Huyu ni aunt ezekiel ama kituko ;nani kamtengeneza hivi jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,905
21,992
Haaaahaaaaaaaaaa

mungu mkubwa kweli anaposema wawili wataunganika na kuwa kitu kimoja aijalishi we ni kituko kiasi gan mbele ya jamiii bado neno la mungu litasimama pale pale na hatimae aunt ezekiel amepata yule anaefanana nae wake wa milele usiniulize milele ipi ....
 
Attachments

  • jini ama.jpg
    jini ama.jpg
    16.3 KB · Views: 760
  • papa.jpg
    papa.jpg
    4.6 KB · Views: 7,156
ukichagua nazi utapata "KOROMA".......teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi...........!:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
wana allergy na wanaume maskini! woteeeeee wanataka wenye mshiko na mapene ya kufa mtu! sijajua uhusiano wa real luv na MONEYYYYY! mwenye kujua anijuze tafadhali!
 
wana allergy na wanaume maskini! woteeeeee wanataka wenye mshiko na mapene ya kufa mtu! sijajua uhusiano wa real luv na MONEYYYYY! mwenye kujua anijuze tafadhali!
ngoja aje lara 1 akupe nondo mke mwenzangu wa sirini
 
Last edited by a moderator:
cacico- Real luv ni utapeli ambao wachunguzi wanaamini aupo...hata uukionkekana dalali kuna hila ndan yake
Money --hii ndio real luv ukitaka kujua anakupenda kweli awe na hela uone na akiishiwa uone toafauti yake hapo utajua nini maana ya mny
 
mmmmhhhhh! basi kazi ipo, ila nadhani mtazamo huu umekua kwa kasi miaka hii zaidi, mbon wazazi wetu walikaa vizuri tu miaka hiyo bila tamaa kama hizi za sasa! Lord Have Mercy on us na watoto wetu, AMEN!
 
DEAR AUNT EZEKIEL
HONGERA KWA KUPATA ALIE WAKO WA MAISHA NAJUA WENGI WALIKUTAMANI KWENYE MITANDAO LAKINI MUNGU AMEMUANDIKIA MMOJA TU KAMA UNAPENDA NDOA YAKO HAYA NIA MAWAZO YANGU KWAKO UYAFWATE KWENYE NDOA MUNGU AKUWEZESHE HATA KAMA UTAENDELEA KUKUMBUKA VYA PEMBEN BASI UWE NA KIASI SI KAMA ULIVYOKUWA MWANZONI MWAUJANANI SAS AUMEKUWA MAMA SIO LAZIMA UWE NA MTTOTO UKIPATA MUME WEWE N MKE NA MAMA

SOMA HAYO

Kama wewe ni kizazi cha Adam na Hawa basi suala la ndoa linakuhusu sana na ndoa ni kitu beautiful, Kwani huleta mahusiano ya kutosheleza yanayowaunganisha watu wawili mke na mume.Inapendeza kwamba Mungu amemuumba mtu maalumu kwa ajili yako.10. UJUZI WA KUTATUA MATATIZO
Kama wanandoa hawana ujuzi wa kutatua matatizo inaweza kusababisha ndoa kuwa ngumu sana hasa miaka 2 ya kwanza katika ndoa.Kuwa na ujuzi namna ya kutatua matatizo katika ndoa ni kufahamu namna ya kuzozana kwa kuelezana ukweli kwa upendo, kufahamu ni wakati gani wa kukaa kimya au kuzungumza

.
9. UJUZI WA KUMWEKA MWENZI WAKO NAMBA MOJA

Kumbuka katika ndoa kuna wewe, mwenzi wako na Mungu.Jambo la msingi ni uhusiano wako na Mungu wako (siyo kazi ya Mungu, au kwenda kanisani bali uhusiano wako na Mungu, then mwenzi wako (mume au mke) ndipo wanakuja watoto na mwisho kazi.Kama mke wako anafuata baada ya watoto, mama yako au baba yako au ndugu zako au rafiki zako au TV au Manchester United au chochote kile basi ndoa yako haina jipya na ipo siku mwenzi wako ataona hana maana katika ndoa yenu.

8. UJUZI WA KIMAISHA

Ni muhimu sana kila mwanandoa kufanya vitu ambacho vitakuwa msingi wa maisha ya baadae (future) pia kila mwanandoa analo jukumu la kujiuliza ni namna gani anaweza kuwa mwanandoa mwema miaka 10 au 20 ijayo.
Kila mwanandoa analojukumu la kujiuliza nifanye vitu gani ili niwe mwenye mvuto hata miaka 10 ijayo.Je, niende shule?Je, nianzishe biashara?Je, nifanyeje kumpa support mwenzi wangu katika kazi zake au taaluma yake?7.

UJUZI WA KUSAMEHEANA

Unapokuwa kwenye uchumba, mchumba akifanya kitu cha ajabu unaweza ukaachana naye na kumsahau kabisa, hata hivyo kwenye ndoa unatakiwa kusamehe na kusahau sasa hivi.
Mwenzi wako anapofanya kitu na kujiona amekosea, atakuomba msamaha Kwani ni kweli yeye ni binadamu na ana mapungufu na hayupo sahihi mara zote.Muda ule ambao unakuwa hutaki kusamehe mahusiano huacha kukua na hudumaa.Kama huna uwezo/moyo wa kusamehe basi kwenye ndoa usiingie; jibakie single milele.

6. UJUZI WA KUWA MBUNIFU

Kwenye ndoa tunaishi pamoja na kuonana kila siku, tunalala pamoja, kula pamoja, oga pamoja nk. Bila kuwa mbunifu kuwa na "fun stuff" ndoa huzoeleka na kuchosha.Tafuta vitu ambavyo mkifanya pamoja vitawafanya kuwa na kitu kipya.Wapo wanandoa ambao akioa au kuolewa basi Hakuna jipya, Hakuna ubunifu kila mwaka vitu ni vilevile, badilika fanya vitu Tofauti kama hujawahi kwenda sehemu fulani nenda na mkeo au mumeo, have fun!
HILI NAJUA WEWE NDIEO UTAKAEMFUNDA MUMEO SIDHAN HATA ROBO ANAKUFIKIA AMA KUKUKARIBIA KWAKUWA MPO PAMOJA MTAKUWA KITU KIMOJA

5. UJUZI WA MTAZAMO CHANYA

Jifunze kuwa na mitazamo chanya kwenye tabia za mwenzi wako. Ni kweli kuna vitu unavipenda kuhusu yeye na kuna vitu ambavyo unavichukia kuhusu yeye, hata hivyo ukweli ni kwamba vitu vizuri unavyovipenda kuhusu yeye ndivyo vimekufanya uoane naye na kwamba vina nguvu kuliko vile ambavyo huvipendi kuhusu yeye.
Weka mtazamo (focus) kwenye vile vitu ambavyo vinawafanya ninyi wawili kuwa kitu kimoja.Ukimnyoshea kidole kimoja mwenzi wako, basi unatakiwa kujinyoshea vidole 5 wewe mwenyewe.4. UJUZI WA KUJIAMINILazima uamini kwamba ndoa yenu itadumu na Hakuna kitu kinaitwa talaka na talaka haitakubalika.Ni muhimu sana ujiamini kwamba mwenzi wako ( mume wako au mke wako) anakipenda sana kama wewe unavyompenda yeye hata kama haoneshi kwamba anakipenda.Fahamu hivyo na amini hivyo.Kwa njia hii huwezi kuyumbishwa na upepo wa mashaka na hofu wakati kunajitokeza kutoelewana.Kwa njia hii itakuwa rahisi kuirudisha ndoa kwenye mstari.

2. UJUZI WA KUJUA NAMNA WENGINE WANAWAONA/WANAJIFUNZA

Kama umeoa au kuolewa na unajifanya hujaoa au kuolewa ni kweli dunia na viumbe wake wanakuona ni kweli hujaoa au kuolewa pamoja na umri wako kwenda.
Unatakiwa kuonekana wewe na mwenzi wako ni watu wenye furaha na amani na kweli iwe furaha na amani ya kweli siyo fake.Mnatakiwa kuwa na smile la kweli na liwe na kweli si fake.Lazima uwe makini na kufahamu wengine wanawaonaje kama wanandoa na hiyo itakusaidia k

3. UJUZI WA KUJIFUNZA

Wakati mwingine katika ndoa huwa tunajidanganya sana kwamba tunawafahamu vizuri wenzi wetu hata hivyo baada ya muda tunaanza kushangaa na kujiona tumeoana na mtu ambaye amebadilika sana na Tofauti na wakati ule mnaoana.
Hata hivyo kujisikia mume wako au mke wako amebadilia na kuwa binadamua mwingine si Sababu ya kuachana au kupeana talaka.Kama huna ujuzi wa kumsoma au kujifunza kuhusu mwenzi wako basi hukutakiwa kuoa au kuolewa au hukustahili kuoa au kuolewa naye.

ujiweka sawa kuhakikisha kunakuwa na kicheko katika ndoa yenu.

UJUZI WA NAMNA YA KUGOMBANA

Hakuna ndoa ambayo wanandoa hawajawahi kupishana au kupingana au kutoelewana au kutokukubaliana katika jambo fulani au tabia fulani.
Pia ni muhimu sana kufahamu kila mnagombana au Sababu ya kitu kinafanya kuwe na msuguano.Unatakiwa kuwa na ujuzi wa kufahamu kwamba kugombana kokote kusiwe kwa masaa kadhaa, au siku kadhaa au miezi kadhaa.Pia ni muhimu sana kuangalia namna unabishana au unaongea wakati wa kutokukubaliana na jambo lolote.Pia focus katika kulishambulia Tatizo lenyewe na siyo mwenzi wako
 
ETI MNGEKUWA NA FEDHA ZA KUTOSHA BASI NDOA YENU ISINGEKUWA NA MATATIZO.
Fedha haziwezi kununua upendo wala furaha ya kweli.Kama ni hivyo basi Prince Charles na Diana wasingetengana pamoja na kuwa na fedha za kutosha.Lipo tatizo lingine la msingi ndiyo maana ndoa yenu hairidhishi

.
ETI KWA SABABU ULIOANA NA MTU AMBAYE HAFANANI NA WEWE NDIYO MAANA MNA MATATIZO YA NDOA.

Ni kweli wanandoa kuoana huku wakifanana tabia ni moja ya suala la msingi katika kuifanya ndoa iwe imara, hata hivyo hii haina maana kwamba hamtakutana na matatizo katika ndoa yenu.
Matatizo ni kipimo kizuri cha Uimara wa ndoa yenu.Matatizo, vikwazo, kupingana na hata kutoelewana kutakuwepo tu katika ndoa ila namna mnatatatua hayo mambo ndiyo ufunguo na msingi wa kuishi kwa raha au shida na mwenzi wako.

ETI NIMEINGIA KWENYE MATATIZO KATIKA NDOA HII KWA SABABU NIMEOANA NA HUYU MTU.

Ni uwongo uliotukuka!
Ni kweli Inawezekana huyo mtu wako anatatizo fulani pekee linalokupa shida hata hivyo hata mwingine unayedhani asingekuwa na tatizo naye ana matatizo yake mpya makubwa kuliko ya huyo uliyenaye, huoni matatizo yake kwa kuwa huishi naye.Hakuna mtu ambaye hana matatizo duniani

.
ETI TATIZO NI YEYE SIYO MIMI NDIYO MAANA NDOA INA MATATIZO

Umeamua kuwa jaji, hakimu na mwendesha mashitaka?
Nikupe homework?Kama ni ndiyo, basi tafuta wanandoa 2 walioachana, muulize wa kwanza akupe sababu za kuachana. Jibu ni kwamba kila mmoja atamlaumu mwenzake.Why?Kwa sababu ndoa ni wawili na kila mmoja huchangia kuleta furaha au huzuni, kujenga au kubomoa period!

ETI NDOA YENYE FURAHA HAINA MIGONGANO KAMWE

.
Huo ni uwongo mweupe!Hata zile ndoa zenye furaha kuliko zote duniani hukumbana na matatizo na migogoro mara kwa mara.Namna wanashughulikia matatizo na migogoro kwa upendo na pamoja ndicho hufanya ndoa zao kuwa imara na zinazoridhisha.

ETI KAMA NITAJIWEA BUBU BILA KUZUNGUMZA CHOCHOTE LINAPOTOKEA TATIZO BASI LITAYEYUKA LENYEWE

Unajidanganya!
Kula jiwe si suluhisho bali husababisha tatizo kubwa mlima ambao huwezi kupanda au shimo refu ambalo ukiingia kutoka huwezi.

ETI ILI KUEPUKA KUBISHANA NITAKUWA NAMJIBU NDIYO KWA KILA KITU

Ukweli hukipendi ndoa yako!
Kujibu ndiyo kwa kila kitu ili kuepuka kubishana unafanya mwenzako akuone mtu usiyewajibika na huna jipya na akili yako inapungua na badala ya kukua inadumaa na huna mchango katika ndoa.

ETI KWA KUWA TUMEOANA WOTE DINI MOJA, KABILA MOJA, MKOA MMOJA, RANGI MOJA NA ELIMU SAWA BASI HATUTAKUWA NA MATATIZO KATIKA NDOA

Kama umeoana na dini yake, kabila lake, mkoa wake, rangi yake na elimu yake basi matatizo hayatakuwepo ila kama umeoana na kiumbe kinaitwa mtu basi jiandae la sivyo utakuwa disappointed kama si kuwa frustrated
 
AUNT NAJUA HILI ALIKUHUSU MAANA NAJUA UNAJUA FAIDA ZAKE ILA SI MBAYA KUMFUNDA MUMEO AKIONA UNAPENDA SANA SEX HIZI NDIO FAIDA ZA SEX KWA WALE WAOWAJI

Wengi huja na sababu lukuki linapokuja suala la kuwa mwili mmoja (kwenye ndoa) "mara kichwa kinaume" au "nimechoka sana leo" au "sijisikiii vizuri"lengo ni kukwepa sex.
Hata hivyo tafiti nyingi zinaonesha kuwa kuna faida kubwa sana kupata huduma ya tendo la ndoa angalau mara mbili au tatu kwa wiki, kumbuka too much is harmful

FAIDA SEX KWA AFYA YA MWILI
Huimarisha immune system kwenye mwili.
Wanandoa ambao hushiriki angalau mara mbili kwa wiki walionesha kiwango kikubwa cha antibody zinazosaidia kupigana na magonjwa.

Huongeza umri wa kuishi.
Wanaume ambao walikuwa wanafika kileleni (orgasm) zaidi ya miaka 10 wali- boost uwezo wa kuishi miaka zaidi kuliko wale ambao walikuwa na hawafiki kileleni.

Hupunguza uwezokano wa kupata prostate cancer.
Wanaume ambao wali ejaculate zaidi ya miaka 35 walikuwa na asilimia 33 pungufu kupata prostate cancer.

Hupunguza cholesterol (mafuta)
Kutokana na zoezi la kufanya mapenzi (sex) ni zoezi tosha kuweza kupunguza cholesterol na kuondokana na kupata magonjwa ya moyo.

Huimarisha mzunguko wa damu mwilini
Tunapofanya mapenzi mapigo ya moyo huongezeka na mzunguko wa damu huwa na speed zaidi na damu huongezekana maradufu kwenye ubongo na sehemu zingine za mwili na matokeo ni mzunguko wa damu kuwa mzuri mwili mzima.

Huongeza uwezo wa kukua (growth)
Watafiti wengi wanakiri kwamba sex huongeza uwezekano wa mifupa kukua na kuimarisha repair ya tishu kwenye mwili.

Huimarisha uwezo wa kunusa
Baada ya sex, kuzalishwa kwa homoni ya prolactin huongezeka na huwezesha stem cells zilizopo kwenye ubongo kuzalisha neurons ambazo husaidia kunusa vizuri.

Hupunguza maumivu (pain relief)
Unapokaribia kufika kileleni kiwango cha homoni za oxytocin huongezeka mara tano zaidi kuliko kiwango cha kawaida, matokeo ni kutolewa kwa endorphins ambayo hupunguza maumivu ya kila kitu kuanzia kichwa, arthritis nk.

Huimarisha kibofu cha mkojo
Wakati wa sex unatumia muscles zile zile unatumia kukojoa (urine), kutumia mara kwa mara kwa hii misuli huwezesha kuwa na uwezo wa kuthibiti kibofu cha mkojo.

Huimarisha uke
Wanawake ambao huamua kutoshiriki sex wanakuwa na uwezekano wa kujisikia maumivu wakati wa sex (vaginal atrophy) kwa kushiriki mara kwa mara uke huwa mwepesi kutoa lubricant na hakuna maumivu.
Hapa kuna kanuni "use it or lose it!

Husaidia healing ya vidonda
Baadhi ya evidence zinapendekeza kwamba sex huweza kusaidia vidonda kupona haraka, ushahidi ni kwamba homoni za oxytocin husaidia vidonda kupona kwa regeneration ya seli mwilini na oxytocin huzalisha pale ukishiriki sex.

Hupunguza uwezekano wa kupata cancer ya matiti.
Wanawake ambao hawajawahi kuzaa walionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya matiti, hii ina maana kwamba kujihusisha na sex hupunguza kupata cancer ya matiti.

FAIDA YA SEX KWA AFYA YA AKILI

Hupunguza stress
Sex huweza kupunguza stress kwa kupunguza kiwango cha masumbuko (anxiety) na kuongeza relaxation na kusaidia kuwa na usingizi mzuri.

Hupambana na depression
Wanawake ambao walijihusisha na sex kwa kuwa contact na semen walikuwa less depressed kuliko wale wambao hawakufanya.

Hupambana na kuthibiti alama za kuzeeka
Sex hufanya mtu kuonekana kijana zaidi.
Katika utafiti mmoja watu ambao walishiriki sex zaidi ya mara 3 kwa wiki walionekana ni vijana zaidi ya miaka 10 pungufu ukilinganisha na wale ambao walikwepa sex.

Huimairsha kujisikia upo fit
Dakika 30 za kufanya mapenzi huweza kuchoma kiasi cha 150 calories.
Na mtu anayeshiriki sex kila mara 3 kwa wiki huweza kupunguza kilo 2.5 za uzito kwa mwaka. Pia sex huweza kunyumbua misuli na kupelekea mtu kuwa fit, pia hekaheka za milalo mbalimbali huweza kufanya contractions ya mapaja, mikono, mabega, shingo, tumbo, kifua, mgongo, ******, miguu, kiuno na pia sex huzalisha testosterone ambayo huimarisha mifupa na misuli.

Husaidia nywele kung'aa na ngozi kuwa imara
Sex huongeza kiwango cha estrogen ambayo husaidia nywele kung'aa na ngozi kuwa imara kwa mwanamke.

Husaidia meno kuwa imara
Mara nyingi kabla ya sex wahusika hujitahidi kusafisha meno (brushing) kwa njia hii una kuwa imeimarisha afya ya kinywa.
Pia wakati wa sex hasa maandalizi huhusisha kissing ambayo hufanya kazi nzuri kusafisha meno na fizi.
Seminal plasma zinazozalishwa huwa na zinc, calcium na madini mengine muhimu kwa afya ya meno.

FAIDA YA SEX KWA AFYA YA UZAZI
Husaidia kuwa na mzunguko mzuri za siku za mwanamke.
Wanawake ambao hujihusisha na sex angalau siku moja kwa wiki huwa na mzunguko wa siku uliosawa tofauti na wale ambao hutoa visingizio.

Huimarisha fertility
Kwa kuwa kushiriki sex hufanya mzunguko kuwa regular inakuwa rahisi mwanamke kushika mimba na kuzaa tofauti na mwanamke akiwa na mzunguko wa siku ambao ni irregular.

FAIDA KATIKA KIROHO
Watafiti wengi wanakiri kwamba kuna sexual energy kama energy zingine ambayo wakati wa sex ikiunganishwa kati ya mwanaume na mwanamke hasa wakati wa kufika kileleni huweza kuwaunganisha wawili in deepest part of of selves.

Na hii energy (non physical) huweza kuimarisha maeneo mengine ya maisha yetu, hutufanya kujisikia ni kitu kimoja na kuwa stronger zaidi katika nafsi na mahusiano kwa ujumla.
Hivyo matokeo ni kujisikia vizuri wewe mwenyewe, mwenzi wako na maisha kwa ujumla.

TAHADHARI:
Hii mada ni kwa ajili ya kupeana habari tu (ndiyo maana hakuna reference links, ingawa unaweza mwenyewe ku- Google),
Jambo la msingi ni kwamba kuna umuhimu wa hali ya juu sana kuzingatia kwamba hapa tunazungumzia sex katika ndoa tu na si zaidi ya hapo.
Pia ni muhimu kuzingatia kwamba ili kushiriki sex ni muhimu kuangalia afya ya mwenzi wako, maadili na kutii sheria na amri za Mungu otherwise badala ya sex kukupa afya inaweza kukuua kimwili na kiroho.

Upendo daima!
 
Haya asante Pdidy, naona hapa sio Aunt peke yake unaemhusia hii ni kitchen party ya wote

Mkuu mkata kiu
hiyo ni siku ya kitchen party yake walimpamba hivyo kwa kweli aliempamba boa angmwachia binti kauzuri chake kuliko lichomfanyia
 
Back
Top Bottom