Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #21
Nilikuwa nataka kuuliza next natural question.. hasa mahusiano yake na Gen. Mboma.. na DRC nadhani connection niliyotaka kuithibitisha nimeishaiona.. Shukrani
Mwanakijiji hili nalo linafikirisha. .....then acha niendelee kufikiri.Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?
Nilikuwa nataka kuuliza next natural question.. hasa mahusiano yake na Gen. Mboma.. na DRC nadhani connection niliyotaka kuithibitisha nimeishaiona.. Shukrani
Mzee Mwanakijiji, bado watuacha mataa pamoja na data zote zilizoanikwa kuhusu huyu jamaa. "Ripoti muhimu sana", jina moja limeongezwa!..Anyway nadhani subira yavuta kheri, ngoja tuisubiri ripoti hiyo!Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:
Merei Balhaboo
Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Huyu jamaa CV yake mbona ni kubwa lakini hajawahi kuandikwa magazetini? au kuwekwa kwenye any website for any reasons?
Labda kama spelling imekosewa, lakini kwa sifa mlizozitaja kuanzia kumiliki vituo mpaka kununua timu, lazima alitakiwa apatikane kwenye internet. Ukitumia google search unalipata JF forum tu, kwenye hii thread ya MKJJ!
If so, then sijajua hiyo report ina nini, ila kutopatikana kwenye media kwa mtu 'prominent' kama yeye is real alarming! Tabia za kutopigwa picha hovyo na kuficha ficha habari zako ni tabia za kigaidi.[/QUOTE]
Siyo kila mtu anapenda misifa kama Reginald Mengi
Na siyo kila asiyopenda kupiga picha, kueleza habari na kuonekana akijitangaza ni Gaidi ni hulka wako wengi watu wema wenye tabia hizo millions
Tabia ya kupenda kuonekana kwenye mitandao, magazetini ni tabia za watu malimbukeni wanaopenda sifa za ziada hata kama wanafanya mambo ya kawaida..ni wa washenzi tu ndio watawasifia
Sikubaliani na conclusion yako
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?
Ndio walikuwa wanadeal na mafuta ya jeshi?

wakati naandika sikuandika ili mtu akubaliane na mimi,
Mengi anaingiaje hapa?
watu wote wanaoonekana kwenye mitandao, magazetini n.k huwa wanaamua wao wenyewe? Ok, huyo mengi kila picha anasema wampige na kumweka kwenye media? Mtu mpaka ananunua club ya mpira hakuna gazeti lililomwandika?
Dear Tuma, sikujenga conclusion yangu kwa fiction,
''Despite his political rank, and his high status on the FBI's wanted list, not much is publicly known about Omar. Few photos, none of them official, exist of him and a picture used in 2002 by many media, has since been established to be another Taliban official. The authenticity of the existing images is debated''-wikipedia
Huyo si mwingine bali ni Mohammed Omar-''Mtaliban'' AU Mullah Omar, ambaye pamoja na rank yake kubwa (kiongozi wa taliban mpaka kuwa head of state kwa miaka 5! watu hawazijui picha zake
Carlos the Jackal-Kuna picha za kuchorwa na photo zake nyingi zilikuwa zinakisiwa mpaka alipokamatwa.
Omar na Carlos walikuwa hawapendi ujiko ndio maana picha zao hazipatikani??
So, sikusema kufurahisha jamvi, nilisema kwa knowledge yangu ndogo; I may be wrong kwa huyu mtanzania, but still what I was thinking can be valid to some people globally as the case for Mullah and Carlos.
Halafu jaribu kuondoa personal issues unavyojadili mambo at least tukiwa huku 'kwa watu' kwenye jukwaa la intelligence.Fanya kama huoni, ukiwa huku vaa degree yako na hekima yako, tukienda kule bandani kwetu kwenye jukwaa la 'habari mchanganyiko ' vua degree na hekima yako sema utakacho. Maana akili unayo ila unajifanyisha tu, wakati mwingine sitakukumbusha tena , kuwa huku tuko kwa watu, wenyewe wanaita -jamii intelligence.

Wakati unauliza mengi aliingiaje hapa wewe naona umeweka majina ya kina MUlla omar inaonyesha tunaongea lugha moja nayo ni lugha ya mifano..kwa assesment yangu huyo mengi anapenda misifa unaweza usikubaliane nayo sawa tu
Ndiyo maana nilisema sikubaliani na hiyo conclusion if that is to personalize the issue sorry!
Hata huyo Mulla si gaidi ni kiongozi wa heshima kwa nchi yake, lakini hao magaidi (CIA) ndio wamembatiza jina hilo inategemea unatumiaje neno gaidi...mvamizi vs. mvamiwa.
Huyo jamaa kutopenda magazeti ni hulka yake, na hakuna sababu ya kufikiri kwamba wasiopenda misifa na media ni magaidi hiyo conclusion yako ni "misleading" halafu ina promote watu kuwa na kiherehere (ulimbukeni).
Sikubaliana na conclusion yako naweza kuwa right au wrong nothing personal at all (huo muda sina)

Haya nimekuelewa kaka tuendelee na maada yetu...huyu jamaa wewe unamfahamu?I mean Merei Balhaboo??
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?
Nimestuka sana katika hili,inawezekana Merei naye ana nguvu kama ya RA ya kusema kinyamana natake awe waziri wa madini na ikawa kwaajili ya kulinda interest zake? basi nchi hii kuna mambo mazito zaidi ya tujuavyo.
Huyu ni mfanyabiashara wa mafuta, owner wa TIOT.Hii kampuni ilikuwa mahususi kwa kuuza mafuta Zambia na Congo.Inaaminika mmoja wa shareholders ni Gen. Mboma ingawa siwezi kuthibitisha hilo.Ninachojua walikuwa wanapitishia mafuta bandari ya Tanga na walituhumiwa kutolipia ushuru baadae kampuni hii ikifa natural death.
Nilikuwa nataka kuuliza next natural question.. hasa mahusiano yake na Gen. Mboma.. na DRC nadhani connection niliyotaka kuithibitisha nimeishaiona.. Shukrani
Ndio walikuwa wanadeal na mafuta ya jeshi?
well it depends what is meant by "mafuta yajeshi".. next question.. jeshi gani?