I am looking for a job

tecnician

New Member
Jun 9, 2012
1
0
I am completing my first degree in science with education,so i find school for teaching, i am teaching biology and chemistry any one who interested ho/she may call me.my telephone number is 0716563735.
 
hapo kwenye red,
unafundisha wapi mkuu
 
kaazi kweli kweli , tulia ivyo ivyo utaitwa ukafundishe , kua uyaone , ndo umegraduate???? alafu nenda tuition ya kikristo kablas ya watoto utaoenda kuwafundisha hawajakuaibisha
 
dahhh tumia tu Lugha ya baba wa Taifa la Tanzania. utaeleweka zaidi.
kuanzia kichwa cha thread mpaka ulichoandika ..........
Taratibu tu lakini .
 
Ni heri umtumie ujumbe binafsi moderator akufutie habari hii kuliko matusi utakayopata na kazi unayotaka hautaipata kwa kiingereza kibovu namna hii cha graduate! Ulichoandika si kiingereza bali unajua mwenyewe.Kweli elimu ya kata inasikitisha!
 
''Dear English,.we loved u but this man,amekupenda zaidi!
Rest in Peace!
AMEEN''
 
I am completing my first degree in science with education,so i find school for teaching, i am teaching biology and chemistry any one who interested ho/she may call me.my telephone number is 0716563735.

duh! mkuu Ngeli yako inahitaji msasa wa nguvu! kuanzia user name , heading hadi content umechafua ... ndo walimu wetu hawa! ambao wanataka walipwe sawa na dactari!
 
fresh mkuu kibongobongo umeeleweka ila tu jaribu kuwa makini ktk uandishi coz humu ndani watu wengine ni wanoko.mfano hapo kwenye ho/she na mengine uliyokosea rekebisha.ila ujumbe umefika mkuu.
 
fresh mkuu kibongobongo umeeleweka ila tu jaribu kuwa makini ktk uandishi coz humu ndani watu wengine ni wanoko.mfano hapo kwenye ho/she na mengine uliyokosea rekebisha.ila ujumbe umefika mkuu.
 
i am finding a job = hiki kienglish kimekaaje???
Sungurampole UMENIUA MBAVU ZANGU MKUU
PITIA HAPO KWENYE RED MIMI SIO MTAALAMU WAKILUGHA HICHO ILA HAPA MWISHO
I am completing my first degree in science with education,so i find school for teaching, i am teaching biology and chemistry any one who interested ho/she may call me.my telephone number is 0716563735.
HAPA INABIDI AFUATE USHAURI WA ENGLISH COURSE MAANA SIKU HIZI WATOTO WANAONGEA GOOD ENGLISH ILA HAWAJUI KUANDIKA WANACHOKIONGEA DU!!!!!!!!!!!WASIJE WAKAKUUMBUA PLIZ​
 
uyu amewakilisha walimu wa tz,walimu wetu english aipandi ndio hao wanaofundisha watoto na tunalalamika mbona watoto ngeli aipand kumbe ubovu uko kwa waalimu
 
Wakuu naomba asamehewe bure, kigreza ni janga la kitaifa hapa Tanzania naogopa mwishowe mtaandika matusi humu. Kwanza mtu mwenyewe ni Junior Member
 
dahhh tumia tu Lugha ya baba wa Taifa la Tanzania. utaeleweka zaidi.
kuanzia kichwa cha thread mpaka ulichoandika ..........
Taratibu tu lakini .
Ataeleweka tu. sijui anasoma Tumaini university huyu?. Kote yupo, ona : I am completing......I find school for teaching.....I am teaching.... Wewe saizi yako ni shule za kata tu mkuu.
 
i am completing my first degree in science with education,so i find school for teaching, i am teaching biology and chemistry any one who interested ho/she may call me.my telephone number is 0716563735.

is this a joke? This mus be a joke, please someone tell me this is a joke please!!!
 
Hukuwa na sababu ya kuandika hicho kidhungu, lugha yetu ya Taifa ni nzuri sana, vyuo vingi huko ughaibuni wanaisoma hii lugha. Nikikuita ktk usaili si itakuwa balaa zaidi sasa...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom