hv haya matatzo ya kusomeachn ya mt yatakwsha ln? Serikali ipo huko kwetu Tanzania?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
ChiniyaMti.jpg

Mahembe Primary School head teacher in Kigoma Rural District Yahya Kassim teaches Standard IV pupils under a palm tree as captured by own correxpondent yesterday. (Photo: Correspondent Jockton Ngelly)
 
Pia yatakwisha kama wananchi tukiamua kuchukua uamuzi thabiti wa kuchagua viongozi ambao watatutumikia na siyo wale walioko kimslahi
 
Yataisha ikiwa tu kila mwananchi atatimiza wajibu kwa kujiandikisha kuwa mpiga kura ikiwa ni kuanzia ngazi ya vijiji hadi Taifa na kuchagua viongozi walio nao maono ya maendeleo ikiwa ni kuwashirikisha wananchi kuchangia maendeleo yao kwa kulipa kodi na viongozi kusimamia.
 
Siku CCM tukiitoa madarakani ndiyo watoto wa watanzania wata-acha kusomea chini ya sakafu au chini ya miti!
 
kigoma kuna joto kwelikweli, inafika kipindi ndani hapakaliki inabidi wote mtoke nje mpate kaupepo kama alivyofanya mwalimu na wanafunzi wake. Serikali itabidi ifikirie mpango wa kufunga AC mashuleni maana hizi feni za sasa haziondoi tatizo la joto kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom