Huyu Ni Mchezaji Wa Timu Gani?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
MPOK5340.jpg

Jamani naomba kumjua huyu mchezaji pichani kulia ni mchezaji wa timu gani?
 
ni mchezaji mpya wa ile timu ambayo jengo la makao yake makuu yalikatwa umeme kwa zaidi ya miaka 10, na pia wanadaiwa deni la chapati 20 toka kwa Mama lishe.
Chapati hizo zinadaiwa tangu enzi ile mdhamini Azim Dewji
 
Huyo sio mchezaji mpira ni Bongo movies star anaitwa JB, hapo ni uwanja wa Taifa mpya ilikua ni a charity match kuchangia wathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto, ambapo timbili sili cheza match ya kirafiki , ambazo zilikua ni zinazo wakilisha wasanii wa Bongo Movies na Bonga Flava Music. Mbaka mwisho wa mchezo timu ya wasanii wa Bongo flava ilishinda sikumbuki mabao mangapi. Again , ni faida kwa wanao kusanya michango na ni Msiba mkubwa kwa wasanii wote hao wa Music na Movies maana Mdhalimu wao mkubwa Ruge Mutahaba ana zidi kupanda chati na kukubalika huku akizidi kuwa dudumiza na kuwagandamiza .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom