I am Gonna Marry You...........

Kigoda kizito na sijaona mrithi, meona bora hata nijibabaishe kwa mistari kidogo:)

Sweetlady ha-disappoint .....anaanza kuwa bingwa kidogo kidogo :)

Ila inabidi aaanze na mistari ya salaam

Sabahal kheri mpenzi waonaje Hali yako

(malizia hapo)

Hali yangu kama yako..............(desh desh)
Wawaonaje wazazi nyumbani utokeako?....(lol...ww umetoka kwenye kigoda)
 
Hali yangu, lahaziz, hali yangu kama yako...waonaje wazazio nyumbani utokeako?...hehehe! Mwanafunzi nimeanza kuelewa!
 
Sikonge anasubiri mistari...usimwangushe Gee...lol! (kopi tu hata ile ya jana alimradi...hahahaaa)
Gee najua hajaupenda msosi ndo maana aka sneak mapemaa!

Sikonge anataka mistari Kama ile ya twanga pepeta "Papaaa Sikonge" kisha magitaa yanatumbuiza lol
 
hahahaaa Gee ile mistari ukipaishwa lazima umwage mi noto kwa misifa! Khaa mapapaa wanafilisika kwa kupaishwa...
 
Hali yangu, lahaziz, hali yangu kama yako...waonaje wazazio nyumbani utokeako?...hehehe! Mwanafunzi nimeanza kuelewa!

Haloooooo! Upo juu Sweety

Kawanusuru Mwenyezi, khofu yao juu yako
Hebu nitoe majonzi unijuze sura yako!
 
Niamkie husninyo basi na mimi...
Sikonge alisoma mazengo karibu na mpwapwa ndo maana memsalimia!

ushawahi kuona bibi anaamkia wajukuu? mwalimu anaamkia wanafunzi?
haya mwamkie na kibibi husninyo.
 
Mhhhh... Shemeji. Umenirudisha mbaaali sana. infact kama ilivyo kwenye maisha, wengi niliokuwa nimekaa nao (nikiwa mdogo sana, inasaidia tu kuwa ninakumbukumbu nzuri sana) kwa sasa wameshatangulia mbele ya haki.

Umenirudisha mitaa ya Ilala Flats, gorofa oposite na shule ya Boma Primary School......

Hali yangu kama yako..............(desh desh)
Wawaonaje wazazi nyumbani utokeako?....(lol...ww umetoka kwenye kigoda)
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: bht
hahahaaa Gee ile mistari ukipaishwa lazima umwage mi noto kwa misifa! Khaa mapapaa wanafilisika kwa kupaishwa...

Afanye Kama Ndama mutoto ya Ng'ombe! Loool

Pesa zote kuzimwaga kisa sifa
 
Sikonge anataka mistari Kama ile ya twanga pepeta "Papaaa Sikonge" kisha magitaa yanatumbuiza lol
Hapana Gee, sikonge bado yupo kijijini analima maembe tumshushie mjomba wa mrisho mpoto, afu siku akija mjini kuuza maembe ndo twamshushia 'Papaaa Sikonge' tumwagiwe hela za mauzo...lol
 
Ebanaeeee! Si mchezo!

Husninyo njoo umalizie kabla Sikonge hajafunga sredi lake na video vyake vya yutyubu!

khaaaa, mwambie swtlady anirudishie ile dictionary yangu ya mipasho kwanza.
 
Back
Top Bottom