Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Ehh bana wee, kumbe nyie nanyi wa Msange JKT? Ninamiss sana huko ingawa kulikuwa na kazi ngumu ila ni muda pekee ambao ubongo wangu ulipumzika sana sana.
Namkumbuka JAKATAA, mzee mmoja wa JWTZ alituchezesha kwata siku ya Uhuru wa Tanzania pale Tabora mjini. Enzi hizo tulihamishiwa kambi ya Miyemba na kila siku jioni ni Tabora mjini kutembea na washikaji kadhaa tukiongozwa na Pepo Mkuu.
Sidhani kama Mfalila alishawahi kugombea. Huyu jamaa ni Mbovu sana sana na hafai kabisa kuwa mbunge duniani na hata kuwa mwalimu bado hafai. Alikuwa akishinda kwa kutumia nguvu ya baba yake aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora na kila aliyegombea alipigwa chini. Mfano mzuri ni Joseph Kakunda ambaye ni mzuri sana ila akakutana na nguvu ya baba yake Nkumba akawekwa chini.
Nilikuwa nafikiria niingie kwenye uchaguzi mwaka 2015 ila nilipoona Bunge lenyewe limejaa watu kama LUSINDE nikakata tamaa. Yaani na USIKONGE wangu wote nianze kutukanana na jitu kama Lusinde au Nkumba? Halafu kibaya zaidi mtukanaji kama huyo anakuja kukushinda kwenye uchaguzi kwa kuhonga au ...... Itakuwa aibu sana kwangu.
Pana kijana nilikuwa namtaka aje kugombea kwa Chadema ila sijui kama atakubali. Ni kijana mzuri, msomi mzuri tu na sasa yuko mbioni kumalizia PhD yake. Ila hapa usomi msiuwekee nguvu sana. La muhimu sana alilolifanya huyu dogo ni kozi mbalimbali alizojisomea na kujiweka kwenye sehemu ambayo anaweza kujadiliana na watu wa aina tofauti tofauti katika field nyingi sana duniani. Nimekuwa nikimpa shule sana na busara nyingi za kimaisha na nategemea atasikiliza wito wangu na kugombea.
Mwaka jana wakati Sikonge watu wanakufa njaa, Mbunge Wa Jimbo la Sikonge Tabora Saidi Mkumba akimkabidhi Kiongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Saidi Mabera Kitata cha Shilingi Laki Tatu kwa ajili ya bendi.

Hiyo ndiyo demokrasia, mwaka 2000 alimpiga chini Jaji Mfalila katika kura za maoni. Ni mzuri sana kwa kuimba kwaya, namkumbuka JKT Msange alikuwa anatuburudisha kila usiku kombania B. Pia alikuwa hodari kukaanga bisi
enzi zile za jakataaa!!!!!!!!!!!!!!!! da nimecheka sana.
huwa najiuliza, mtu akienda kugombea kanafasi fulani, hata mabaya aliyoyatenda akiwa mbali na nyumbani yataibuliwa, wanayatoa wapi wapinzani wake? kumbe ni kupitia social networks kama hizi, sasa leo tumejua mh. alipitia jakuta, na likuwa muimbaji mzuri tena mkaanga bisi