Huyu ngassa alioa akiwa na miaka mingapi.........

wachezaji wa TZ hawaruhusiwi kutaja umri wa ukweli,kwa sababu
1.si warefu
2.hawana miili mikubwa
3.hawana nguvu sababu y lishe
hivyo wakitaja umri sahihi,vitachezeshwa visharo baro tu,mbio kidogo ulimi nje na zitapigwa bao kama mvua za masika.

ahahahahahaaa! Umenena mkuu!
 
Kazaliwa 1978...kijeba hicho babu. Lol
TFF na kocha wao wote ni wap**zi, wanatafuta excuse ili tukitolewa wawe na cha kusema.... huyu jamaa ana zaidi ya miaka 25!! Waache kabisa upuuzi kama tunatolewa tutolewe kwa kuzidiwa mpira lakini si kwa upuuzi, inakera sana watu wazima tena walioenda shule kama Tenga wanapojifanya kama watoto tena ambao hawajasoma kabisa!!!:angry::angry:
 
Back
Top Bottom