Huyu ni Mtu muhimu sana hapa JF! unaweza kumtambua?

Nilikuwa sijui kwamba Wajapan siku hizi wamebadili maandishi yao na wanatumia maandishi ya Kiingereza!!

Unajuwa kusoma kijapan? haya soma hapa: みどり

Halafu sasa jibu swali langu.
 

Exactly, sasa wewe midori yako inamaanisha nini? mimi najuwa kupitia Google translate kuwa midori ni "green" kwa kijapani au ulikosea kuandika? kama umekosea kuandika kuna kifungo cha edit hapo una bofya tu na kurekebisha usione vibaya kwani najuwa kuwa Kiswahili wala Kiingereza si lugha mama kwako.
 
attachment.php
Du hii sarawali ya kung'aa inakumbusha mwaka wa 47 wakati ule zinaitwa sarawali za mchelemchele
 
Hizi enzi za kupigia picha chumbani tena kitandani halafu KaTv kanaonekana inanikumbusha mbaaaaali sana!
04.jpg
 
I looks like no one cares what you are selling. au ulikua unatest mic tu? fundi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom