Huyu ni nani?

Huyu bwana alisoma Forest Hill Secondary School,Morogoro kati ya 1983-1986 na akaishia hapo.Wakati huo akimiliki na kucheza timu ya mpira ikiitwa Dubai Sports na pale opposite na stand ya zamani walikuwa wanauza ice cream(cone??) on behalf of Bakhressa pale Morogoro.Sijui uhusiano wake na Bakhressa ukoje.Inadaiwa kuwa hiyo nyumba ya consul wa Comoro anaimiliki.Ikumbukuwe kuwa miaka ya mwanzo ya 2000 mabinti wawili(Mamiss) walikutwa wamekufa katika swiming pool ya jumba hilo na mpaka leo hakuna aliyeshtakiwa kwa vifo hivyo.Very controversial guy.He is very obese these days but alikuwa a talented footballer during schooldays....his ADC is on Ipyana Mwandambo

Corrections ADC is one Ipyana Mwandambo also an ex-Forest Hill Secondary School 1984-1987
 
Waarabu wameiteka nchi tayari. Yaani watu wanadanganywa na vipesa kidogo tu kwisha kazi. Mie yangu macho. Mkuu MMKJJ pongezi zikufikie huyu ni mmoja wa hao wanaotumika kwa mwavuli.
 
Muzee Mwana Kijiji come on sasa shusha maneno yako juu ya mtu huyu.Ili wana JF wakabiliane naye wakati wa uchaguzi akitaka kupandikiza mapandikizi yake Mjengoni.
Wasalimie wajukuu wote

Kim -A -Tire
 
Huyu jamaa CV yake mbona ni kubwa lakini hajawahi kuandikwa magazetini? au kuwekwa kwenye any website for any reasons?

Labda kama spelling imekosewa, lakini kwa sifa mlizozitaja kuanzia kumiliki vituo mpaka kununua timu, lazima alitakiwa apatikane kwenye internet. Ukitumia google search unalipata JF forum tu, kwenye hii thread ya MKJJ!

If so, then sijajua hiyo report ina nini, ila kutopatikana kwenye media kwa mtu 'prominent' kama yeye is real alarming! Tabia za kutopigwa picha hovyo na kuficha ficha habari zako ni tabia za kigaidi.
SPELLING MISTAKES:
merey balhabou, i think its the correct one!.
 
Ndio huyo, pia anahusishwa na kuwatembelea wanaume (tena maarufu hapa mjini) kinyume na maumbile... kasaidia "chama chetu" pia

Kwa hilo fedha zake za mashetani. Labda ananunua na mikono ya albino
 
Pia ni ndugu ya ISLAM ALLY SALEH ambaye ni Mwakilishi mkazi wa nchi ya Comoro hapa nchini kama sikosei. Kampuni yao ni TIOT na baadaye walianzisha nyingine inaitwa Kigamboni Investment & Oil Company yenye ofisi pale Haidery Plaza ilipokuwa TIOT.
 
.

Ni Hubert, but this guy is young, bright and briliant, but licha ya kuwa ni one of few young self made millioneirs, he is very humble na down to earth. Anamiliki redio station na sijawahi kusikia hata akitajwa kwenye redio yake. Wapambe wake ndio wanaishi top life na maferari, vogue na hammer zao.

Hata Osama Bin Laden is old, bright and brilliant and down to earth. Wapambe wake ndio wanaishi top life.

Ukimwondosha Albert aka Hurbet na "uozo" uliotendeka ndani ya TPDF (Mboma era) utakuwa unatenda dhambi kubwa kwa TAIFA letu tukufu Tanzania!

Huyu kijana bright ni hatari sana kwa nchi hii!
 
Allegations without evidence is jeuolesy...na huko ndiko unakoelekea.

mwanakijiji namsubiri alete accusation zake ndio tujadili

kwa sasa wacha jamaa awe millionare kwa nafasi yake...

Tanzania mafanikio ni juhudi yako and the sky is the limit hiyo Tanzania tunayoitaka siyo ya enzi za mchongo uchoyo uchoyo na ubinafsi..

kama hajaiba let him be rich..
 
Mbona unamtetea huyu fisadi???au na wewe ni mmojawapo wa hao wanaume wanao..........kinyume na maumbile??tujuze tukuelewe mukulu.
NJAA MBAYA.
 
Huyu bwana alisoma Forest Hill Secondary School,Morogoro kati ya 1983-1986 na akaishia hapo.Wakati huo akimiliki na kucheza timu ya mpira ikiitwa Dubai Sports na pale opposite na stand ya zamani walikuwa wanauza ice cream(cone??) on behalf of Bakhressa pale Morogoro.Sijui uhusiano wake na Bakhressa ukoje.Inadaiwa kuwa hiyo nyumba ya consul wa Comoro anaimiliki.Ikumbukuwe kuwa miaka ya mwanzo ya 2000 mabinti wawili(Mamiss) walikutwa wamekufa katika swiming pool ya jumba hilo na mpaka leo hakuna aliyeshtakiwa kwa vifo hivyo.Very controversial guy.He is very obese these days but alikuwa a talented footballer during schooldays....his ADC is on Ipyana Mwandambo

Ipyana Mwandembwa
 
It gets very interesting kuona jinsi fikra zetu zilivyo.Zinaonyesha kuwa watu wameanza kujuajua mambo yanavyoendeshwa.
Ila kama ilivyo kawaida, kila mwenye masikio na aamue kusikiliza au kukataa kusikiliza. Ndivyo binadamu tulivyo
 
Tanzania ikiwa na akina tumain millioni tumekwisha.
ndio sababu ku move nchi hii imekuwa taabu tupu. Naililia nchi yangu.
 
Mbona unamtetea huyu fisadi???au na wewe ni mmojawapo wa hao wanaume wanao..........kinyume na maumbile??tujuze tukuelewe mukulu.
NJAA MBAYA.

Sijamtetea vilevile siwezi kum-accuse kwasababu hakuna vithibitisho vyovyote ila hearsay

Tema mate chini upuuzi huo siwezi kufanya chafu...

Sina njaa yeyote na nina uhakika wa maisha yangu yote hadi kifo

Si tabia yangu kumtuhumu mtu kwasababu ni tajiri..huo ni wivu na ujinga leteni vithibitisho tumsakame
 
Tanzania ikiwa na akina tumain millioni tumekwisha.
ndio sababu ku move nchi hii imekuwa taabu tupu. Naililia nchi yangu.

Mind your own business...standard ya argument zako ni very low...

Kina tumain hawawezi kupatikana kirahisi hivyo wako wachache na adimu...huja kwa wakati.

Walio wengi ni kama wewe bendera fuata upepo pole..
 
Bwana huyu anauhusiano wa karibu na mh shabiby na ninavyosikia pia wanauhusiano wa mbali kina bakhresa, lakini hawana good terms kwakuwa huyu bwana yupo sana kwenye shady business.....anamiliki hotel dodoma....kuna ishu kwamba wanajenga kiwanda kikubwa sana sehemu za kusini ( nazani ni cha cement) ila wao ilikuwa nia ni kupiga pesa ndefu lakini investors walishtuka kwa hiyo ile pesa haipiti mkononi mwao...too bad...ila jamaa huyu ni mafia.....ni mtu mwenye moyo wa kusaidia nasikia ila pia ni mtu wa wanawake sana...
 
Hata Osama Bin Laden is old, bright and brilliant and down to earth. Wapambe wake ndio wanaishi top life.

Ukimwondosha Albert aka Hurbet na "uozo" uliotendeka ndani ya TPDF (Mboma era) utakuwa unatenda dhambi kubwa kwa TAIFA letu tukufu Tanzania!

Huyu kijana bright ni hatari sana kwa nchi hii!
.
Baba Enock, tuwe wakweli, hatari ni kijana mdogo Hubert alietake advantage ya mchongo, au the insiders waliotoa mchongo?.

Jeshi linaagiza kila kitu bila kulipa kodi. Ukibahatika kuwa supplier hivi wewe supplier ndio hatari, ama waliosuka mchongo wa tax free na walioupitisha?.

Ni kweli watanzania wengi, ni masikini wa kutupa, wanaishi for less than a $ a day!. Hii isiwe sababu ya kumchukia kila self made millionaires wether kwa njia halali au kwa njia za mkato.

Kunu member mmoja humu aliwahi kuandika mahali 'get rich or die trying'.
Tusijeonekana hasira za baadhi yetu ni sizitaki mbichi hizi, ila hiyo michongo ingewakalia wao ndio mji ungewakoma.
 
Back
Top Bottom