Huyu ni nani?

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Huyu aliekaa kushoto kwako ni nani? Kwa kupunguza ukali wa swali ni kwamba dada huyu alivuma sana hapa bongo miaka ya 2001 hadi 2005.
 
Attachments

  • 055.JPG
    055.JPG
    64.5 KB · Views: 160
Wadau,

Habari zenu woote. Najua nitakuwa nimetoka nje ya mada hii lakini sio kwa nia mbaya. Nahitaji msaada wenu. Naomba mnisaidie namna ya Kuwasilisha mada zangu kama ninyi mnavyofanya ktk forum hii, muhimu sana wadau. Asanteni
 
unaingia photo forum, juu wameandika new post, sehem ya kuandika ujumbe juu kuna sehemu ukiweka mouse inakwambia insert image, unaclick hapo insert image, then utachagua kama ipo kwenye desktop na folda gani, then una-open hiyo picha, moja kwa moja inatokea kwenye sehem ya msg, then una-submit,
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom