I am a virgin bride and want to know about sex

"I am in my early 20s, a virgin and about to get married. I don’t know much about sex but I want to be the perfect wife. Do I have to shave my pubic hair to enjoy sex? It has grown up to my anus. Is that normal?
Virgin."

Uongo kwanza Mungu alishaachana na kutengeneza Bikira tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
"I am in my early 20s, a virgin and about to get married. I don’t know much about sex but I want to be the perfect wife. Do I have to shave my pubic hair to enjoy sex? It has grown up to my anus. Is that normal?
Virgin."
Ni PM nikupe darasa mjukuu wangu
 
aaaah Binti hebu tafuta mama jirani yako akupe ushauri kuhusu hili hapa ndani wataitoa Bikra kabla ya huyo mtarajiwa kuigusa :)
 
Bao3 kuna kitchen party huko ndiko kutamfaa huyo binti, huko atapata mafunzo mbali mbali ya chumbani akiwa na mume wake. Sielewi huyo binti ni kabila gani kwa hapa bongo, ila makabila mengi huwa yanamfunda binti kabla ya kuolewa.
 
Mi nadhani hiyo bikira labda ni ya kichina, maana sasa hivi katoto ka primary hakana, itakua huyo
 
Back
Top Bottom