huyu ndo Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
az4.jpg

Mia
 
huyo mwanaume kabila gani aliyeshikana na presidaa maana huo mkono wa pili unamfanya aonekane kama mwanamke hivi
 
Huyu bwana kwa kuzika ni nambali one na ndio maana hana muda wa kutolea maamuzi mambo muhimu yanayoikabili nchi; kila wakati anahudhulia mazishi hapa alikwenda kuwapa pole ukoo wa Rashid Kawawa baada ya kifo cha mdogo wake Rashid Kawawa!!
 
Anajtambua kuwa kachaguliwa na 27% ya wapiga kura. Kavaa bullet proof vest juu ya T-Shirt. Bora angevaa koti kuficha outline ya hiyo vest. Hajiamini anachofanya.
 
Anajtambua kuwa kachaguliwa na 27% ya wapiga kura. Kavaa bullet proof vest juu ya T-Shirt. Bora angevaa koti kuficha outline ya hiyo vest. Hajiamini anachofanya.

bullet proof vest inasaidia nini..??Kichwa chote kiko wazi.
 
Mbona kama huyu jamaa anayesalimiana naye kafanana na yule mtoa roho za watu Abdala Zombe!
 
Back
Top Bottom