I am Addicted with JF

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Waheshimiwa jamvini,

Hi am addicted with Jf and am not alone aisee!kumbe watu huwa hawalali!Utaona mtu amepost kwenye thread Saa 9,saa 8 n.k.almost 24hours.

Big up mmiliki wa hii kitu.

HIVI WANAOCHANGIA MIDA HIYO WOTE HAWAKO KWENYE CHAMA CHA WALALA UCHI DUNIANI?
 
sio watu wote tupo Tanzania wewe......hapa nilipo ni saa kumi na mbili kasoro ijumaa jioni.....sawa sawa.....
 
Mie niko Jumamosi mchana. JF is a global force of Tanzanias who would like to see better governance in their motherland. It is a round the clock effort.
 
godi,wasikubabaishe hawa kina Preta saintivuga na genge lao,eti wako ulaya,wote nawajua mie ,makazi yao kwa mtogole mwingine anaishi mfaranyaki songea.
 
Last edited by a moderator:
Godwishes you are NOT ALONE. Wote humu ni ma-crazy over JF ndio maana watu karibu wote wanachat muda wote. Hakuna muda utakuta hakuna member majamvini humu. Enjoy it on your own risk usejepoteza kibarua chako kwa kuchelewa kisa usingizi kisa JF.
 
Last edited by a moderator:
Ati huko tz ni muda gani saa hii na siku gani,coz huku nilipo saivi ni jumapili saa 1
 
Waheshimiwa,jamvini.Hi.am addicted wth Jf.,n am not alone aisee!kumbe watu huwa hawalali!utaona mtu amepost kwenye thread Saa 9,saa 8 n.k.almost 24hours.Bg up mmiliki wa hii kitu.On.HIVI WANAOCHANGIA MIDA HIYO WOTE HAWAKO KWENYE CHAMA CHA WALALA UCHI DUNIANI???.

wanaweza wakawa wako kwenye hicho chama sema siku hiyo kukawa hakulali hakuliki... huwa inatokeaga mara nyingi...
 
godi,wasikubabaishe hawa kina Preta saintivuga na genge lao,eti wako ulaya,wote nawajua mie ,makazi yao kwa mtogole mwingine anaishi mfaranyaki songea.

bora umwambie, kila mtu anajifanya yupo uraya uraya uraya alaaaa... By ze way huku nilipo ni asubuhi
 
Last edited by a moderator:
Sisi walala nje (walinzi) Jf inatupa kampani ya kutosha sana asikwambie mtu muulize St. Paka Mweusi
 
Last edited by a moderator:
Waheshimiwa,jamvini.Hi.am addicted wth Jf.,n am not alone aisee!kumbe watu huwa hawalali!utaona mtu amepost kwenye thread Saa 9,saa 8 n.k.almost 24hours.Bg up mmiliki wa hii kitu.On.HIVI WANAOCHANGIA MIDA HIYO WOTE HAWAKO KWENYE CHAMA CHA WALALA UCHI DUNIANI???.

....to... samahani lakin
 
Back
Top Bottom