Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Jonathan Power / International Herald Tribune

Published: December 1, 2006



DAR ES SALAAM, Tanzania: The wheels seem to spin in the sand as we hurtle down the bush track mile after mile from Mtwara, a small town on the border of Tanzania and Mozambique. The land is parched, waiting desperately for the rains. In the villages we pass, little thatched houses give way to fields stripped bare of their meager produce. This is truly one of the poorest backwaters of this very poor country.

Suddenly there is a clearing and in it, well, what? The set for a James Bond film? Or a secret Tanzanian missile site, perhaps rented out to the encroaching Chinese-African empire?

The new president of Tanzania, Jakaya Kikwete, jumps out of our convoy's lead car and briskly walks up to a white man in a white helmet and grabs his hand. Soon we are all ensconced in helmets and goggles and led past rows of large windowless containers to view a space-age machine that drives a pipe deep into the ground. A burly Canadian tells me he works 28 days - 12 hours a day, seven days a week - and then gets a free ticket home for 28 days off.

We have arrived at the saving grace of Tanzania's mounting energy crisis. Tanzania has depended on plenty of rain, full lakes and cheap hydroelectric power, but the recent drought depleted the lakes and knocked nearly two percentage points off Tanzania's once rapid rate of growth. God works in mysterious ways, however. Underneath these coastal sands a Canadian company, Artumas, last year discovered gas - enough to provide electricity to Mtwara for 800 years - and more is likely to be found.

Before Christmas, Mtwara and nearby Lindi will have the gas flowing into the turbines and the electricity into their streets, factories and homes. The nearby villages will also be lit up. There will be no repeating the mistakes that have plagued Nigeria's oil-rich delta region, where the locals have been bypassed.

Another field has been found to the north and is starting to power the capital, Dar es Salaam. Gas is going to save Tanzania's economy and by next year its growth should be restored to last year's 7 percent. The president tells me he believes it can go to 8 percent, and he yearns for 10 percent.

When I was here two years ago Western diplomats thought 7 percent was a pipe dream. But after the country's stellar performance last year they have swallowed their doubts. As Lelde Schmitz, the International Monetary Fund's Tanzania chief, told me, once they get over this energy hump, "Why not more than 7 percent?"

Even at 7 percent, Tanzania could achieve the United Nations millennium goals: cutting infant mortality by half and putting 10 years on life spans within a decade.

Kikwete won the presidency a year ago, after a bruising party primary and then an open general election (albeit against an opposition party that is only just finding its stride). Before him presided Julius Nyerere, Tanzania's founding father and benign semidictator, who ruined the economy with his radical socialist ideas but knitted the diverse tribes of Tanzania into a peaceful whole.

Later came Nyerere's former press secretary, Benjamin Mkapa, who set Tanzania on the path to political and economic reform, producing handsome economic growth, a primary school in every village and a more open political system.

If Nyerere was Tanzania's headmaster and Mkapa was its management guru, Kikwete is its font of youthful energy - but a thoughtful one. He is Africa's Bill Clinton - driven by ideas, charismatic, clear minded, a communicator who likes nothing more than to step into a crowd and parley with it. A moderate Muslim in a dangerous neighborhood, he has become a favorite of President George W. Bush who has granted him the kind of access once reserved solely for Africa's big economic powers, Nigeria and South Africa.

The gas field behind us, we slog for three days along dusty, potholed back roads, deep into the country. In every village, the crowd is waiting, in every third village Kikwete stops, climbs on top of his car and - using the state-of-the-art sound truck that accompanies us - ad libs words of encouragement. He cracks jokes about condoms, makes them laugh furiously and outlines a future that visibly whets their appetites.

In the evening, when the convoy stops, we eat together informally and chat to the president. Everything seems possible. Tanzania, and maybe Africa too, has found its human lodestar.

I have been covering Africa for 40 years. I have never been so impressed.

Jonathan Power writes on foreign affairs.
 
A new lodestar for Africa?
Jonathan Power / International Herald Tribune

Published: December 1, 2006


DAR ES SALAAM, Tanzania: The wheels seem to spin in the sand as we hurtle down the bush track mile after mile from Mtwara, a small town on the border of Tanzania and Mozambique. The land is parched, waiting desperately for the rains. In the villages we pass, little thatched houses give way to fields stripped bare of their meager produce. This is truly one of the poorest backwaters of this very poor country. ..................................................................................................................................................



I AM NOT IMPRESSED

IT DEPENDS WHERE JONATHAN POWER WAS BASED DURING HIS 40 YEARS AND COVERING FOR WHICH MEDIA - AFRICAN OR THE WEST.

EVEN AT THE MOMENT BEING SO CLOSE TO OUR PRESIDENT LEAVES MORE QUESTIONS THAN ANSWERS AS NORMALLY WESTERN MEDIA WOULD NOT RIGHT ANYTHING GOOD ABOUT TANZANIA - IT CAN ONLY WRITE GOOD STORIES FOR CERTAIN COUNTRIES.

AT THE MOMENT THE WIND HAS SHIFTED MAY BE THE WESTERN COUNTRIES ARE SO AFRAID OF THE CHINESE.


WACHA
 
Hapo Kuna Maswali Kibao Ya Kujifunza Na Kujiuliza , Kwanza Kabisa Waandishi Wa Habari Ndio Watu Wakuielimisha Jamii Mambo Yakweli Na Ielimike , Mpaka Sasa Hivi Kikwete Ni Shamba La Waandishi Wa Habari Waandishi Wa Habari Wana Mengi Ya Kuandika Kuhusu Uozo Wa Kikwete Mpaka Sasa Hivi , Katika Masuala Ya Uchumi , Michezo , Jamii Na Kadhalika Na Mambo Mengi Sana

Huyu Jamaa Kuanzia Sasa Inabidi Achambuliwe Achambulike Kwa Manufaa Ya Umma , Achambuliwe Yeye Pamoja Na Mawaziri Wake Na Jamaa Zake Wengi Wa Karibu Wanaomsadia Au Wanamshauri Katika Kutenda Utumbo


Sasa Waandishi Wetu Wakowapi Kila Siku Wanamsifia ?
 
Hapo Kuna Maswali Kibao Ya Kujifunza Na Kujiuliza , Kwanza Kabisa Waandishi Wa Habari Ndio Watu Wakuielimisha Jamii Mambo Yakweli Na Ielimike , Mpaka Sasa Hivi Kikwete Ni Shamba La Waandishi Wa Habari Waandishi Wa Habari Wana Mengi Ya Kuandika Kuhusu Uozo Wa Kikwete Mpaka Sasa Hivi , Katika Masuala Ya Uchumi , Michezo , Jamii Na Kadhalika Na Mambo Mengi Sana

Huyu Jamaa Kuanzia Sasa Inabidi Achambuliwe Achambulike Kwa Manufaa Ya Umma , Achambuliwe Yeye Pamoja Na Mawaziri Wake Na Jamaa Zake Wengi Wa Karibu Wanaomsadia Au Wanamshauri Katika Kutenda Utumbo


Sasa Waandishi Wetu Wakowapi Kila Siku Wanamsifia ?

Kila siku wataandika "Kikwete Kiboko Kwelikweli"
 
Salamu wanaforum tumsaidie rais wetu JK kuvivaa viatu vya Mkapa kwa kuwataja wanao muhujumu katika serikali yake ya awamu ya nne,

Tunaamini anaweza wala asikate tamaa tukonaye PAMOJA tuwataje katika forum hii wanao mwaribia wapo na tunawajua jamani wana forum changa moto hiyo......

Anasema kuvivaa sijambo rahisi kwake...

Asisitiza sekta binafsi ndiye mkombozi.....

Naomba kutoa hoja

by King
 
Kikwete awageuzia kibao wanaomsifu

2006-12-23 09:09:55
Na Privatus Lipili, PST Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, katika hali ya kushangaza, amewageuzia kibao wale wanaompa sifa za uwongo wakati nchi bado imejaa matatizo mengi.

Aidha, amekitaka chama chake kujadili matatizo ya uongozi kwa uwazi na ukweli ili serikali iweze kujirekebisha.

Rais Kikwete alisema hayo mjini hapa jana, wakati akifunga mafunzo ya wiki mbili ya makada wa CCM.

Alisema kuwa anakerwa na sifa za watu ambao pengine walitakiwa kumkosoa kutokana na matatizo yanayotokea wakati huu.

Akitoa mfano, alisema aliwahi kusifiwa na mpiga kura wake mmoja akiwa Mbunge wa Chalinze, kuwa anapendwa sana na watu, lakini alijua wazi kuwa watu wa Chalinze wasingetoa sifa nyingi kwake, kutokana na tatizo kubwa la maji lililokuwepo wakati huo.

”Siku moja nikiwa Mbunge wa Chalinze nilimpa mtu lifti ya gari. Akaanza kunisifia kuwa watu wananipenda sana.

Nilimuuliza wananipendea nini na matatizo yote ya maji waliyonayo? Akaniuliza kumbe hilo unalijua pia? Nilijua sifa zile ni za uongo tu,” alisema Kiwete.

Alisema kuwa hata sasa ana mashaka na wananchi kama kweli wanampenda, kwa sababu wana matatizo ya umeme.

”Sifa za uongo sipendi. Sifa za uongo zitanipa matatizo makubwa. Zitahatarisha nchi pia.

Nataka chama kijadili matatizo ya uongozi kwa uwazi na ukweli ili serikali iweze kujirekebisha”, alisema na kusisitiza kuwa majadiliano hayo yasiwe ya chuki.

Aidha, Rais Kikwete alisema kuwa hana maadui wala hatarithi maadui wa mtu yeyote ndani ya chama katika kipindi chake cha uongozi.

”Sina adui. Nina marafiki tu katika Chama Cha Mapinduzi. Sitarithi adui wa mtu lakini nimerithi marafiki wote ndani ya chama,” alisema Rais Kikwete ambaye alialikwa kama Mwenyekiti.

Alisema kuwa hana haja ya kurithi adui wa mtu yeyote yule ndani ya chama hicho, kutokana na ukweli kuwa kufanya hivyo hakutamsaidia chochote.

Juu ya sifa kwa viongozi, Rais Kikwete alisema kuwa yeye binafsi anachukia sana sifa za wananchi huku kukiwa na matatizo mengi yanayowakabili.

Rais aliwatahadharisha wanachama wa CCM, kuachana na majungu ndani ya chama kwa kuwa hayajengi.

Jumla ya wahitimu 90 walipewa vyeti na Rais Kikwete.

* SOURCE: Nipashe
23/12/2006
 
Hii ni masaa 24 kabla...

Kikwete: Viongozi bora ndio sisi

na Absalom Kibanda

RAIS Jakaya Kikwete, jana alihitimisha mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa kiongozi mkuu wa taifa kwa kutoa hotuba fupi, pasipo kusoma, na iliyojaa mbwembwe na hoja za kujisifu.

Akiwahutubia wananchi waliokuwa wakiwakilisha makundi mbalimbali ya kijamii katika hotuba yake iliyochukua wastani wa dakika tisa, na kurushwa moja kwa moja na redio na televisheni, Rais Kikwete alisema, katika kipindi chote cha mwaka mmoja, alitumia miezi mitatu tu ya mwanzo kujifunza namna mambo yalivyo serikalini.

Alisema kwamba, walianza rasmi kazi ya kutekeleza majukumu na ahadi walizozitoa kuanzia Julai mwaka huu, baada ya kuwa na bajeti yao ya mapato na matumizi ya serikali.

Wakati akitoa kauli kwamba, walianza kutimiza majukumu yao mwezi Julai baada ya bajeti, hakurejea kabisa hoja alizozitoa wakati alipolihutubia taifa Mei, mwaka huu, alipoeleza namna bajeti hiyo itakavyokuwa ngumu.

Katika hotuba hiyo ya Mei mwishoni, Kikwete alisema bajeti ijayo ya serikali haitakuwa nzuri kutokana na nchi kuathiriwa na matatizo ya ukame, njaa, umeme na upandaji wa bei ya mafuta.... "Uwezo tunao, nia tunayo na sababu ya kutaka kuleta maendeleo yetu tunayo," alisema Kikwete na kusababisha ukumbi mzima wa Kilimani kulipuka kwa kelele za makofi, vigelegele na shangwe.

Hakuishia hapo, alikwenda mbele zaidi na kulitamka Azimio la Arusha ambalo wakati fulani mwasisi wake, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wakati wa hotuba zake za mwanzoni mwa mwaka 1995, alipata kusema unahitaji kuwa na ‘moyo mgumu' (si maneno ya Nyerere) kulizungumzia.

Kikwete katika hilo alisema, mambo makuu yote manne ambayo azimio hilo (Watu, Ardhi, Siasa Safi na Viongozi Bora) limeyaainisha kuwa ni muhimu kwa ajili ya maendeleo, yako katika nchi hii.

"Watu wapo, ardhi ipo, siasa safi tunayo na viongozi bora ndio sisi," alisema Kikwete pasipo kueleza ni kipi basi kilikuwa kimekosekana katika kipindi chote cha miaka 45 ya uhuru ambacho kinaendelea kulifanya taifa letu liendelee kukabiliwa na maadui wote wakuu walioainishwa katika azimio hilo hilo.

[/I][/I]

Na hii ni masaa 34 baadaye....

Kikwete awageuzia kibao wanaomsifu

23 Dec 2006
By Privatus Lipili, PST Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, katika hali ya kushangaza, amewageuzia kibao wale wanaompa sifa za uwongo wakati nchi bado imejaa matatizo mengi.

Aidha, amekitaka chama chake kujadili matatizo ya uongozi kwa uwazi na ukweli ili serikali iweze kujirekebisha.

Rais Kikwete alisema hayo mjini hapa jana, wakati akifunga mafunzo ya wiki mbili ya makada wa CCM.

Alisema kuwa anakerwa na sifa za watu ambao pengine walitakiwa kumkosoa kutokana na matatizo yanayotokea wakati huu.

Akitoa mfano, alisema aliwahi kusifiwa na mpiga kura wake mmoja akiwa Mbunge wa Chalinze, kuwa anapendwa sana na watu, lakini alijua wazi kuwa watu wa Chalinze wasingetoa sifa nyingi kwake, kutokana na tatizo kubwa la maji lililokuwepo wakati huo.

"Siku moja nikiwa Mbunge wa Chalinze nilimpa mtu lifti ya gari. Akaanza kunisifia kuwa watu wananipenda sana.

Nilimuuliza wananipendea nini na matatizo yote ya maji waliyonayo? Akaniuliza kumbe hilo unalijua pia? Nilijua sifa zile ni za uongo tu," alisema Kiwete.

Alisema kuwa hata sasa ana mashaka na wananchi kama kweli wanampenda, kwa sababu wana matatizo ya umeme.

"Sifa za uongo sipendi. Sifa za uongo zitanipa matatizo makubwa. Zitahatarisha nchi pia.

Nataka chama kijadili matatizo ya uongozi kwa uwazi na ukweli ili serikali iweze kujirekebisha", alisema na kusisitiza kuwa majadiliano hayo yasiwe ya chuki.

Aidha, Rais Kikwete alisema kuwa hana maadui wala hatarithi maadui wa mtu yeyote ndani ya chama katika kipindi chake cha uongozi.

"Sina adui. Nina marafiki tu katika Chama Cha Mapinduzi. Sitarithi adui wa mtu lakini nimerithi marafiki wote ndani ya chama," alisema Rais Kikwete ambaye alialikwa kama Mwenyekiti.

Alisema kuwa hana haja ya kurithi adui wa mtu yeyote yule ndani ya chama hicho, kutokana na ukweli kuwa kufanya hivyo hakutamsaidia chochote.

Juu ya sifa kwa viongozi, Rais Kikwete alisema kuwa yeye binafsi anachukia sana sifa za wananchi huku kukiwa na matatizo mengi yanayowakabili.

Rais aliwatahadharisha wanachama wa CCM, kuachana na majungu ndani ya chama kwa kuwa hayajengi.

Jumla ya wahitimu 90 walipewa vyeti na Rais Kikwete.

* SOURCE: Nipashe
[/I]


Au alikuwa anawatupia dongo hawa....



Lowassa, Nahodha wahitimisha sifa mwaka mmoja wa Kikwete

Irene Mark

WAZIRI Mkuu, Edward Lowassa na Waziri Kiongozi, Shamsi Vuai Nahodha, jana walitoa tathmini ya mafanikio ya serikali za Bara na Zanzibar kwa kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, wakijenga hoja zinazoonyesha mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali, Bara na Visiwani.


But hold on,kama ni hivyo mbona hapa alionekana kufurahia misifa alomwagiwa.....


Akizungumza kwa kujiamini, huku akirejea pasipo kutoa ufafanuzi hotuba zilizosomwa kabla yake na Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha na Waziri Mkuu, Edward Lowassa, Rais Kikwete aliahidi kuhitimisha maelezo ya mafanikio kamili ya serikali yake wakati wa hotuba yake ya mwishoni mwa mwaka atakayoitoa wiki ijayo.


Inaweza kuchukua miaka mitano kumuelewa huyu mtu.Unfortunately,muda huo utapofika atakuwa anaomba tena kura za kurudi madarakani.Mungu Ibariki Tanzania....
 
Yes Indeed!
Hata hivyo naona hujatoa hitimisho, kama ni kigeugeu, mpenda sifa, mchapa kazi, msahaulifu, n.k
 
JK is probably overwhelmed by the enormity of the current situation. He seems to be faltering in some fundamental ways. He is understandably angry that people are praising him for improvement in things such as power load shedding. Immersed deeply in mediocrity, these aides are unaware that there should not have been any load shedding in the first place.

What has JK's number two done in one year at the helm? We only know him for his uncanny ability to act first and think later. He suspended a Municipal Engineer where a private building contractor was the culprit, promised to fill Mtera Dam by nothing less than creating the rain himself, and most surprising of all, ordered Dar City Managers to either end cholera in two weeks or lose their jobs!

JK has also to cope with having a man called Seif Khatibu in his cabinet. This man is completely confussed about the place of mass media in a democracy. He can't even distinguish between The Media Council of Tanzania and media owners in Tanzania. It is bad enough to have a fellow like that sitting in on your cabinet meetings but to have him looking after the media must be a real pain.

JK has made two colossal errors. The first was to create a whole 60 ministerial positions, and the second was to fill them up with pretenders. It is impossible to succeed when you have a whole lot of impaired characters in the corridors of power.

I chucked when I heard about JK's latest promise. It is that he will keep all his earlier promises. Now, as he has not been able to deliver on his earlier promises, why should anyone believe his last promise?

Augustine Moshi
 
Thanks Mr Moshi, well said.

I agree with you on this note 100%: Inaweza kuchukua miaka mitano kumuelewa huyu mtu.Unfortunately, muda huo utapofika atakuwa anaomba tena kura za kurudi madarakani.Mungu Ibariki Tanzania....


Sadly, wTz hawana choice nyingine kwa sasa kwa hiyo kusubiri miaka hiyo 5 ipite na pengine mingine 5 nayo ipite. Ila napata picha kidogo kwamba JK as a person huenda anayaelewa matatizo ya wTz; ila kwa jinsi alivyoingia madarakani sidhani kama ana uwezo wa kubadilisha hali yao iliyopo. My worry is, anaweza kusababisha mambo yakawa even worse.

Alamsiki
 
JK has been with the ruling party ever since he left the university of Dar es Salaam; that is with the then TANU and now is the chairman of CCM. If he pretend to be naive to immorals and hypocrisy practised by his subordinates while he was (and still is) part of their growing process, then I ought to question his calibre and intergrity of being a PRESINDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA.
 
Ni common sense tu. Wewe matatizo kibao halafu unasema watu wanakupenda sana mzee, hii inabidi ushtuke. Hapa nampa 5 JK!
 
Now I understand the meaning of kasi mpya, ari mpya, na nguvu mpya. It is that they do not know whether the train is coming or going.
 
Finally he is keeping it real. Alichokifanya ni maarifa ya kawaida tu yasiyohitaji mtu yoyote kukwambia. Hata zuzu atakustukia ukianza kumsifia sifia tu bila mpango. Wabongo bwana......tuna safari ndefu sana.
 
JK is probably overwhelmed by the enormity of the current situation. He seems to be faltering in some fundamental ways. He is understandably angry that people are praising him for improvement in things such as power load shedding. Immersed deeply in mediocrity, these aides are unaware that there should not have been any load shedding in the first place.

What has JK’s number two done in one year at the helm? We only know him for his uncanny ability to act first and think later. He suspended a Municipal Engineer where a private building contractor was the culprit, promised to fill Mtera Dam by nothing less than creating the rain himself, and most surprising of all, ordered Dar City Managers to either end cholera in two weeks or lose their jobs!


JK has also to cope with having a man called Seif Khatibu in his cabinet. This man is completely confussed about the place of mass media in a democracy. He can’t even distinguish between The Media Council of Tanzania and media owners in Tanzania. It is bad enough to have a fellow like that sitting in on your cabinet meetings but to have him looking after the media must be a real pain.

JK has made two colossal errors. The first was to create a whole 60 ministerial positions, and the second was to fill them up with pretenders. It is impossible to succeed when you have a whole lot of impaired characters in the corridors of power.

I chucked when I heard about JK’s latest promise. It is that he will keep all his earlier promises. Now, as he has not been able to deliver on his earlier promises, why should anyone believe his last promise?

Augustine Moshi

Mmhhh!! So who's really the number two in our govt.? Is it the veep or the PM?
 
Back
Top Bottom