Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?

1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA
Safari hii zamu ya wanawake.......sofia simba
 
Mie nakubaliana na mtoamada, lakini SLAA atakachomshinda Shein ni kuwa Slaa siyo tu anaweza kutoa maamuzi magumu, bali ni mkali kwa uzembe wa aina yoyote. Kwa sasa taifa halihitaji mtu kama shein ambaye hawezi kukemea, na hata kuadhibu kwani tuko pabaya kupitiliza.
Tunamhitaji kiongozi ambaye habembelezi kama Shein (rejea tukio la MV. Spice Islander hivi karibuni), bali mwenye kutenda kama SLAA (rejea madiwani wa Arusha).
 
Acha uXXXXng mimi siyo dada..ni mwanaume wenye wake wawili watoto 7..
tehe tehe tehe. Samahani mkuu, hiyo ID yako nimeifananisha na mafuta flani ya urembo wa kina dada. Ila wewe utakuwa ni suruali fupi tu. Kwa jinsi ulivyowaka? Halafu ndoa zako pia zinasadifu kabisa. Kam daun.
 
Umesema kweli mujahidin wa kikweli na ndoa sahihi za kidini..

Kama una dada ana heng nafasi mbili zaidi sipo InshAllah zifikie nne kamili.
 
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?

1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA

Unajifanya humjui Dr John Pombe Magufuli? Huyo ndie Rais wa 2015-2025!
 
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?

1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA

kuanzia kesho naanza kusali novena kabla ya kunywa bia jioni ili mungu apishilie mbali.
Kati ya watu hawa hamna anayefaa
 
Safari hii zamu ya wanawake.......sofia simba
Ndicho anachopenda mkoloni,badala ya kuzungumzia ni kwa vipi tutajikwamua,kila sikua ni rotation tu ya makapi kwenye madaraka ya nchi.

Yani tumekuwa hopeless kabisa.Its like a maniac cycle!

Eti mara sijui handsome,mara zamu ya wanawake,mara waislam ama wakristo.

Ujinga tu ndo umetujaa,na ukichangia na tatizo la kutokuwa na wenye uwezo wa kifikiri.

I realy feel sorry for Tanzania.
 
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?

1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA

Huyo namba 4 ana Phd ya Kanisani hatutaki Udini hapa! Hatuchagui Padre hapa aende kugombea Cheo cha Kadinal Pengo atashinda kwani alisha wahi kuwa Padre
 
Back
Top Bottom