Huyu ndiye tatizo katika nchi ya Tanzania na sio Ngeleja, Mkulo wala Maige

Hakuna asiyejua tena hata kichanga anapozaliwa anaogopa jisi atakavyokutana na hali kama hii walioanzishawazaliwa wa mwazo.ni aibu na hasara kwa nchi
 
tumechukua hatua gani kuwaonyesha hao jamaa kuwa nchi ni yetu sote na si wao pekee,au ndio hii ya kulalamika huku tumejificha nyuma ya laptop zetu?watz bwana!tunatisha kama picha ya chui ukutani!
Mtoto haanzi kusimama, anaanza kutambaa kwanza, Watanzania wa sasa si wale wenye mawazo ya 80's, kama maovu ya viongozi nowdays hata mtoto mdogo ameshayasikia,anayaona, maovu yanajulikana, uwajibishwaji unazuazua, hauwi sawasawa na maovu wanayoifanyia nchi, Wananchi, hawawajibishwi inavyostahili, wanateteana, ficgana, na kuoneana aibu, but kadri muda unavyokwenda, naamini mambo yatakuwa bora zaidi na zaidi, kuchekeana na kuoneana aibu kwakuwa nyie ni mabest, kuishe, ikithibitika kweli kiongozi fulani au hata mfanyakazi wa eneo fulani or Mwananchi fulani amefanya mambo yasiyofaa katika nafasi yake ya kuhudumia taifa, kulinda taifa, asionewe aibu, asiogopewe na vyombo vya dola, mahakama isimtetemekee, ashughulikiwe ili nchi iwe salama, imara, kiuchumi, kiusalama n.k
 
Acha ubwege zamani ungetumia media gani kutoa maoni? Leo hii hakuna jinsi ya kudhibiti ndo maana hata yeye anaamua kukaa kimya. Alafu anashindwa kufuatilia maana watu wanafact watamuumbua sana akijitia kuwa mkali. Shangaa jinsi watu wanavyokula nchi kana kwamba hatuna rais

Jiulize kwa nini hiyo Zamani hapakuwa na Media badala ya kuanza kutusi watu? We una umri gani mpaka udhani kuwa hizo media zimeanza 2005 JK alipoingia Mdarakani ndo maana uhuru ukastawi? Rwanda Zimbabwe wanazo Media lakini hawana uhuru wa kufikia Tanzania hapo unala kusema?
 
Kwa hiyo unataka kutengeneza point ipi hapa?
Jiulize kwa nini hiyo Zamani hapakuwa na Media badala ya kuanza kutusi watu? We una umri gani mpaka udhani kuwa hizo media zimeanza 2005 JK alipoingia Mdarakani ndo maana uhuru ukastawi? Rwanda Zimbabwe wanazo Media lakini hawana uhuru wa kufikia Tanzania hapo unala kusema?
 
Jamani mbona mnatuletea tress mchana kweue hata hata lunch bado, kutukumbusha wizi mkubwa nama hii wkt huu siyo vizuri, angalia nilivyopata hasira umeniharibia siku, tafdhari siku nyingine weka thread km hii jioni. sasa siwezi hata kufanya kazi. KWA MFUMO HUU CDM isahau magogoni, inaweza kuumbua viongozi kwa kuchimbua ya nyuma. hata kwa mtutu CCM hawang'oki ng'oo. upinzani ongezeni wabunge urais haiwezekani.
 
Nimeona thread ya invisible

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266433-mkulo-maige-ngeleja-kikaangoni-takukuru.html

inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na kuwa wameamliwa kuwa wanaripot kila siku saa 3 asubuhi...

Hawa jamaa(ngereja,mkulo na maige) hata wakichunguzwa na hata wakiamliwa kuwa wanaripori TAKUKURU kila baada ya dakika 5 hawawezi kuchukulwa hatua yoyote.

Nasema hawawez kuchukuliwa hatua yoyote maana mali niyngi walizopata kwa njia ya udanganyifu zina Baraka toka kwa rais kikwete.. na pengine niseme kwamba kuondoka kwa hawa mawaizri ni pigo kwa kikwete mwenyewe maana sasa mtiririko wa deal alizokuwa akifanya kupitia kwa hawa jamaa zimeingia doa na inabidi aanze upya.

Mali haramu walizochuma hawa mawaziri zina baraka ya mkuu wa nchi kwa sababu nae anashiriki katika kuiibia nchi kupitia baadhi ya mawaziri anaowaweka hasa kati wizara nyeti..
Ngoja nitoe mfano juu ya maige

Mwaka jana kuna taarifa zilipatikana juu ya maige kuwa ameuza vitalu bila kufata taratibu..taarifa zile zililazimu uchanguzi wa kina nawa kiinteligensia kufanyika..mwaka jana hiyo hiyo mwezi wa 8 huko arusha katka hotel ya Kibo palace maige alikabidhiwa pesa taslimu mil 600(TSH) kama malipo ya vitalu alivyogawa kwa kampuni hiyo. Ndani ya hoteli kulikuwa na vjana wa TISS maana taarifa walikuwa nazo juu ya deal hilo na mara baada ya malipo hayo kufanyika; vijana waliingia chumban na kumuweka maige chini ya ulinzi...maige alijawa na uoga sana baada ya hapo alihojiwa kwa zaidi ya saa mbili..maelezo ya maige yalitoa picha kuwa mkuu wa nchi anahusika maana maige alisema kwa mdomo wake kuwa ni kweli amegawa vitalu lakin hata yeye amekuwa akipokea maagizo toka kwa mkuu wa nchi ..alieleza jinsi mkuu wanchi anavyohusika na kusafirisha pembe za ndovu hasa katika mbuga ya ruaha kazi inayosimamiwa na ISSA ASSASI..

Maige pia alieleza jinsi mkuu wa nchi pamoja na viongozi wengine wa nchi kama lukuvi,luhanjo(aliyekuwa katibu mkuu kiongozi)yeye mwenyewe maige na katibu wake, jinsi wanavyofanya biashara ya kupasua mbao na kusafirisha kutoka msitu wa Sao Hill huko Iringa pasipo kulipia garama zozote za msitu...alieleza mengi lakini mwisho wa siku taarifa hiyo ilipofikishwa makao makuu ilileta mtafaruku mkubwa hali ambayo ilipelekea mmoja wa wakuu wa idara kuondolewa kweye idara na kupelekwa nje ya nchi katika moja ya balozi zetu huko kwa kile kilichodaiwa kuwa kwa nini amefatilia na kutuma vijana kwenda kumkamata maige..

Ngereja nae vivyo hivyo,ngereja amefanikiwa kwa kias kikubwa kwa mkuuwa nchi kupata migodi au kuwa mmoja wa wamiliki wa migodi..ngereja amefanikiwa pia kuhakikisha mkuu wan nchi anapata dhahabu toka kwa kila mgodi uliopo hapa nchi unaomilikwa na kampuni za kigeni...sasa ni katika deal hizo na wao wanapiga cha juu ..

Mkulo amefanikisha kwa kiasi kikubwa kununua na kusafirisha na kuyaingiza nchini magari ya mizigo na mafuta amabayo yote ni mali ya mkuu wanchi...leo mnapoona hizo vogue na vx zimepak ni sehemu ndogo sana ya kile alichoiba .....

Leo ninapoona TAKUKURU wanafatilia swala hili ni kiini macho maana najua hakuna lolote watakalofanywa na TAASISI KIBOGOYO hiyo...

Mwiba mkali na mbaya uliomo katika nchi ni huyo Rais wa nchi..huyu ndiye anapowachagua hawa mawaziri huwachagua akiwa na maslahi binafsi kwa kuwambia '' HAKIKISHA Napata hiki au kile..hili neno HAKIKISHA ndilo huwapa kiburi mawaziri na wanaposhika nyazifa hzo huanza kuiba na kufanya ubadhirifu mkubwa maana wanatii lile neno ''HAKIKISHA'' na wakati huo huo na wao wakinufaika na hilo neon HAKIKISHA na ndio maana mnaona wananunua majumba, wanatoa mil 500 majimboni kwao, na wengine wananunua apartments na mengine mengi. Lakini anayebaka nchi hii kinyume na maumbile bila huruma ni mkuu wa nchi..anzeni na huyu ambaye ndiyo tatizo maana hata juzi kashauriwa kutowangiza katika baraza la mawaziri baadhi ya wabunge lakini alikataa mmoja wa wabunge hao ni steven masele....

Bado kuna giza nene katika uongozi wa nchi
Hakikisha
 
Leo wengi tumesahau, na CCM wanafaidika sana na huu ujinga wa usahaulifu. Mbaya zaidi wanaoongoza huu ujinga wa usahaulifu ni wapinzani!!

Adui angepaswa kuwa CCM kwa kuwakumbusha Watanzania uovu wote bila kuamua kushughulika na aliye madarakani tu na akitoka wanahamisha magoli kwa aliyepo! na kuanza kushirikiana na wale watesi wa zamani against aliyepo madarakani. Huu unafiki wa ajabu sana
 
Mungu akubariki Ndugu Jakaya kwa kustawisha uhuru wa kutoa maoni,zamani mawazo kama haya unaweza kuyatoa ukiwa Tunduma au Namanga wakat unatokomeya,leo mtu anaongea haya yupo mita mia kutoka ofis za usalama wa Taifa bila ya waswas
Sasa mbona mnasema JPM ndio kayaanzisha ...
 
Kumbe Steven Masele kufukuzwa na Ndugai kunaweza kuwa na connection.Pia na hela za escrow kupita Stanbic bank.
 
Nimeona thread ya invisible

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266433-mkulo-maige-ngeleja-kikaangoni-takukuru.html

inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na kuwa wameamliwa kuwa wanaripot kila siku saa 3 asubuhi...

Hawa jamaa(ngereja,mkulo na maige) hata wakichunguzwa na hata wakiamliwa kuwa wanaripori TAKUKURU kila baada ya dakika 5 hawawezi kuchukulwa hatua yoyote.

Nasema hawawez kuchukuliwa hatua yoyote maana mali niyngi walizopata kwa njia ya udanganyifu zina Baraka toka kwa rais kikwete.. na pengine niseme kwamba kuondoka kwa hawa mawaizri ni pigo kwa kikwete mwenyewe maana sasa mtiririko wa deal alizokuwa akifanya kupitia kwa hawa jamaa zimeingia doa na inabidi aanze upya.

Mali haramu walizochuma hawa mawaziri zina baraka ya mkuu wa nchi kwa sababu nae anashiriki katika kuiibia nchi kupitia baadhi ya mawaziri anaowaweka hasa kati wizara nyeti..
Ngoja nitoe mfano juu ya maige

Mwaka jana kuna taarifa zilipatikana juu ya maige kuwa ameuza vitalu bila kufata taratibu..taarifa zile zililazimu uchanguzi wa kina nawa kiinteligensia kufanyika..mwaka jana hiyo hiyo mwezi wa 8 huko arusha katka hotel ya Kibo palace maige alikabidhiwa pesa taslimu mil 600(TSH) kama malipo ya vitalu alivyogawa kwa kampuni hiyo. Ndani ya hoteli kulikuwa na vjana wa TISS maana taarifa walikuwa nazo juu ya deal hilo na mara baada ya malipo hayo kufanyika; vijana waliingia chumban na kumuweka maige chini ya ulinzi...maige alijawa na uoga sana baada ya hapo alihojiwa kwa zaidi ya saa mbili..maelezo ya maige yalitoa picha kuwa mkuu wa nchi anahusika maana maige alisema kwa mdomo wake kuwa ni kweli amegawa vitalu lakin hata yeye amekuwa akipokea maagizo toka kwa mkuu wa nchi ..alieleza jinsi mkuu wanchi anavyohusika na kusafirisha pembe za ndovu hasa katika mbuga ya ruaha kazi inayosimamiwa na ISSA ASSASI..

Maige pia alieleza jinsi mkuu wa nchi pamoja na viongozi wengine wa nchi kama lukuvi,luhanjo(aliyekuwa katibu mkuu kiongozi)yeye mwenyewe maige na katibu wake, jinsi wanavyofanya biashara ya kupasua mbao na kusafirisha kutoka msitu wa Sao Hill huko Iringa pasipo kulipia garama zozote za msitu...alieleza mengi lakini mwisho wa siku taarifa hiyo ilipofikishwa makao makuu ilileta mtafaruku mkubwa hali ambayo ilipelekea mmoja wa wakuu wa idara kuondolewa kweye idara na kupelekwa nje ya nchi katika moja ya balozi zetu huko kwa kile kilichodaiwa kuwa kwa nini amefatilia na kutuma vijana kwenda kumkamata maige..

Ngereja nae vivyo hivyo,ngereja amefanikiwa kwa kias kikubwa kwa mkuuwa nchi kupata migodi au kuwa mmoja wa wamiliki wa migodi..ngereja amefanikiwa pia kuhakikisha mkuu wan nchi anapata dhahabu toka kwa kila mgodi uliopo hapa nchi unaomilikwa na kampuni za kigeni...sasa ni katika deal hizo na wao wanapiga cha juu ..

Mkulo amefanikisha kwa kiasi kikubwa kununua na kusafirisha na kuyaingiza nchini magari ya mizigo na mafuta amabayo yote ni mali ya mkuu wanchi...leo mnapoona hizo vogue na vx zimepak ni sehemu ndogo sana ya kile alichoiba .....

Leo ninapoona TAKUKURU wanafatilia swala hili ni kiini macho maana najua hakuna lolote watakalofanywa na TAASISI KIBOGOYO hiyo...

Mwiba mkali na mbaya uliomo katika nchi ni huyo Rais wa nchi..huyu ndiye anapowachagua hawa mawaziri huwachagua akiwa na maslahi binafsi kwa kuwambia '' HAKIKISHA Napata hiki au kile..hili neno HAKIKISHA ndilo huwapa kiburi mawaziri na wanaposhika nyazifa hzo huanza kuiba na kufanya ubadhirifu mkubwa maana wanatii lile neno ''HAKIKISHA'' na wakati huo huo na wao wakinufaika na hilo neon HAKIKISHA na ndio maana mnaona wananunua majumba, wanatoa mil 500 majimboni kwao, na wengine wananunua apartments na mengine mengi. Lakini anayebaka nchi hii kinyume na maumbile bila huruma ni mkuu wa nchi..anzeni na huyu ambaye ndiyo tatizo maana hata juzi kashauriwa kutowangiza katika baraza la mawaziri baadhi ya wabunge lakini alikataa mmoja wa wabunge hao ni steven masele....

Bado kuna giza nene katika uongozi wa nchi
Nchi ina mengi sana hii
 
Back
Top Bottom