hv inakuwaje mschana alye fall in love kusema nakupenda kwa mvulana inakuwa ni ngumu

SAINT_SAI

Member
Aug 19, 2012
51
6
mvulana kusema nakupenda kwa mschana ni jambo la kawaida, kwa wale wachache wavulana ambao hawawez huwa wanaitwa madomo zege. Sa cjui inakuwaje kwa asilimia kubwa mschana kama amependa huwa ni mzto wa kufunguka kwa huyo alympenda, cjui anahc ktatokea nn kama akisema NAKUPENDA. Binafs naichukia mitego hebu jarbun kubadlika bac muwe kama midume ku expose ur love flng ryt.
 
Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.
 
sasa Max ulikuwa unataka aonje tu kumbe?
 
Ungemwambia ni kuonja tu angekubali
hukuwa specific

Tatizo kuonjeshana ndo mwanzo wa kugandana hivo yabidi kuwa tayari mmoja akinogewa. Afu mi nilisema namzimia sikusema nataka kumpa. Namzimia kumuona tu!!!! LIMAO!!!!
 
inatakwa mtofautshe kupenda na kutaman, naomba nieleweke

Umeeleweka sana ila ukweli ulio wazi Kupendana lazima kuanze na kutamaniana. Usinidanganye unaweza kumpenda mtu bila kumtamani, maybe nduguyo
 
Tatizo kuonjeshana ndo mwanzo wa kugandana hivo yabidi kuwa tayari mmoja akinogewa. Afu mi nilisema namzimia sikusema nataka kumpa. Namzimia kumuona tu!!!! LIMAO!!!!

You do sound very familiar....
 
Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.

Sidhani kama ni kweli hapo nilipo bold!
Kikubwa nafikiri ni 'jamii itanionaje'
 
Sidhani kama ni kweli hapo nilipo bold!
Kikubwa nafikiri ni 'jamii itanionaje'

Kweli tena nakwambia, ujue ukimtokea a guy anakuwa hayupo sure kama hakufeel hivo akitaka kuonja ndo anacomfirm speculations zake.
Guys wanaogopa theory ya majuto ni mjukuu. Akatae afu akumbukie?
 
mvulana kusema nakupenda kwa mschana ni jambo la kawaida, kwa wale wachache wavulana ambao hawawez huwa wanaitwa madomo zege. Sa cjui inakuwaje kwa asilimia kubwa mschana kama amependa huwa ni mzto wa kufunguka kwa huyo alympenda, cjui anahc ktatokea nn kama akisema NAKUPENDA. Binafs naichukia mitego hebu jarbun kubadlika bac muwe kama midume ku expose ur love flng ryt.
speak it loud bro,mimi leo mida ya saa 3 usiku huu nimetoka kumsaidia dada flani hivi kwa kumtongoza cuz alikua ananipenda adi mimi mwenyewe nikajua,most of the time body language yake ilizungumza kila tulipokuwa tunakutana,so nilipofunguka leo ikawa kama nafunga goli la kisigino vile,hamna ata kufikiriwa cuz alikua ananisubiria,sasa najiuliza kwa nini na wao wasiwe na iyo courage ya kumseduce mwanaume kama sisi tunavyoweza kuwaface???
 
Poor Max, l hope mke wake hayumo humu; au kama yumo awe bonge la muelewa. Just imagine huyo dada hatafikiria kuwa Max kamuendea lara 1 PM, bora ingekuwa chitchat!
 
Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.

Unapotoa ombi wewe unakua unataka nini?Still bado sio kila mwanaume anakubali bana!
 
Poor Max, l hope mke wake hayumo humu; au kama yumo awe bonge la muelewa. Just imagine huyo dada hatafikiria kuwa Max kamuendea lara 1 PM, bora ingekuwa chitchat!

There is no different,MMU and chit-chat are all the same!
 
Back
Top Bottom