Huyu Sijui Yuko Kitengo Gani....Aisee..

Ni mkuu wa kitengo cha mafunzo ya ukakamavu jeshini.
OTIS
 
Siyo kuondoa mafuta tu...wanapunguza size tumbo (abdomen) ili kupunguza kiasi cha chakula anachoweza kula kwa mara moja...

Kaka, nikusahihishe kidogo. Nadhani ulimaanisha "stomach". Stomach ndiyo digestive organ iliyopo kwenye abdomen.

Abdomen ndiyo lile eneo katika mwili wa binadamu lililo chini ya kifua na lina organs kadhaa na mojawapo ndiyo "stomach".

Kwa watu walio morbidly obese, wakienda kufanyiwa ile gastric bypass surgery huwa wanapunguziwa size ya hiyo "stomach".

Sasa kwa huyo jombaa hapo, procedure ambayo anaweza kufanyiwa kwenye abdomen ni liposuction ili kuyanyonya hayo mafuta yaliyojikusanya hapo.

Pia anaweza akahitaji cosmetic surgeries kuondoa excessive skin baada ya kupunguza huo uzito wake.
 
ha ha haaaa! hujui yupo katika kitengo gani mkuu?? Yupo katika kitengo cha ufisadi, wapokea rushwa na kitengo cha kula na kujaza choo
 
Kaka, nikusahihishe kidogo. Nadhani ulimaanisha "stomach". Stomach ndiyo digestive organ iliyopo kwenye abdomen.

Abdomen ndiyo lile eneo katika mwili wa binadamu lililo chini ya kifua na lina organs kadhaa na mojawapo ndiyo "stomach".

Kwa watu walio morbidly obese, wakienda kufanyiwa ile gastric bypass surgery huwa wanapunguziwa size ya hiyo "stomach".

Sasa kwa huyo jombaa hapo, procedure ambayo anaweza kufanyiwa kwenye abdomen ni liposuction ili kuyanyonya hayo mafuta yaliyojikusanya hapo.

Pia anaweza akahitaji cosmetic surgeries kuondoa excessive skin baada ya kupunguza huo uzito wake.

Haya mambo mengine yana hatari.bila shaka hayakosi side effects....
 
Back
Top Bottom