Huzuni: ameolewa, ni miaka 10 sasa lakini hajawahi kufika kileleni

usiweke komenti zenye hasira namna hii , utarogwa?? juzi niliweka kakomenti kambovu mbaya, jamaa waliniroga. nilipoteza mpaka memori za paswedi ya jf. baada ya maombi makali, nikaikumbuka!!
yan we klorokwini kila nikiona comment yako lazima nicheke, you are so hilarious man.
 
Ajaribu na kwingine aone (hata houseboy wa jirani siyo mbaya) kwani kitu gani? Unakaaje na mwanaume for 10 years kwenye ndoa kila siku anakojoa yeye tu? Lazima jamaa anatakuwa anakojoa mapema sana ndio maana mkewe hafiki kileleni !!!
 
kama huyo mama hajawahi kufika, amejuaje kuna kufika?
Au ni mzoefu wa kwenda nje ya ndoa?
Huyu anababaisha tu.

atakuwa alifikishwa kabla ya ndoa lakini kwenye ndoa hafiki.ndio maana anajua na anataka afike.msaidieni jamani mbona mnashupalia tu?
 
baada ya miaka 10 na watoto wawili juu anaanza kfikiria leo kufika kileleni au zamani jamaa alikuwa anamfikisha sasa afikishwi atuambia ukweli
 
amejitahidi 4 10 yrs lkn chiken party yake ndo imeishia hapo, ila mambo kama hayo huwa yapo, kama mwanaume hamwandai mkewe yeye akija ni kupanda tu unategemea nini? mme mtu wa musoma nini?
 
Acha kuonea watu wa musoma. Wengine, unakuta ni matatizo yao hasa wale waliozoea kutoa mimba sana huko nyuma kama wendawazimu....! Nakubaliana pia na wanaosema huyo lazima ni changu flani....kwani amewahi kumweleza mwenziwe juu ya issue hiyo na kuweza kujua kama tatizo liko wapi/kwa nani..? Namjua mmoja yeye anapenda sana kuliwa tigo na mmewe hataki na yeye kila akianza libeneke lazima aende ****** kukojoa kila baada ya dk 6......!
 
Jamani huu ni uwanja wa mawazo na kusaidiana,tangu mwanzo watu hawatoi solution ya tatizo zaidi ya kuleta mzaha...mm kwa mawazo yangu naona huyu mwanamama akae na mzee wake amwambie kinachomsibu na wajaribu kuangalia kamasutra,wajifunze mimbinu na miujanja ya kuduu.....
 
amejitahidi 4 10 yrs lkn chiken party yake ndo imeishia hapo, ila mambo kama hayo huwa yapo, kama mwanaume hamwandai mkewe yeye akija ni kupanda tu unategemea nini? mme mtu wa musoma nini?
teh teh teh...labda mtu wa mbeya...oops sorry...
 
baada ya miaka 10 na watoto wawili juu anaanza kfikiria leo kufika kileleni au zamani jamaa alikuwa anamfikisha sasa afikishwi atuambia ukweli
amevumilia sana bila mafanikio...
 
Ajaribu na kwingine aone (hata houseboy wa jirani siyo mbaya) kwani kitu gani? Unakaaje na mwanaume for 10 years kwenye ndoa kila siku anakojoa yeye tu? Lazima jamaa anatakuwa anakojoa mapema sana ndio maana mkewe hafiki kileleni !!!

mkuu ume ua bendi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom