Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

Ndio maana wabunge makini kama alivyokuwa Dr Slaa na wengineo walikuwa wanawagaragaza kwa vile muda huo wanafanya ufuska wao wenzao wanafanya tafiti mbalimbali kwa manufaa ya waliowapa dhamana hiyo.
Hata hivyo tatizo ni letu kwa vile tunawajua tabia zao na uwezo ila wakirudi kutuzuga tunawapa kura tena.
thats is a very different attitude na ni advantage kwa wabunge makini kuitumia against hawa mabwana starehe
 
Hahahahaaa kaja na kasista duu pori!!! mmmhh lakini Shigongo nae, why today hii picha na sio kipindi kile?
 
hivi hapo kosa lao nini? kucheza mziki dhambi?....hata mfalme daudi na mfalme suleiman walicheza mziki, hata obama alicheza mziki kwenye ile show ya oprah.

Hebu nendeni mkasikilize ule wimbo wa marehemu Remmy Ongala kuhusu mziki.

Acheni zenu huko, nendeni mkafue mapema, mkichelewa TANESCO wanakata umeme halafu mtashindwa kupiga pasi.
 
Hatukatai kucheza muziki hata JK anacheza muziki....tatizo unacheza na nani...unacheza wapi...na unacheza kivipi na muhimu wewe ni NANI katika jamii.

Ukimjibia haya Kapuya tunafunga mjadala.
 
Alafu bado mnajiuliza kwanini elimu inashuka,jumuia ya afrika mashariki tutaweza ushindani wake kweli kama viongozi wenyewe malengo yao ndio hayo.tutabaki kua nyuma kwa kila kitu kama mambo yenyewe ndio haya.
 
Hatukatai kucheza muziki hata JK anacheza muziki....tatizo unacheza na nani...unacheza wapi...na unacheza kivipi na muhimu wewe ni NANI katika jamii.

Ukimjibia haya Kapuya tunafunga mjadala.

1. anacheza na binti mrembo ( beauty is in the eyes of the beholder, in this case the beholder ni kapuya mwenyewe)
2. hiyo sehemu siifahamu, yaweza kuwa ngwasuma, au labda kulikuwa na promosheni fulani
3. anacheza kivipi: anakamata kiuno....madume yote nayayojua kucheza na totoz wanafahamu mambo ya kukamata kiuno.
3. kwa sasa kapuya sio waziri, sifahamu hii picha ilipigwa lini, ila kama ni kabla ya uchaguzi 2010 basi alikuw waziri.

Nimemjibia, haya funga mjadala.
 
hivi hapo kosa lao nini? kucheza mziki dhambi?....hata mfalme daudi na mfalme suleiman walicheza mziki, hata obama alicheza mziki kwenye ile show ya oprah.

Hebu nendeni mkasikilize ule wimbo wa marehemu Remmy Ongala kuhusu mziki.

Acheni zenu huko, nendeni mkafue mapema, mkichelewa TANESCO wanakata umeme halafu mtashindwa kupiga pasi.
angalia hiyo picha halafu angalia mkono ameshika wapi?, hata kama angekuwa mke wake asinge paswa kuingiza mikono huko...au kwa kuwa azimio la Arusha walisha lizika...
 
Aliruka stage katika makuzi yake
huyu ndiye waziri (sijui kama bado waziri) katika serikali yetu. Dowans, matokeo mabaya ya f4 na matatizo kibao ya nchi, lakini jamaa anahangaika na vibinti. Hata kama ni muda wake binafsi na hata kama ni maisha yake binafsi nadhani huu sio muda mwafaka kwani kuna kilio kila mahala kutoka kwa wananchi wa nchi hii. Shame!!!!!
 
Mwacheni jamani naye ajichanganye, yeye pia si binadamu kama nyinyi? kwanza maisha yenyewe mafupi haya!
kumbuka "Kama Bwana angehesabu makosa ni nani angesimama?".
 
images
 
Saaafi jiachie tu mh Kapuya kwanza wewe ni prof. Kuwa public figure kusitunyime raha banaaa, na bora huyu anayeonekana kuna wengine ndo soo zaidi hawataki kamera ziwamulike. Ule mkono ananawa.
 
Kujirusha ni Fani. Komba ndio fani yake, hata couple yake haina utata, hakuan minor hapo. Kapuya amechanganya na Frustration, ile ndege ya jeshi aliyoenda nayo kwao ataipapata wapi tena!!!
 
Back
Top Bottom