Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

Wanawake huwa hawataki challenges, kila wakiambiwa jambo wao hujibu "kwa vile mimi ni mwanamke eh" hebu tufuate maandiko ya vitabu vya dini tuachane na siasa. Tusiwe wanafiki wa kwenda kanisani huku ukweli tunaukimbia.

Mimi naamini mwanamke ndo mlezi namba 1 wa watoto, naamini pia mama ndo house care no 1. Ndo maana siku hizi nyumba nyingi mahouse girl wamechukua kasi sababu wanawake nao kujifanya mabwana.

Je wote hao wawili wametimiza wajibu wao? Kwa kiasi gani?

What if mtoto asipomsikiliza mama.....don't u see that there is a gape there? Then who can fix it kama baba anajiengua?

Sijasema baba anajiengua ila mlezi mkuu ni mama,yeye anakuwa na mtoto muda mwingi,unafikiri ni kwanini radhi ya mama ni muhimu?Sikuhizi imepoteza nguvu kwa sababu ya mambo haya!

Je wote hao wawili wametimiza wajibu wao? Kwa kiasi gani?

Wote watatimiza wajibu wao kama kila mmoja atacheza nafasi yake vyema,sio kipa aende kushambulia aache goli wazi halafu mfungwe mtafute mchawi!

Ok nimekuelewa.

Inasikitisha kiasi kwamba wanawake walio ulaya utaona wanakuwa karibu na wanao zaidi hata kama wanafanya kazi sababu asilimia kubwa sana hawana wasaidizi kuwasaidia ni baba na mama kushughulika.

Inasikitisha kweli

Mfano siku moja nilisikia mke wa rafiki yangu anatuaga tulipo eti wanawahi home hg atakasirika watoto wamechelewa ili awalaze hiyo ilikuwa Sunday.

My sister alikuwa likizo later akasema duh hapa tz kazi kwa kweli yaani hata Sunday hg analaza watoto ndio alisema anaelewa week days ubusy foleni wengi inaaribu maisha kama nilivyomweleza lakini na mimi nilishindwa elewa wkend pia hg mbele na hawa watu hawafanyi kazi hm zaidi ya kula na kulala

SAD

Matatizo ni mengi sana tena sana!

Bombu,kama tungepata malezi bora tusingekua na haya leo,maneno kama golikipa ni maneno ya kijinga ya watu wachache,na waliokosa malezi pia!Umuhimu wa mwanamke katika malezi bora ya mtoto haukwepeki!

hata mie siipingi nafasi ya mama katika malezi ya mtoto. Ila pia nina mfano hai wa uliloliongelea. Mwanzoni mamangu alikuwa ni mama wa nyumbani tu, nasi kwetu tumezaliwa watoto saba, ila mnamo mwaka 1994 babangu aliamua kumpeleka mama chuoni ili walau naye asaidie ktk kuongeza kipato cha familia. Na kweli kidogo tuliona maendeleo ya nyumbani kwetu, tofauti na siku za kale. Ila recently naona mzee kaanza kumlaumu huyuhuyu mama ambaye sasa anatoka kazini akiwa amechoka, ilihali akisubiriwa na majukumu mengine ya kifamilia kuwa hana muda wa kuihudumia family.

My take: You men take the responsibility and you will see that your wives will take a good care of the families

asee nemo nimekupenda my dada uko very concious
To Summarize
So in essence what you mean to tell us is
1. Office jobs are for the men
2. The shaping of our children's lives, is the sole responsibility of women
3. Most importantly....................."Unless a woman stays home, and rear her kids then she is useless and/or worthless as a mother???"
Eiyer
Two things
• If you are a woman, then please wake up and smell the coffee. Providing a home, clothes and education for one's children's is as important as hayo malezi unayoyaongelea, especially in this day and age.
• If you are a man, please man up and stop blaming women for your failures and/or lack of provisions. Just know unless otherwise very a few women will choose jobs over taking care of their kids

hata mie siipingi nafasi ya mama katika malezi ya mtoto. Ila pia nina mfano hai wa uliloliongelea. Mwanzoni mamangu alikuwa ni mama wa nyumbani tu, nasi kwetu tumezaliwa watoto saba, ila mnamo mwaka 1994 babangu aliamua kumpeleka mama chuoni ili walau naye asaidie ktk kuongeza kipato cha familia. Na kweli kidogo tuliona maendeleo ya nyumbani kwetu, tofauti na siku za kale. Ila recently naona mzee kaanza kumlaumu huyuhuyu mama ambaye sasa anatoka kazini akiwa amechoka, ilihali akisubiriwa na majukumu mengine ya kifamilia kuwa hana muda wa kuihudumia family.

My take: You men take the responsibility and you will see that your wives will take a good care of the families

Kataeni na hili maana inaonekana kama tunalaumu bure!Thanx 4 the advise!

Mbona sijaona point hapo??

Eiyer
Basically this is what I was trying to convey, with key words bolded and italized.........................hope it helps
• If our men were able to provide enough for the family, It wouldnt have been neccessary for most of us, women to work as hard and/or leave the children behind and go to work at all.
• Apart from cooking , cleaning and disciplining the children, malezi ya mtoto includes providing food, clothes and a decent a education. Example: Personally I'd rather my mother go work, and be able to put me through a good school than have her home to wash my school uniform:)
• MALEZI YA WATOTO ni jukumu la BOTH PARENTS, hence the reason children are made by two and not one!???

Eiyer

Basically this is what I was trying to convey, with key words bolded and italized.........................hope it helps

If our men were able to provide enough for the family, It wouldnt have been neccessary for most of us, women to work as hard and/or leave the children behind and go to work at all.

Apart from cooking , cleaning and disciplining the children, malezi ya mtoto includes providing food, clothes and a decent a education. Example: Personally I'd rather my mother go work, and be able to put me through a good school than have her home to wash my school uniform

MALEZI YA WATOTO ni jukumu la BOTH PARENTS, hence the reason children are made by two and not one!???

Umezungumzia yaleyale ambayo wenzio wamesema,nothing new,unazungumzia matokeo,pia unataka kusema kuwa wanawake wote wanaofanya kazi waume zao hawatunzi familia zao?I knw and u knw this is not true!

Umenikumbusha prof wangu mmoja wakati nasoma Japan alituchekesha sana darasani. Unajua wajapan mwanamke afanyi kazi hata kama ana masters akiolewa anaacha kazi na kuanza kulea watoto mpaka wakikua ndiyo anaenda kutafuta kazi na kwa kuwa anakuwa amekaa sana nyumbani kazi anayoweza pata ni kuuza supermarket. Sasa huyo professor yuko very westernized alisoma marekani more than 10 years. Alikuwa anasema vijana wa kijapani wana behave vibaya sana kwa sababu ya kulelewa na mama zao. Sasa hapo nataka kukwambia kuwa jaribu kufanya research uone kama watoto wa ma housewives wana behave better than working mothers.

King'asti,belive me,mwanamke anaefanya kazi anaondoka nyumbani asubuhi ni tatizo,mtoto anazaliwa baada ya miezi 3 mama anaanza kumwacha!Hii nini?Malezi ya mtoto yanahitaji pande mbili sawa,wewe unalitafsi vipi hili?Mgawanyo uko wazi,mama majukumu yake ni ya myumbani,kumjenga mtoto kisaikolojia,namna ya kujitambua,nidhamu n.k,baba yeye ni kuleta hela ya chakula na kulipa ada za shule,hebu niambie yapi ni ya muhimu kwa mtoto?Wanaume marioo bado ni zao lilelile la matatizo ya kimalezi ya mama!Unyanyasaji wa mwanamke ni matatizo ya kijamii ambayo haya yana solution yake!Tatizo ni uongo mliolishwa!

Nakubali kuwa mama anamlea mtoto kwa mapenzi ya hali ya juu; ila nakataa kuwa mama anamlea mtoto kuwa na maadili kuliko mtu mwingine. Lots of mothers are ending up spoiling kids with their love.

hiyo ni bahati mkuu, mbna mm nimelelewa na bibi kabisa lakini alright! Tuwaonee huruma ambayo hawapati hizi bahati za kupata malezi bora!

Umezungumzia yaleyale ambayo wenzio wamesema,nothing new,unazungumzia matokeo,pia unataka kusema kuwa wanawake wote wanaofanya kazi waume zao hawatunzi familia zao?I knw and u knw this is not true!

I dont even know why, Im bothering, sigh!!........................... just to point out the obvious Most is not All!!!! Get it straight! This is a forum for many so I dnt see whats suprising and/or why its wrong for me to share similar opion with others!!!?. Besides ........ had you paid attention you would've noticed that I was the first to comment so..................

Nakubali kuwa mama anamlea mtoto kwa mapenzi ya hali ya juu; ila nakataa kuwa mama anamlea mtoto kuwa na maadili kuliko mtu mwingine. Lots of mothers are ending up spoiling kids with their love.

Mama mtu hujengwa na malezi,tabia zote na mitazamo hujengwa hapo!

I dont even know why, Im bothering, sigh!!........................... just to point out the obvious Most is not All!!!! Get it straight! This is a forum for many so I dnt see whats suprising and/or why its wrong for me to share similar opion with others!!!?. Besides ........ had you paid attention you would've noticed that I was the first to comment so..................

Ok i got u!But what about other point?

Umenikumbusha prof wangu mmoja wakati nasoma Japan alituchekesha sana darasani. Unajua wajapan mwanamke afanyi kazi hata kama ana masters akiolewa anaacha kazi na kuanza kulea watoto mpaka wakikua ndiyo anaenda kutafuta kazi na kwa kuwa anakuwa amekaa sana nyumbani kazi anayoweza pata ni kuuza supermarket. Sasa huyo professor yuko very westernized alisoma marekani more than 10 years. Alikuwa anasema vijana wa kijapani wana behave vibaya sana kwa sababu ya kulelewa na mama zao. Sasa hapo nataka kukwambia kuwa jaribu kufanya research uone kama watoto wa ma housewives wana behave better than working mothers.

I dont think so!Hebu nikukubalie for the sake of "agument"but kama huyo mtoto ni bora huo ubora ameupata wapi?

Kumbuka pia watoto wa siku hizi wanaanza shule wadogo wengine from 2.5 years, hence they spend most of their times shule hata useme ukae nyumbani mtoto anarudi saa kumi, kumi na moja sababu ya foleni za njiani; utamlea saa ngapi??? Mimi nakaa na wanangu jmosi na jpili na inanitosha ku audit wamejifunza tabia mbaya gani na nzuri gan katika siku tano nilipokuwa busy.

Hilo suala la kwenda shule kwa umri uliosema ni kuwa wazazi wanawapeleka watoto ili wapate muda wa kufanya kazi nalo ni tatizo lingine!

Back
Top Bottom