Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,559
Ningeomba Tutafakari kwa Kina Speech hii ya bwana Mkapa wakati anapokea Tuzo ya TASWA
Akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo, Mkapa alisema siku alipopewa barua ya mwaliko wa sherehe hiyo na pia maelezo kwamba atatunukiwa tuzo ya heshima, alipatwa na mshtuko.
Mkapa alisema mshtuko huo ulitokana na ukweli kwamba, wakati wa utawala wake, hakuwa kuhudhuria mechi yoyote ama kufanya harakati za kusukumuma shughuli za michezo.
"Lakini maelezo yake yalikuwa hivi, nyote mnakumbuka zama zile za ukapa. Waswahili wanasema, kupanga ni kuchagua. Wakati ule wa ukapa niliamua kuweka mkazo katika kukusanya kodi ili serikali iweze kutumia kile ilichonacho kujiendesha na baadaye kupigania kupata misamaha ya madeni," alisema Mkapa huku akishangiliwa kwa mayowe mengi.