Hvi wanaume wanaakili gani???

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
 
mwenyewe ushasema ni mzuri wa umbo na sura, unauliza tena wanaume wana nini?
 
Ha ha ha ha ha, huwezi waelewa wanaume wakishatamani kufanya mapenzi na mwanamke,wengi wao reasoning capacity inafutika,ndo maana wengine unamjua siku ya kwanza,ya pili anataka kulala na wewe bila kinga,hawafikirii watoto wao,wake zao,wazazi wao,na jamii inayowategemea,au hata consequence nyingine za matendo yao! akishalala na mwanamle ndo akili inarudi anaanza juta na kulaumu!!!
Maskini huyo dada,wema wake haueleweki,ndo sikio la kufa halisikii dawa!!
 
Hii ya kuuliza kama wanaume wana akili naona ni matusi... tuna cases za akina Liyumba, Mziray (RIP) na wengine wengi wanaofahamika... hatukugeneralize wanawake wote

I think Sinai unahitaji kuomba radhi... ni bora hata ungesema "wanaume wengine" kuliko kutupiga blanket wanaume wote
 
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:

Noted...
 
Sinai heshima mbele.

Naomba kukuuliza, mtu mwenye VVU hana haki ya kufanya mapenzi?

Usihofu, hivyo VVU ulivyonavyo hutawaambukiza wanaume kwa kuwa watatumia kinga.

Wanaume tuna akili na ututake radhi kabla sijapigwa BAN!
 
Nasikia ukianza kutumia ARVs huwezi kumwambukiza mtu. Labda wanatumia kigezo hicho na hivi binti ana mvuto.
 
Kwanza nampa pole sana huyo dada.

Pili nampa hongera kwa moyo wa huruma alionao wa kutotaka kuwaambukiza watu wengine kwani angeamua kufanya hivyo laana ya familia nyingi za wanaume wasio waaminifu zingemrudia. Mungu aendelee kumpa moyo huo huo.

Kuhusu akili za wanaume nadhani wote wanakuwaga kama watoto wadogo wakishaingia pale mahali hivyo tuwasamehe bure kwani hawajui wakifuatacho
 
Hii ya kuuliza kama wanaume wana akili naona ni matusi... tuna cases za akina Liyumba, Mziray (RIP) na wengine wengi wanaofahamika... hatukugeneralize wanawake wote

I think Sinai unahitaji kuomba radhi... ni bora hata ungesema "wanaume wengine" kuliko kutupiga blanket wanaume wote

Hata mi nakubali wanaume wote mna akili za namna gani, kwa sababu nyie wote mnatamani kwa kuona na ukiamua kuitimiza tamaa na kiu ya nafsi yako, lazima uitimize.

Kwa sababu ni mara nyingi mnafanya mambo ya ajabu kwa wanawake halafu mnasema nitamaa tu zilinishika wala sikuwa na malengo naye!! Hajatukana wala nini. Wanaume THINK and RE-THINK before you take action, don't do only because you can doooo!!
 
Sinai heshima mbele.

Naomba kukuuliza, mtu mwenye VVU hana haki ya kufanya mapenzi?

Usihofu, hivyo VVU ulivyonavyo hutawaambukiza wanaume kwa kuwa watatumia kinga.

Wanaume tuna akili na ututake radhi kabla sijapigwa BAN!

Shikamoo babu, kwa nini kama hataki kufanya afanye kwa sababu ya tamaa za wanaume babu!! Yeye hataki wamuache si wakawatamani wengine si wapo!! Ha ha ha ha, babu nisamehe, mjukuu anamjibu babu!!
 
Aaache uchoyo huyo Dada kwani si kuna kinga...watumie kinga watu wakate kiu yao....Kuwa na ukimwi ndio iwe nongwa huo nao ni unyanyapaa dhidi ya watuwasiona virusi vya ukimwi.
 
Mbona kama vile ni wewe mwenyewe?? tuyaache hayo ila nauliza tu kwamba, hivi ukiwa mgonjwa huna ruhusa ya kupendwa au kutamaniwa? naona kama vile ni hali ya kunyanyapaa fulani hivi..
 
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:

Asilimia kubwa ya wanaume wanapoambia ukweli, hawaamini hata kidogo. Lakini ukiwaambia UWONGO, hapo mtaelewana kiswahili! Wanastaajabisha sana kwa mambo mengi.
 
Nina hamu ya kukoment hapa ila nikifungua tu napigwa ban ngoja ninyamaze kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom