Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,052
- 24,442
Usimlinganishe Bill Gates na kishoia wewe...ELIMU si lazima uwe Profesa.Kisena ni sawa na Bill Gates.
Kuna maprofesa kama Lipumba ambao unaweza kudhani wana elimu ya msingi.

Hahahaha...kapiga pesa bila kuwa na elimu dunia.Kuna tetesi kuwa ata Lugumi ana elimu ya ngumbaru kama KisenaUsimlinganishe Bill Gates na kishoia wewe...
kaka hatukujua kama mumemficha huko, lakini mkuu wetu wa shule miaka ile alikuwa anahusika na alikuwa mtu wake wa karibu sana, kisena aliweza kulikisha infos zote, tulikuja kusikia yupo Pugu, nadhani walifanya hivyo kwa sababu ya maelewano ya mkuu wenu wa shule na huyo mkuu wetu na hatimae marehemu Gama kipindi kile mkuu wa mkoa wa Tabora, akaja tupa taarifa kuwa kuanzia sasa mkuu wa shule ya kazima atakuja kuwa mwalimu mkuu hapa na mkuu wa shule wa hapa kasimamishwa kazi, lakini waliendelea kulindana manake baadae alipewa fupa kubwa zaidi ya hilo na sijui sasa yupo wapihahahahaaa namkumbuka sana bwana KISENA...ni mzuri wa kujenga hoja,mtu wa lobbying,ata kitendo cha kuondolewa MILAMBO ni kuwa na trust ya mgt!enzi hzo mi nipo TABORA SCHOOL...tulimuhfadhi bweni la Sina House il warambo wasmpe kipgo,akapga kombat zetu,akapga kwata sku kadhaa mpaka alpopata testmon ya kwenda Pugu sec.Ana tabia ya usalit na kautapeli
hapana hakuishia O-level, alikuja Milambo mwaka 1991 kuanza form 5 na mwaka 1994 akaondoka katika mazingira ya kutatanisha, ila hakufukuzwa, kwani kipindi cha mgomo wa milambo secondary mwaka 1993 - 1994 hakuna mwanafunzi aliyefukuzwa, kipindi hicho alikuwa ni mwembamba sana, yani mumesema hapa ndo nimemkumbuka na alikuwa anaongea kama kameza redio, nahisi alikuwa anachukua mchepuo wa kifaransa au EGM, nimemkumbuka huyu kaka,
Ndio maana Afrika maendeleo kiduchu,majungu matupu!mpaka midume inapiga umbea!!SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.
Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne mwaka 1991 baada ya hapo alijiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Mirambo Tabora mwaka 1992, hapa alifukuzwa akiwa Kaka Mkuu baada ya kuwasaliti wanafunzi wenzake aliokuwa kiwachongea kwa mwalimu mkuu na wanafunzi kuungana na kusababisha kusimamishwa, baada ya hapa JOKALA KISENA ambae leo anajulikana kwa majina ya Robert kisena bila kutoa sababu za kubadilisha jina lake la awali alikuwan akikaa na rafiki yake uku akifanya kazi NCU Ushirika kanda ya ziwa-Nyanza,walikosana na rafiki yake aliyekuwa anakaa kwake baada ya kumpa mimba dada wa rafiki yake aliyekuwa akikaa kwake.
Katika Uchaguzi mkuu wa 1995 Kisena alichukuliwa na John Cheyo wakati huo Cheyo akiwa mgombea urais na kumuweka kuwa kama masidizi wa kusimamia mali zake Shinyanga,hapa ndio kisena alipata pesa kidogo isiyoweza kununua UDA.kisena katika kusimamia mali za cheo alifanikiwa kujenga nyumba Tatu zote zipo Nyegezi mwanza eneo lijulikanalo kwa jina la CALIFONIA.
Baada ya hapo ndio akaanzisha SIMON Agency iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa spare za magari kwa muda na baadae akajiunga na Profesa Juma Kapuya akiwa waziri ambapo walifanikiwa kuanzisha kampunin iliyofahamika kwa jina la ROBASIKA-Robert Simon Kapuya na kufanikiwa kuchota bilioni 13 za wananchi kupitia Benki ya NMB mwanza kwa ushawishi wa kapuya na kuanzisha ginery ya pamba katika jimbo la kapuya .
Ndio maana ukifuatilia pesa zilizolipwa kwenye account ya Iddy Simba imelipwa na Robasika kwa niamba ya Simon Group ili wafanikiwe kuchukua UDA na Kapuya akiwamo uku Simon Group wakidai kuwa ni malipo iliyokuwa ikidaiwa na Simon Group kutoka kwa Robasika kutokana na mkataba kati ya Simon Group na Robasika wa kusafirisha mizigo.Robet kisena ni chambo tu katika kuwafanikishia watu maalum kazi.
Watanzania hapa kuna ujambazi wa mchana, tunaibiwa, Juma Kapuya, Iddy Simba, Didas Masaburi wanahujumu watanzania kupitia UDA.
sasa huyu kwa usukuma wake huu, mtu wa kanda hiyo, atashughulikiwaje? hivi unafikiri kuna chochote kitafanyika juu yake hapo? hii nchi haina ukabilaSIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.
Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne mwaka 1991 baada ya hapo alijiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Mirambo Tabora mwaka 1992, hapa alifukuzwa akiwa Kaka Mkuu baada ya kuwasaliti wanafunzi wenzake aliokuwa kiwachongea kwa mwalimu mkuu na wanafunzi kuungana na kusababisha kusimamishwa, baada ya hapa JOKALA KISENA ambae leo anajulikana kwa majina ya Robert kisena bila kutoa sababu za kubadilisha jina lake la awali alikuwan akikaa na rafiki yake uku akifanya kazi NCU Ushirika kanda ya ziwa-Nyanza,walikosana na rafiki yake aliyekuwa anakaa kwake baada ya kumpa mimba dada wa rafiki yake aliyekuwa akikaa kwake.
Katika Uchaguzi mkuu wa 1995 Kisena alichukuliwa na John Cheyo wakati huo Cheyo akiwa mgombea urais na kumuweka kuwa kama masidizi wa kusimamia mali zake Shinyanga,hapa ndio kisena alipata pesa kidogo isiyoweza kununua UDA.kisena katika kusimamia mali za cheo alifanikiwa kujenga nyumba Tatu zote zipo Nyegezi mwanza eneo lijulikanalo kwa jina la CALIFONIA.
Baada ya hapo ndio akaanzisha SIMON Agency iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa spare za magari kwa muda na baadae akajiunga na Profesa Juma Kapuya akiwa waziri ambapo walifanikiwa kuanzisha kampunin iliyofahamika kwa jina la ROBASIKA-Robert Simon Kapuya na kufanikiwa kuchota bilioni 13 za wananchi kupitia Benki ya NMB mwanza kwa ushawishi wa kapuya na kuanzisha ginery ya pamba katika jimbo la kapuya .
Ndio maana ukifuatilia pesa zilizolipwa kwenye account ya Iddy Simba imelipwa na Robasika kwa niamba ya Simon Group ili wafanikiwe kuchukua UDA na Kapuya akiwamo uku Simon Group wakidai kuwa ni malipo iliyokuwa ikidaiwa na Simon Group kutoka kwa Robasika kutokana na mkataba kati ya Simon Group na Robasika wa kusafirisha mizigo.Robet kisena ni chambo tu katika kuwafanikishia watu maalum kazi.
Watanzania hapa kuna ujambazi wa mchana, tunaibiwa, Juma Kapuya, Iddy Simba, Didas Masaburi wanahujumu watanzania kupitia UDA.
Umeliamsha DUDE ngoja ngosha aanze naye.
Mku kupiga sio lazima uwe umesoma sana achana na Elimu jikite kwenye tukio linalohusu WaTZThanx mkuu.
Baada ya hapo historia yake kielimu imekaaje?
Hebu tupia picha yake hapa tuthibitishe!Robert anafanana na Riz1 KINYUMENYUME... Halafu Robert naye anacheka-cheka kama Mkulu...ila yeye hakuwa na Glass ya maji ya Glucose...
Mambo ya kipuuuuzi! sasa yametimia. Ndo umuhimu wa kuwa na kiongozi asiyejali uswahiba. Halafu li-mtu linazunguka nje ya nchi bila hata kutumwa!SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.