I am planning to sue Tigo Tanzania...Member kindly advice

kaluun

Member
Nov 21, 2011
28
1
For long now i have been subjected to violations of phone privacy mainly by my network operator, which unfortunately turns to be Tigo.

I have been receiving a numerous number of promotions sms from numerous sources, some are Tigo promotional sms and other are from various unknown sources.

I called customer care kindly asking them to stop sending any sms related to promotions or alike coz simply i am not intersted. I am not interested period. But the sms keep on flowing at the highest pace.

I think thoroughly before decide to sue Tigo but i am accountant my professional so i have no clue regarding laws and acts governing Telecommunications in Tanzania. I want to sue Tigo for Conspiracy to half my phone privacy. Please JF Members provide a way forward.
 
Its a good idea and will be a lesson but im not sure what the laws say lets just wait someone wil give a useful advice
 
am tired and fed up of Tigo...I want to sue for damages...ushauri wa kisheria jamani
 
Kilengesa hicho,andika kiswazi ili nasi makanjanja tukupate:D I really agree witchu,go ahead.
 
Try to checkup with law firms, which are all over vichochoro vya city center, tell them thy complains and intentions and they advice how to flame the case.
 
unapojiunga na huduma yoyote kama hii ya mitandao terms and condition lazima zi2mike,,swala la ku2miwa sms lazima litakuwepo kwa 7bu umekubaliana nao wkt unasajili line,,,cha muhimu n kuondoka kimyakimya,,,
 
sitaki kuondoka kimyaya I want to teach them gud lesson...I want to set a benchmark for future generations...
 
Pole sana. Wote tunaolizwa na tuliolizwa na Tigo tutayarishe PETITION ambayo sote tuelezee matatizo yetu na kuweka sahihi zetu.
Tuwapelekee Tigo na nakala iende TCRA kwa tarifa na ikiwezekana action kama uwezo huo wanao.

Tutahitaji kituo cha hiyo petition na mratibu. Vinginevyo kuwapeleka mahakamani ni expensive na time consuming.

NAWASILISHA.
 
Nakuunga mkono ila huwa najiuliza wanasheria wetu hakuna anayetumia mtandao wa tgo? Wameridhika na huu wizi na usumbufu au ni uoga unawasumbua?
 
Sio woga. WaTZ wamezowea kuchukulia mambo kijuujuu. Wanapokuwa serious basi wamechukia sana na hasira hutawala
la msingi ni kukusanya nguvu na kuwapelekea kombora moja tu. Lisipowastua mjue tumekwisha. Hata mahakama siziamini. Utawapa ulaji wenye magazeti na heading zao za ajabu ajabu.
 
sitaki kuondoka kimyaya I want to teach them gud lesson...I want to set a benchmark for future generations...
Go on,set that benchmark but make sure that it is well coordinated and b4 we start using it,we only want the scale factor,proper zone and projection type under Universal Transversal Mercator system.good luck!
 
For long now i have been subjected to violations of phone privacy mainly by my network operator, which unfortunately turns to be Tigo.

I have been receiving a numerous number of promotions sms from numerous sources, some are Tigo promotional sms and other are from various unknown sources.

I called customer care kindly asking them to stop sending any sms related to promotions or alike coz simply i am not intersted. I am not interested period. But the sms keep on flowing at the highest pace.

I think thoroughly before decide to sue Tigo but i am accountant my professional so i have no clue regarding laws and acts governing Telecommunications in Tanzania. I want to sue Tigo for Conspiracy to half my phone privacy. Please JF Members provide a way forward.
Nachelea kukujibu kwa kienglish nisije na mie nikachafua hali ya hewa maana hizi ni lugha za watu zinazohitaji umakini mkubwa. Mkuu umesema wewe ni accountant, je ulisomea chuoni au ulisomea nyumbani?

Mimi ni muhasibu nimesomea uhasibu na sheria zinazohusiana na uhasibu. Accountant lazima ajue sheria na ndio maana wenyewe wanasema "Accounting and Law" A business entity oparates within a legal frame work.

An accountant records, classify, summarises and present various transactions. Naturally these transactions have to be in accordance with rules and regulations applicable to such business entity. There are laws which applicable in general to all business transactions eg Contract Ordinance, The Sale of Goods Act, The negotiable Instrument Act and there are law governing specific business entity eg Company Act is applicable to joint stock companies.

Kisha kuna Banking Regulation Act, Insuarance Act, Kisha kuna Industrial laws kama Factories Act.

Muhasibu/Accountant kusema yeye ni mbumbumbu wa sheria lazima utilie walakini wake huo uhasibu wake nadhani pengine mkuu wewe ni bookkeeper na sio Accountant! Je hukusoma business law ulipokuwa unasomea huo uhasibu? hukusoma topic ya contract?

Hukusoma condition and warranties? Je unajua kuwa unapotumia mtandao wowote kile kitendo cha kuweka SIM card yako na kuanza kuitumia ina amanisha umekubali mashari yao "condition and warranties" etc.

Ushauri wangu.

Nadhani kama umechoka na msg zao ni kheri uhame na uingie TTCL maana hata Voda, Airtel na Zantel matangazo ni ya kumwaga! labda uinge post paid.

Good day accounantant wangu.
 
Kutumiwa ujumbe bila kuomba huduma yoyote ni makosa kisheria.Kampuni zilizo makini kwa sababu ya kukwepa kuvunja sheria wanatuma sms hizo pale unapoongeza salio,au unapoangalia salio au pale unapotumia huduma yeyote lakini kama.Meseji zinaingia tu bila kufanya chochote tafadhari fika TCRA utapata msaada ni sheria ipi inakiukwa
 
Back
Top Bottom