I am back

img55615916.jpg
Hii ni zawadi ya Rejao

VIATU+VYA+CCM+PIX+NO+1.JPG

hii ni kwa Mtei, BAGAH, Erickb52, Preta na wana cdm woote size zenu zipo
 
Last edited by a moderator:
senk u braza...nilikukosa sana ndugu yangu...nilikua nasubiri umalize kufungua makarabrasha yako nione kama umenisahau?...nimeupenda mguu huo...mm na pacha angu nicas we thank you so MUCH!..

kaka nashukuru, mie nipo tu... huja vasco da gama hivi karibuni?
 
Hahahahaaa ya CUF hapana coz haitofautiani na ya CCM
Siitaki ntafutie ya Chelsea au Msimbazi

ah ha ha hah ya chelsea unaweza ipata..... au nikutafutie ya ADC? inafanana na ya CDM i hope sio mbaya...
 
Jamani,
haujaniletea chochote,
haya mkuu,
mimi mama nimenuna mpaka nipate zawadi.


No no no no mama usinune.... si unakumbuka mwanao nilikuwa likizo kipindi cha mamas day?
hii hapa zawadi yako

antique_roses_mother_s_day_card-p137127910722273850q6ay_400.jpg


umeipenda mama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom