Hvi wanaume wanaakili gani???

Umenifurahisha sana......watu wawe wanakubali madhaifu kama ww laaziz,ndo mwanzo wa kusaidika ati.....niko home njoo karibu chai!!!

Michelle nimekumiss sana
Michelle nakutamani sana
Michelle nakupenda sana
Michele nakuzimikia sana

Hebu njoo kule tuongee umbea kidogo.
 
Hizi lugha unazotumia duh..........inaonekana kama vile tayari umekoleaaaaaaa hahahahaha

Pole mwaya ila umesahau tu kusoma katikati ya mstari!! Mzima lakini?? Eti kwa nini akili za wanaume ziko hivi?
 
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
Wanaume wana akili ya wanaume
 
Umenifurahisha sana......watu wawe wanakubali madhaifu kama ww laaziz,ndo mwanzo wa kusaidika ati.....niko home njoo karibu chai!!!
Yaani hapo tu...........unajua nimependa pia kuwa huwa unaiambia kadamnasi ukweli, ila sasa nikikuudhi uwe unaniambia mimi tu, Mwenzio LD hapo anaona wivu balaa. Ngoja niiwahi hiyo chai basi:plane::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Michelle nimekumiss sana
Michelle nakutamani sana
Michelle nakupenda sana
Michele nakuzimikia sana

Hebu njoo kule tuongee umbea kidogo.
Kaka mkubwa ahaaaaaaaaa hiyo achia sisi wadogo bana, unataka kuchakachua mapema namna hii
 
Yaani hapo tu...........unajua nimependa pia kuwa huwa unaiambia kadamnasi ukweli, ila sasa nikikuudhi uwe unaniambia mimi tu, Mwenzio LD hapo anaona wivu balaa. Ngoja niiwahi hiyo chai basi:plane::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

Wivu sina ila roho inauma eeh eeh!!
Wivu sina!! Ila roho inauma!!!
 
Yaani hapo tu...........unajua nimependa pia kuwa huwa unaiambia kadamnasi ukweli, ila sasa nikikuudhi uwe unaniambia mimi tu, Mwenzio LD hapo anaona wivu balaa. Ngoja niiwahi hiyo chai basi:plane::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

LD ni dada yangu,kwaheri........!!!! hivi wanaume waga mna akili gani???
 
Wanaume % kubwa ya hisia ziko huko chini thats y hayo yanatokea. Si vibaya kufanya ngono na mtu aliyeathirika. Cha msingi ni kuwa na tahadhari tu. Huyo dada ina maana tangu ijulikane kaathirika hajawahi kungonoka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom