I am happy and I want to share this with you

Congratulations Mkuu.
Is she your first born au aluta continua?
 
Loving for marriage.
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Good to go.
 
Dear brothers and sisters.

Asalam alaikum.

Since we are one big family I just wanted to drop a line to share good news with you, Alhamdullilah my beautiful wife gave birth to a beautiful little angel (baby gal) today 11hrs.

Thanks and regards,

Mohammed H. Shossi

Congrats sana bro... mshukuru mungu na muombe pia ulinzi zaidi wa malaika huyo na mama

:A S 41:
 
Mkuu
hongera saana
Nakuombea kwa mwenyezi Mungu
akujalie ili kwa kusirikiana na mama yake
muweze kumpa malezi bora
 
JF leo mmekuwaje? Yaani wote mmnabusara na kumpa maneno matamu tu Mohd Shossi!

Shehe mi ni mmasai, kwatamaduni zetu naomba unitajie mahali nije nimpose mchumba mapemaa kabla hajawahiwa.

Hongera kwa kunizalia Mchumba yakhee.
 
huwa ana busara huyu.

Shauri yako kuchakachua sredi ya watu.

JF leo mmekuwaje? Yaani wote mmnabusara na kumpa maneno matamu tu Mohd Shossi!

Shehe mi ni mmasai, kwatamaduni zetu naomba unitajie mahali nije nimpose mchumba mapemaa kabla hajawahiwa.

Hongera kwa kunizalia Mchumba yakhee.
 
Congratulations! May the Lord our God bless your little angel!
 
Ulishawahi pata ajali porini ukashonwa bila ganzi?

Unamnunia nesi wiki nzima japo alikuokoa.

Una hakika na unayoyasema?

Angenipiga manati kama angekuwa bado yuko labour na Oxytocin inapiga mzigo wake,

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom