni kweli au ni uzushi?.maana kama ndiyo hivyo nampenda sana Brad pit (ina maana twins wangu watafanana naye?).

Hapa ndipo napopata wasiwasi kama baba wa hao mapacha yupo kwanini utamani wafanane na Brad.....Au baba yao anasura kama NYANI..
 
hongera bibie
huyo kurwa muite Sipondwa ndio jina langu kwa kirefu
atakuwa na akili kama mimi, hucpime
 
Back
Top Bottom