Huyu shekh hana haya? mwezi wote huu!!

Umejuaje kama ni sheikh,hata Wahaya wakristo,wapagani na waislamu huvaa kanzu
....Walikuwa kwenye onyesho la Miss Tanzania hao kwa hiyo maulevi kama kawa. Si unamuona huyo mdosi kulia mwenye shati la blue na tai black huwa yuko na akina Lundega. Tena huyo jamaa mwenye kanzu nadhani ni wale waarabu akima Barhaboo mabishoo tu wa kujiachia.
 
Kumbe mashehe wanakwenda kwenye Mashindano ya Ma Miss. Khaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom