Huyu ndiye tatizo katika nchi ya Tanzania na sio Ngeleja, Mkulo wala Maige

Mungu akubariki Ndugu Jakaya kwa kustawisha uhuru wa kutoa maoni,zamani mawazo kama haya unaweza kuyatoa ukiwa Tunduma au Namanga wakat unatokomeya,leo mtu anaongea haya yupo mita mia kutoka ofis za usalama wa Taifa bila ya waswas
 
Unajua wanaosema mfumo ndio tatizo katika hii nchi ni watu waliotafakari kwa kina sana. Hebu angalia, kuna TISS, TAKUKURU, POLICE CID, na sasa FIU. Lakini kamati ya bunge ndio inakuja kutoa taarifa. Hii reporting structure ya vyombo vyetu vya usalama itakuwa ina walakini. Kama Tembo anachukuliwa kupakizwa katika ndege na kuondoka huwa wanakuwa wapi? Au mafunzo yao hayawatoshelezi? Au wanaporipoti huzimwa, au wanashiriki. Lakini sasa nafikiri, sasa katika katiba mpya hili suala liangaliwe kwa makini. Wateja wa hivi vyombo ndio wanaohitaji taarifa. TISS ingekuwa ina uhuru wa kutoa taarifa katika vyombo vya habari, basi bunge na wananchi wangekuwa na mkono wa juu. Mkulu wa TISS anateuliwa na nani? maana, kama hawajibiki kwa umma, basi ana kila sababu za kumlinda aliyemteua. Hii ni hatari, maana akija kutokea kiongozi mbaya, umma utapata shida sana. Haya yanatakiwa kuangaliwa upya kwa manufaa ya taifa.
 
Nimeona thread ya invisible

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266433-mkulo-maige-ngeleja-kikaangoni-takukuru.html

inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na kuwa wameamliwa kuwa wanaripot kila siku saa 3 asubuhi...

Hawa jamaa(ngereja,mkulo na maige) hata wakichunguzwa na hata wakiamliwa kuwa wanaripori TAKUKURU kila baada ya dakika 5 hawawezi kuchukulwa hatua yoyote.

Nasema hawawez kuchukuliwa hatua yoyote maana mali niyngi walizopata kwa njia ya udanganyifu zina Baraka toka kwa rais kikwete.. na pengine niseme kwamba kuondoka kwa hawa mawaizri ni pigo kwa kikwete mwenyewe maana sasa mtiririko wa deal alizokuwa akifanya kupitia kwa hawa jamaa zimeingia doa na inabidi aanze upya.

Mali haramu walizochuma hawa mawaziri zina baraka ya mkuu wa nchi kwa sababu nae anashiriki katika kuiibia nchi kupitia baadhi ya mawaziri anaowaweka hasa kati wizara nyeti..
Ngoja nitoe mfano juu ya maige

Mwaka jana kuna taarifa zilipatikana juu ya maige kuwa ameuza vitalu bila kufata taratibu..taarifa zile zililazimu uchanguzi wa kina nawa kiinteligensia kufanyika..mwaka jana hiyo hiyo mwezi wa 8 huko arusha katka hotel ya Kibo palace maige alikabidhiwa pesa taslimu mil 600(TSH) kama malipo ya vitalu alivyogawa kwa kampuni hiyo. Ndani ya hoteli kulikuwa na vjana wa TISS maana taarifa walikuwa nazo juu ya deal hilo na mara baada ya malipo hayo kufanyika; vijana waliingia chumban na kumuweka maige chini ya ulinzi...maige alijawa na uoga sana baada ya hapo alihojiwa kwa zaidi ya saa mbili..maelezo ya maige yalitoa picha kuwa mkuu wa nchi anahusika maana maige alisema kwa mdomo wake kuwa ni kweli amegawa vitalu lakin hata yeye amekuwa akipokea maagizo toka kwa mkuu wa nchi ..alieleza jinsi mkuu wanchi anavyohusika na kusafirisha pembe za ndovu hasa katika mbuga ya ruaha kazi inayosimamiwa na ISSA ASSASI..

Maige pia alieleza jinsi mkuu wa nchi pamoja na viongozi wengine wa nchi kama lukuvi,luhanjo(aliyekuwa katibu mkuu kiongozi)yeye mwenyewe maige na katibu wake, jinsi wanavyofanya biashara ya kupasua mbao na kusafirisha kutoka msitu wa Sao Hill huko Iringa pasipo kulipia garama zozote za msitu...alieleza mengi lakini mwisho wa siku taarifa hiyo ilipofikishwa makao makuu ilileta mtafaruku mkubwa hali ambayo ilipelekea mmoja wa wakuu wa idara kuondolewa kweye idara na kupelekwa nje ya nchi katika moja ya balozi zetu huko kwa kile kilichodaiwa kuwa kwa nini amefatilia na kutuma vijana kwenda kumkamata maige..


Ngereja nae vivyo hivyo,ngereja amefanikiwa kwa kias kikubwa kwa mkuuwa nchi kupata migodi au kuwa mmoja wa wamiliki wa migodi..ngereja amefanikiwa pia kuhakikisha mkuu wan nchi anapata dhahabu toka kwa kila mgodi uliopo hapa nchi unaomilikwa na kampuni za kigeni...sasa ni katika deal hizo na wao wanapiga cha juu ..

Mkulo amefanikisha kwa kiasi kikubwa kununua na kusafirisha na kuyaingiza nchini magari ya mizigo na mafuta amabayo yote ni mali ya mkuu wanchi...leo mnapoona hizo vogue na vx zimepak ni sehemu ndogo sana ya kile alichoiba .....

Leo ninapoona TAKUKURU wanafatilia swala hili ni kiini macho maana najua hakuna lolote watakalofanywa na TAASISI KIBOGOYO hiyo...

Mwiba mkali na mbaya uliomo katika nchi ni huyo Rais wa nchi..huyu ndiye anapowachagua hawa mawaziri huwachagua akiwa na maslahi binafsi kwa kuwambia ‘’ HAKIKISHA Napata hiki au kile..hili neno HAKIKISHA ndilo huwapa kiburi mawaziri na wanaposhika nyazifa hzo huanza kuiba na kufanya ubadhirifu mkubwa maana wanatii lile neno ‘’HAKIKISHA’’ na wakati huo huo na wao wakinufaika na hilo neon HAKIKISHA na ndio maana mnaona wananunua majumba, wanatoa mil 500 majimboni kwao, na wengine wananunua apartments na mengine mengi. Lakini anayebaka nchi hii kinyume na maumbile bila huruma ni mkuu wa nchi..anzeni na huyu ambaye ndiyo tatizo maana hata juzi kashauriwa kutowangiza katika baraza la mawaziri baadhi ya wabunge lakini alikataa mmoja wa wabunge hao ni steven masele....

Bado kuna giza nene katika uongozi wa nchi


Hapo kwenye italics na mistari ( NOT TRUEEEEEEEEEEEEEEEE)
 
kikwete iliiba pesa bot ili anunue urais, sasa utashangaa nini ukisikia akiendeleza wizi uliomuingiza madarakani, nyoka ni nyoka hata akivua gamba
 
umeamua kumaliza chuki zako za kukosa ukuu wa wilaya na uwaziri hapa jf.tuache tufikirie mambo ya nchi sio hasira zako

uelewa wako utakua mdogo sana, ni raisi gani anaweza kuwa na baraza kati yao nane wanatuhumiwa kwa rushwa? Ye mwenye mtuhumiwa na one.
 
nyie mnao pinga,tupeni defensive fact zenu.kumbuka unapomteua mtu kuwa waziri it means unakuwa na imani nae.mteuliwa nae lazima a obey the master.jk asipo apply grease in his sholder na kuachana na impunity,then atakuwa anasingiziwa mambo sana,watu wana loot wakiguswa utasikia ikulu inajua.
 
Hongera mwanangu kwa taarifa hii, sasa tatizo letu ni KATIBA ndugu, tukomae wananchi waweze kutoa mapendekezo ya namna gani katiba iwe ili ata kipengele cha kumfukuza Rais kazi ata kama muda wake haujaisha kiwekwe pale atakapogundulika ni FISADI au mnaonaje wajemeni.
 
Issa Asas ndiyo mwenyewe kuhusu ziara usiingilie mambo ya kifamilia. wewe kula yogourt songa mbele. aaaaaaa shemejiiiiii
 
Ni fact gani aliyoitoa mleta mada?! Labda tu mie nitumie akili ya kawaida isiyohitaji shahada yoyote! Sh. 600M, kama zote zitakuwa ni denomination ya Sh. 10,000/= then TZS 600M ni sawa na Bundles 60 zenye TZS 10M kila moja! Kama atatembea na briefcase kubwa kubwa, angehitaji si chini ya brief kubwa kubwa 5! haiingii akilini kuona waziri akiingia hotelini na mabegi ya kawaida au viroba kisha vitu hivyo vinatoka vikiwa vimetuna! Ina maana alifuatana na watu wake?! Sizani kwamba MAige anaweza kuwa foolish kiasi hicho....unaenda kuchukua mzigo haramu halafu unafuatana na watu!!! Angesema alipewa cheki au STG or Euros, at least ingeleta sense![/QUOTE]

mbona mambo yote yangekua na sense hii nchi ingeendelea sana, lkn in real life sense si muhimu bali matokeo.
 
I agree and not only sacked but also freeze all his assets plus life sentence with hard work and 20 public whips per day
 
Du hili gazeti lako silielewi limejaa hasira zako km vile hukuchaguliwa ww au nduguyo au mtu wa Chama chako
Kila bi-adamu ana mapungufu MUNGU anayajua
Nakushauri acha Nchi iendeshwe km tulivyomchagua atatupangia uongozi utakaotufikisha 2015

tatizo lenu kila anayeongea ukweli mnamdhihaki kwa kusema ana hasira za kukosa cheo. Lazima tukubali, jk ni mhujumu uchumi wa nchi hii. Angalia kwenye utawala wake,hata siku moja hataki mtu anayefanya kazi kwa manufaa ya watanzania. Anataka mtu atakaye kuwa naye njia moja kwenye mipango yake ya wizi. Angalia yaliyomkuta dialo kwenye awamu ya kwanza.,jamaa alionekana anaweza kuikabili hii wizara lakini jk akishirikiana na watendaji wa wizara wakamuondoa. Tunataka katiba ya kumshitaki rais anayefanya madudu! Na hawa wote lazima tuwafirisi
 
JK anaweza kuwa fisadi lakini hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho cha kuamini watu aliokutana nao ukubwani na kuwapa deal hatari kama hizo!

jk hana akili zote. Nahisi baada ya kumaliza chuo kila kitu alikiacha udsm. Poor tanzanians,tunaumizwa kwa ujinga wetu.
 
Nchi yetu Tanzaniaaaaa,
Watu wetu wema sanaaaaaaa,
Tuendelee kusikia ufisadi bila kulalamikaaaaaaa,
Rais wetu na maswahiba wake wanatuibiaaaaa.

Iko siku utasikia hivi :
Mlima kilimanjaro Na. 1000/2012, Mkoa K'njaro
Mlima Meru Na. 0002/2010, Mkoa Arusha
Mbuga ya Serengeti na vitu vyote (hotels, watu, ardhi +)
Hotel ya serena Dar, Kempisk-Dar
BoT na NBC, First Nation Bank
Barabara ya Dar-Mbeya, Uwanja wa Ndege Mwl J.K,
Jeshi la polisi na Magereza,
Migodi ya Barrick, Ashanti, Tulawaka, Mchuchuma, Kiwira n.k
Atcl, Precision...........n.k


VITU VYOTE HAPO JUU NI MILIKI YA Jakaya Mrisho Kikwete Family and Associates
 
Hongera mwanangu kwa taarifa hii, sasa tatizo letu ni KATIBA ndugu, tukomae wananchi waweze kutoa mapendekezo ya namna gani katiba iwe ili ata kipengele cha kumfukuza Rais kazi ata kama muda wake haujaisha kiwekwe pale atakapogundulika ni FISADI au mnaonaje wajemeni.

Nipo pamoja na ww,ningefurahi hata huyu mwizi wa sasa tumtende hivyo.Ila basi tu katiba inabada.yote kwa kwa yote laana ya wtz itamtafuna2.HATOKI HAPA.
 
Mag3,
Sina tatizo kabisa na maelezo yako; u're 100% correct ingawaje naogopa ku-comment hilo la Mwakyembe kwa hofu ya ku-divert mjadala, jambo ambalo ni donda ndugu humu JF! Usishangae, kesho hapa ukija tukakuta mjadala huu umehamia kwa akina 50 Cents!

Hata hivyo, ukiangalia anachokisema mtoa mada ni zaidi ya hiyo "an offer one cannot refuse!" Kuna sehemu anatuambia kwamba Maige alipewa Cash Money TZS 600M na TISS walipomkamata akatoa maelezo yanayoashiria kwamba mzigo umepata go ahead ya Mzee coz' mzigo ulitokana na uuzaji vitalu isivyo halali na uuzaji huo ni agizo la mkulu! Kwamba Mkullo ameagiza magari kibao tu ya mafuta ambayo ni ya Mkulu wa Kaya! Sasa hapo an offer one cannot refuse! ipo wapi?! Kikwette might be Very Bogus, But Not Bogus Enough 2b such Reckless!! And trust me, JK might be not a Good Leader but very smart in dealing with his evil issues....!!
Kwamba JK ni "smart in dealing with evil issues" sidhani kama uko sahihi. Kitu ninachoweza kusema hapa ni kwamba Mkuu amepata nafasi ya kufanya hayo maovu ndio maana anaonekana kama yuko "smart", kitu ambacho inawezekana hata Dr Slaa au mtanzania mwingine yeyote anaweza kukifanya atakapopata nafasi aliyonayo JK. Tatizo kubwa hapa ni hulka yetu watanzania ya kutaka kujilimbikiza mali.
 
Mag3,
Sina tatizo kabisa na maelezo yako; u're 100% correct ingawaje naogopa ku-comment hilo la Mwakyembe kwa hofu ya ku-divert mjadala, jambo ambalo ni donda ndugu humu JF! Usishangae, kesho hapa ukija tukakuta mjadala huu umehamia kwa akina 50 Cents!

Hata hivyo, ukiangalia anachokisema mtoa mada ni zaidi ya hiyo "an offer one cannot refuse!" Kuna sehemu anatuambia kwamba Maige alipewa Cash Money TZS 600M na TISS walipomkamata akatoa maelezo yanayoashiria kwamba mzigo umepata go ahead ya Mzee coz' mzigo ulitokana na uuzaji vitalu isivyo halali na uuzaji huo ni agizo la mkulu! Kwamba Mkullo ameagiza magari kibao tu ya mafuta ambayo ni ya Mkulu wa Kaya! Sasa hapo an offer one cannot refuse! ipo wapi?! Kikwette might be Very Bogus, But Not Bogus Enough 2b such Reckless!! And trust me, JK might be not a Good Leader but very smart in dealing with his evil issues....!!
Kwamba JK ni "smart in dealing with evil issues" sidhani kama uko sahihi. Kitu ninachoweza kusema hapa ni kwamba Mkuu amepata nafasi ya kufanya hayo maovu ndio maana anaonekana kama yuko "smart", kitu ambacho inawezekana hata Dr Slaa au mtanzania mwingine yeyote anaweza kukifanya atakapopata nafasi aliyonayo JK. Tatizo kubwa hapa ni hulka yetu watanzania ya kupenda kujilimbikiza mali.
 
Mag3,
Sina tatizo kabisa na maelezo yako; u're 100% correct ingawaje naogopa ku-comment hilo la Mwakyembe kwa hofu ya ku-divert mjadala, jambo ambalo ni donda ndugu humu JF! Usishangae, kesho hapa ukija tukakuta mjadala huu umehamia kwa akina 50 Cents!

Hata hivyo, ukiangalia anachokisema mtoa mada ni zaidi ya hiyo "an offer one cannot refuse!" Kuna sehemu anatuambia kwamba Maige alipewa Cash Money TZS 600M na TISS walipomkamata akatoa maelezo yanayoashiria kwamba mzigo umepata go ahead ya Mzee coz' mzigo ulitokana na uuzaji vitalu isivyo halali na uuzaji huo ni agizo la mkulu! Kwamba Mkullo ameagiza magari kibao tu ya mafuta ambayo ni ya Mkulu wa Kaya! Sasa hapo an offer one cannot refuse! ipo wapi?! Kikwette might be Very Bogus, But Not Bogus Enough 2b such Reckless!! And trust me, JK might be not a Good Leader but very smart in dealing with his evil issues....!!
I concur with you absolutely. Kikwete is not so stupid. He is very dangerous and indeed destructive. He knows very well how to play cards and get huge returns at the expense of his fellows, who have been given higher posts including ministers. He is seen before the genel public as someone who is not involved whatsovee with the ongoing squandering of public funds but truly he is the most among all. His son Riz1 is now one of the richest men in Tanzania. He owns a lot of investments in various disciplines including transportations, supermarkets, fuel just to mention a few. The question is, where did he obtain all such investments if not from his father?!?

So, for me, the most dangerous creature in this country and a snag to economic development is kikwete. If I was able, I would have removed him from the office and send him to court immediately.
 
Back
Top Bottom