Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,079
Mkuu Ndibalema Vipi wewe ? kuvaa Kanzu na Kilemba ndio kumuita Mtu Sheikh? Huko Uarabuni Kuvaa Kanzu na Kilemba ni mavazi yao ya Kiaarabu sio Usheikh hata wewe ukienda Uarabuni utavaa Kanzu na Kilemba sasa Tukuite sheikh Ndibalema?
Kutokaa na hali yao ya hewa kuwa na Joto kali sana wanavaa Kanzu na Kilemba ili kwa ajili ya mwili kupitisha hewa chini ndani huwa wanavaa Mabukta sio chupi mnazo vaa nyinyi Wabongo. Tembea Ndibalema Mkuu ujionee Mwenyewe mimi nimepita Syria ,Misri kuvaa Kanzu na kilemba ni kitu cha kawaida huku nilipo watu Wanavaa Suti na wanaingia Misikitini ni kitu cha kawaida tu.