I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

Mh..Nnajuuuuuuuta siku ya jana kwenda Red Light mpaka nikaikosa hii yuziful mada,mkuu wakati ndio sasa karibu baba mi niko kwenye mchakato wa kuvunja ndoa za watu humu,na ujio wako ni changamoto kwangu katika mipangilio yangu kwenye anga za Asprin na bado sielewi sijui nianze kwa mke yupi..??
 
Last edited by a moderator:

mashambulizi ni yaleyale kamanda wangu,inatakiwa tummiliki charminglady kwa hali yoyote,haijalish et kaolewa na house boy wangu,haijalish anana mimba.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana...nina hamu na huko...
unaweza kunionesha njia weye...

usitamani hata kwa chembe,...unauliza njia umepotea?eti jaman BAGAH anauliza njia ya kwenda BAN ha,ha,ha,ha.....
 
Last edited by a moderator:
daddy achana na huyo kibaka, je ushawahi kumwona anakuja hm hata kwa kujipitisha? we ngoja tuje tumwoneshe na picha za haruc na cheti cha ndoa ndo ataamini. thn tutamfungulia mashtaka kwa kunichafulia jina kuwa me mkewe while hana evidence!

my dear cl siitaji ushahid,naitaji Penzi toka kwako tu
 
daddy achana na huyo kibaka, je ushawahi kumwona anakuja hm hata kwa kujipitisha? we ngoja tuje tumwoneshe na picha za haruc na cheti cha ndoa ndo ataamini. thn tutamfungulia mashtaka kwa kunichafulia jina kuwa me mkewe while hana evidence!

kumbe ni mfa maji tu eenh!
 
Back
Top Bottom