Huyu Said Juma Nkumba CV yake kumbe iko hivi... Na makelele yote yale Bungeni!

Hayo ndiyo matatizo ya kupiga kura kwa mazoea. kwa nini tusiwalaumu pia waliompeleka huko bungeni?

Sidhani kama ni rahisi kuwalaumu waliompigia kura. Una uhakika gani na tume ya uchakachuzi tuliyonayo?
 
inabidi sheria iwepo kama haipo mbunge lazima awe na shahada yoyote ile
itasaaidia sana kupitisha sherria zenye maslahi ktk fani zao
tumefika tulipo kwa sababu ya umbumbumbu wa wabunge tulio nao
 
Sifa ya kwanza kabisa ya mbunge:Ajue kusoma na kuandika. Nyingine ni ziada--kama chachandu tu!
 
elimu ina uhusiano mkubwa na kujenga misingi ya maendeleo. kwa mfano, kwa nini sheria zetu zimekuwa mbovu kiasi kwamba hazitusaidii kuupinga umaskini wa pato la taifa na binafsi? rasilimali tunazo lakini bado HOHE HAHE, wapi tumeanguka?

moja ya sababu ninazo amini kuwa zimetufikisha mahali tulipo, ni kuwa na viongozi ambao elimu hawana, hivyo linapokuja swala la kuchanganua faida na hasira za mambo fulani, wao ni kufuata mkumbo. Ndio wabunge wengi wa CCM, kwani hawana uwezo wa kusoma sheria, na hivyo siku zote wako upande wa serikali ambao kimsingi wamekosea kabisa, lakini wabunge hao wanapitisha sheria hizo ambazo zikianza kutenda kazi ni kilio kitupu

Mnyika, Lissu, majimbo yao yanaweza yasiwe na maendeleo kwa maana ya ujenzi wa barabara, hospital na shule kutokana na fitina za serikali kuu ambao ndio wanaogawa pesa, lakini mchango wao katika kujenga mazingira ya kisheria na kiutendaji ni mkubwa mno.

ukiwa CCM na huna elimu, wanaweza kukuhakikishia bajeti ya kutosha na hivyo kutengeneza barabara za kutosha, lakini kwa habari ya mchango wa kitaifa huna msaada wowote.

na ikumbukwe maendeleo si majengo na barabara, bali ni watu kuishi vizuri kabisa kupitia sera na sheria zake makini.

Mbona cv yake inazidi ya mnyika? Wekeni na ya mnyika tulinganishe. Acheni upuuzi. Elimu ni upeo sio madarasa.
 
Huu ndio upuuzi wa siasa mavi za kanikiana cv kimajungu humu jf, mm sio ccm ni mwana cdm but sijafurahishwa hata kidogo na mleta thread kwani alichofanya yy ni kumdhalilisha hon. Nkumba, kwani hizo cv sinahusika nn na utendaji wa kazi mbunge mwenyewe? Jk nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri na hatokuja kutokea kama yy but je alikuwa na degree ngapi? Kama tukiwa tunafanya uppuzi kama wako basi ipo siku utatudhalilishia hata viongozi wetu wa cdm wenye elimu ya kawaida but wana uwezo mkubwa kama g.lema, mleta thread umetoa tusi ukidhani unamtusi nkumba na ccm kumbe umetutusi na cdm pia na kikubwa umemtusi na baba yako.' KWANI BABA YAKO ANA DEGREE NGAPI MPAKA AKAWEZA KUMDHALISHA MAMA YAKO NA KUKUZAA WW NA KUWEZA KUENDESHA FAMILIA YENU.
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1206.jpg
First Name:Said
Middle Name:Juma
Last Name:Nkumba
Member Type:Constituency Member
Constituent:Sikonge
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 9, Sikonge - Tabora
Office Phone:+255 787 770707
Ext.:
Office Fax:-
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Moshi Technical Secondary SchoolO-Level Education19821985SECONDARY
Isike Primary SchoolPrimary Education19731981PRIMARY
Bunda Teachers' Training CollegeCertificate in Teaching19861988CERTIFICATE
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No.IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
Secretary General Regional Admin. & Local Govt.Division Secretary20002000
The Parliament of TanzaniaMember - Sikonge Constituency20002015
Ministry of EducationTeacher Grd. III A19882000
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
CCM-Chama Cha MapinduziMember of Parliament2000Todate
CCM-Chama Cha MapinduziMember of National Executive Committee1997Todate
CCM-Chama Cha MapinduziMember of National Executive Council19921997
PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list

RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list


Hivi Sikonge Mbunge wenu ndio mmeona CV yake inatosha hapa?

Sina nia mbaya ila nilijua ana Masters degree.....

Sasa mbona wako weeeeengi ma DK na ma PROFF humo bungeni lakini hawasikiki,kwa tanzania wasomi wapo kwa maslahi ya familia zao hivyo acha mbumbumbu tusaidiane maana tunajuana shida zetu
 
Ehh bana wee, kumbe nyie nanyi wa Msange JKT? Ninamiss sana huko ingawa kulikuwa na kazi ngumu ila ni muda pekee ambao ubongo wangu ulipumzika sana sana.

Namkumbuka JAKATAA, mzee mmoja wa JWTZ alituchezesha kwata siku ya Uhuru wa Tanzania pale Tabora mjini. Enzi hizo tulihamishiwa kambi ya Miyemba na kila siku jioni ni Tabora mjini kutembea na washikaji kadhaa tukiongozwa na Pepo Mkuu.

Sidhani kama Mfalila alishawahi kugombea. Huyu jamaa ni Mbovu sana sana na hafai kabisa kuwa mbunge duniani na hata kuwa mwalimu bado hafai. Alikuwa akishinda kwa kutumia nguvu ya baba yake aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora na kila aliyegombea alipigwa chini. Mfano mzuri ni Joseph Kakunda ambaye ni mzuri sana ila akakutana na nguvu ya baba yake Nkumba akawekwa chini.

Nilikuwa nafikiria niingie kwenye uchaguzi mwaka 2015 ila nilipoona Bunge lenyewe limejaa watu kama LUSINDE nikakata tamaa. Yaani na USIKONGE wangu wote nianze kutukanana na jitu kama Lusinde au Nkumba? Halafu kibaya zaidi mtukanaji kama huyo anakuja kukushinda kwenye uchaguzi kwa kuhonga au ...... Itakuwa aibu sana kwangu.

Pana kijana nilikuwa namtaka aje kugombea kwa Chadema ila sijui kama atakubali. Ni kijana mzuri, msomi mzuri tu na sasa yuko mbioni kumalizia PhD yake. Ila hapa usomi msiuwekee nguvu sana. La muhimu sana alilolifanya huyu dogo ni kozi mbalimbali alizojisomea na kujiweka kwenye sehemu ambayo anaweza kujadiliana na watu wa aina tofauti tofauti katika field nyingi sana duniani. Nimekuwa nikimpa shule sana na busara nyingi za kimaisha na nategemea atasikiliza wito wangu na kugombea.

DSC_8807.JPG


Mwaka jana wakati Sikonge watu wanakufa njaa, Mbunge Wa Jimbo la Sikonge Tabora Saidi Mkumba akimkabidhi Kiongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Saidi Mabera Kitata cha Shilingi Laki Tatu kwa ajili ya bendi.

huo ndo upuuzi ambao mm huwa sikubaliani nao hata siku moja, kazi ya mbunge kwani kulisha watu jimboni kwa fedha zake? Ww hujui kazi ya mbunge? Hata kama ss ni wapinzani lakini tujue kuna mambo huwa hayahitaji ushabiki wa kisiasa hata kidogo kwani tukifanya hivyo tutakuwa tunajidhalilisha wenyewe kwani hata majimbo ya viongozi wetu wa upinzani wapo watu wanaolala njaa but tatizo so la mbunge bkoz katiba umefinya na kutoa madaraka madogo kwa mbunge ktk kutekeleza shuguli za maendeleo jimboni, alafu kitendo cha kuchukua picha personal na kuzianika humu huo ni uchanga wa kisiasa kwani kila mtu ana fani anyoipenda so kama siasa ndo hivi basi ipo siku wengine tukiwa wabunge basi mtatuanikia hata picha zetu tulizopiga na mama zetu na kusema ni wapenzi wetu.
Mkuu sikonge kwa hii comment yako nimekushusa thamani sna na kwa taarifa yako hapo sikonge takayeikomboa kupitia cdm ni mtoto wa nkumba mwenyewe anayeitwa Hamis nkumba kwani kijana ndo anafaa sana japokuwa baba yake ni ccm kama unabisha subiri 2020 ndo utaona moto wake.
 
Huu ndio upuuzi wa siasa mavi za kanikiana cv kimajungu humu jf, mm sio ccm ni mwana cdm but sijafurahishwa hata kidogo na mleta thread kwani alichofanya yy ni kumdhalilisha hon. Nkumba, kwani hizo cv sinahusika nn na utendaji wa kazi mbunge mwenyewe? Jk nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri na hatokuja kutokea kama yy but je alikuwa na degree ngapi? Kama tukiwa tunafanya uppuzi kama wako basi ipo siku utatudhalilishia hata viongozi wetu wa cdm wenye elimu ya kawaida but wana uwezo mkubwa kama g.lema, mleta thread umetoa tusi ukidhani unamtusi nkumba na ccm kumbe umetutusi na cdm pia na kikubwa umemtusi na baba yako.' KWANI BABA YAKO ANA DEGREE NGAPI MPAKA AKAWEZA KUMDHALISHA MAMA YAKO NA KUKUZAA WW NA KUWEZA KUENDESHA FAMILIA YENU.

Taratibu mkuu.
 
Jamani hii Dunia watu wanadanganya sana,huyu Said Juma Nkumba namfahamu vizuri sana.Baba yake alikuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Tabora,walikuwa wakikaa sehemu iitwayo mtendeni.Hakufauru elimu ya msingi (Isike)na hata isevya aliporudia, akarudia tena Shule ya msingi Magereza_ Uyui ndio akafauru ndo maana elimu ya msingi utaona alianza 1973-1981 sababu ya kurudia.Wakati anarudia sisi tulikuwa wadogo sana kwani tulikuwa na dada zake Khadija,Pili,Farida na ndogo wake wa kiume Issa,huwa nashanga akisema ana miaka 42! kwani wakati anarudia darasa la sita uyui 1980 alikuwa na zaidi ya miaka 22! Ila mwili wake ni mdogomdogo kama baba yake.Said upo! unawakumbuka akina Shabani,Hussen machibya, Njawa Silanda Kadimu,Betty Swai,Rahel Kasanga,Optati Hipolit,David Matambo,Nassa Mkalambati na wengine kibao!!! mwalimu Matiku unamkumbuka?
 
Jamani hii Dunia watu wanadanganya sana,huyu Said Juma Nkumba namfahamu vizuri sana.Baba yake alikuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Tabora,walikuwa wakikaa sehemu iitwayo mtendeni.Hakufauru elimu ya msingi (Isike)na hata isevya aliporudia, akarudia tena Shule ya msingi Magereza_ Uyui ndio akafauru ndo maana elimu ya msingi utaona alianza 1973-1981 sababu ya kurudia.Wakati anarudia sisi tulikuwa wadogo sana kwani tulikuwa na dada zake Khadija,Pili,Farida na ndogo wake wa kiume Issa,huwa nashanga akisema ana miaka 42! kwani wakati anarudia darasa la sita uyui 1980 alikuwa na zaidi ya miaka 22! Ila mwili wake ni mdogomdogo kama baba yake.Said upo! unawakumbuka akina Shabani,Hussen machibya, Njawa Silanda Kadimu,Betty Swai,Rahel Kasanga,Optati Hipolit,David Matambo,Nassa Mkalambati na wengine kibao!!! mwalimu Matiku unamkumbuka?

Salutation
Honourable
Member picture
clip_image002.jpg
First Name:
Godbless
Middle Name:
Jonathan
Last Name:
Lema
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Arusha Mjini
Political Party:
CHADEMA
Office Location:
Box 16531, Arusha
Office Phone:
+255 764 150747
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth

EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Kalangala Primary School
Primary Education
1983
1989
PRIMARY
Geita Secondary School
O-Level Education
1989
1991
SECONDARY
Kolila Secondary School
A-Level Education
1991
1993
SECONDARY
Cambridge International College
Diploma
2008
2010
DIPLOMA
Cambridge International College
Degree
2010
Todate
NOT COMPLETED

CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Arusha Urban Constituency
2010
2015
PTN
Chief Executive Officer (CEO)
2007
2008
Tanzania Labour Party, TLP
District Secretary General
2005
2008
DENETRIA
Director
2005
2008

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Member of Parliament
2010
Date
Tanzania Labour Party, TLP
District Secretary General
2005
2008
Tanzania Labour Party, TLP
Candidate, Member of Parliament
2005

PUBLICATIONS
Description
Published Date
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha
2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha
2008
 
cha ajabu nini?kwani zama za ufisadi dotcom wasomi hawafanyi madudu.ndugu unaweza kupiga kitabu lakini usijue nini wananchi wanataka leadership is a talent and not a hobby.
 
mi sioni tatizo hapa.tatizo ni kutumia matatizo ya wapiga kula kujipatia kula.je unafahamu kuna majimbo kama lille la Isimani la mheshimiwa Wiliamu Lukuvi ambalo siku ukame ukiisha ndiyo mwisho wa lukuvi kupata kula maana wanampa kura kwa mahindi ya msaada ayopeleka na si kingine.japo mwenyewe analijua hilo.ukitaka kukosana naye zungumzia mambo ya kuwashawishi wananchi wake walime mazao yanayostahimili ukame.anapenda aone kwenye oradha ya watu waohitaji msaada wa chakula kutoka isimani inongezeka kila siku.nilifuatili cv yake.haiko mbali sana ile ya nkumba.kwa hiyo elimu ni chachu ya kuongeza fikra
 
kama huyu mbunge anatimiza majukumu yake vizuri hamna tatizo lakini pia ni uongo kuamini kuwa elimu nzuri haina msaada katika ufanisi wa shughuli za kibunge
 
Ninachokiona katika Bunge hili ni ukosefu wa kuelewa kwa sheria na kanuni za bunge kwa wabunge wengi ikiwa ni pamoja na Spika mwenyewe.. Hili nadhani linahitaji uelewa mpana wa Wabunge.. Hapa ndipo umuhimu wa shule kidogo unapoonekana.. Wabunge wa upinzani wanaonyesha uwezo wao wa kuzisoma na kuzielewa sheria na kanuni.. Pia uwezo wa kusoma na kuchambua mijadala muhimu ya kitaifa..
 
elimu..hakuna mjadala, ni ufunguo wa maisha..! lkn limekuwa kosa na ujinga mkubwa sana ktk zama hizi kuamini kuwa uongozi mzuri na bora ni elimu (tena ya kupata vyetu kutoka vyuo vikuu)...alipoondolewa madarakani fashist idi amin mwaka 1979 (nikiwa darasa la pili, mgulani sm)aliingizwa profesa yussuf lule ( marehemu?)...nchi ilimshinda!....elimu ni sehemu mojaa wapo ya vinavyohitajika kumfanya kiongozi mzuri...ujuzi,uzoefu,busara, na uchamungu ndiyo msingi wa kiongozi mzuri....
 
kkusema ukweli bila ushabiki katika ccm mbunge ninayemwamini ni huyu bwana NKUMBA.kama sijakosea aliingia madarakani 2005,akakodi chumba pale lutheran hostel amekaa pale mpaka leo hajahama pale na kwa utaratibu wa pale wabunge wote wa ccm wameshindwa masharti ya pale kwa sababu ya ulevi na wanawake.NKUMBA anakaa pale ukimwona na mwanamke ujue mke wake amaingia dom.kuhusu jimboni kwake sijui sana kwani kwa utawala wa ccm ni vigumu sana kuwa na maendeleo katika majimbo.wakati lowasa akitema uwaziri mkuu tulikuwa na huyu bwana na alikuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na sijui kama amebadilika,huyu alistahili kuwa chadema kwani ni moja ya wabunge wachache ndani ya ccm walioingia madarakani bila rushwa.
 
Huu ndio upuuzi wa siasa mavi za kanikiana cv kimajungu humu jf, mm sio ccm ni mwana cdm but sijafurahishwa hata kidogo na mleta thread kwani alichofanya yy ni kumdhalilisha hon. Nkumba, kwani hizo cv sinahusika nn na utendaji wa kazi mbunge mwenyewe? Jk nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri na hatokuja kutokea kama yy but je alikuwa na degree ngapi? Kama tukiwa tunafanya uppuzi kama wako basi ipo siku utatudhalilishia hata viongozi wetu wa cdm wenye elimu ya kawaida but wana uwezo mkubwa kama g.lema, mleta thread umetoa tusi ukidhani unamtusi nkumba na ccm kumbe umetutusi na cdm pia na kikubwa umemtusi na baba yako.' KWANI BABA YAKO ANA DEGREE NGAPI MPAKA AKAWEZA KUMDHALISHA MAMA YAKO NA KUKUZAA WW NA KUWEZA KUENDESHA FAMILIA YENU.

Kwenye RED: Una hakika gani nchi hii hatokuja Rais mzuri kuzidi Mwl. Nyerere? Fafanua ndugu

Nyerere ana Degree aliyoipata Makerere University sio kama Mkumba.

Nia si kumdhalilisha Mkumba bali ni kuweka wazi CV yake watu waijue sasa unalia nini? Au baba yako huyo? Kama umekasirika Jinyonge.
 
Hiyo ndiyo demokrasia, mwaka 2000 alimpiga chini Jaji Mfalila katika kura za maoni. Ni mzuri sana kwa kuimba kwaya, namkumbuka JKT Msange alikuwa anatuburudisha kila usiku kombania B. Pia alikuwa hodari kukaanga bisi

Jina lingine wanaita LUKETO

Nikirudi kwa mwanzisha thread. Binafsi sioni umuhimu wa elimu katika kuwakilisha wananchi(ubunge), japo elimu inaweza kuwa ni added advantage ya kumfanya mtu awe na upeo mkubwa wa kuchangia mijadala. Kitu muhimu ni kuangalia masilahi ya unawawakilisha, nafikiri kinachowafanya wabunge wengi wa CCM waonekane ni dummies (useless) wanatumikia chama zaidi ya constituents zao. Huu ni udhaifu mkubwa sana na ni kirusi kinachoimaliza CCM polepole bila kujijua.

Wanakuwa mashabiki sana wa CCM ila siku wakitupwa nje ya uteuzi wa kugombea na halamashauri kuu wanajutia unafiki wao. Kwa mfano ukiona sasa wengi wanashabikia katiba itakayowapatia CCM priorities na moja ya hizo priorities ni kuhakikisha hakuna mgombea binafsi. Ila wakiachwa nje ya teuzi wanahaha kutafuta vyama wakati wangeweza kugombea kama private candidates.
 
Wewe ulitaka awe na cv gani? Wewe unayo? Na kama unayo mbona hujapata ubunge? Kasome katiba ujikumbushe masharti ya kuchaguliwa kuwa mbunge. Hii cv yake inatosha sana. Au unataka kumaanisha kuwa mwalimu wa shule ya msingi hastahili kuchaguliwa kuwa mbunge? Umekosea sana ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom