Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

Ni kweli tatizo la ulevi lipo tangu siku nyingi,nikuulize swali hiyo zamani unayoizungumzia ni ipi?Je unajua wanawake walianza kufanya kazi?Apart from that unapomuona baba ana tabia hizo sababu kubwa ni malezi na wakati mwingine vurugu za mke anaamua kutumia pombe kama tulizo,lakini hata huyo mwanamke mwenye vurugu nae ana matatizo yaleyale ya kimalezi,tunarudi kulekule!

Hiyo hiyo zamani ya ulevi na ndo ilosabisha insanity na jeuri ya ajabu na wala sio malezi ya mama!! Maamuzi mengine mnayafanya kwa makusudi then mnamsingizia mama.

Its funny u didnt answer my question logicaly!!

nimelelewa na mama aliyekuwa anafanyakazi na katika watoto wake wote tumefanikiwa na tumeshika position kubwa katika jamii. alitushape tabia mpaka wengine wanamuuliza aliwezaje.

hiyo ni bahati mkuu, mbna mm nimelelewa na bibi kabisa lakini alright! Tuwaonee huruma ambayo hawapati hizi bahati za kupata malezi bora!

nimelelewa na mama aliyekuwa anafanyakazi na katika watoto wake wote tumefanikiwa na tumeshika position kubwa katika jamii. alitushape tabia mpaka wengine wanamuuliza aliwezaje.

Hapo uliposema"wengine wanamuuliza aliwezaje"ni jibu tosha kwa point yangu,japokuwa aliteseka sana!

msongo wa mawazo unaweza ukawa worse akiwa hata amekaa nyumbani kusubiri kuletewa na mme. lets us appreciate our mothers and God will bless us abundantly. hakuna mama ambaye anapenda kumwacha mtoto wake wa 3 months ila circumstances zimewaforce. big up our mama. i 'll always appreciate whta u ve done in our lives.

hao wanamuuliza aliwezaje ni ambao wako nyumbani na ni full time mothers/house wife na watoto wao ni vimeo. so wanamuuliza aliwezaje kulea watoto wake vizuri na mme ambae always wako pamoja as the best couple kwenye ukoo.

Hizo circumstances zimesababishwa na mambo niliyoyaeleza hapo juu,kama familia yenu iko kama ulivyosema hatuwezi kuifanya mfano kwani kwenye familia 10 ni familia moja au hakuna ya aina hiyo,so ni kama ukinyewa na na ndege sio kwamba amekulenga ni bahati tu!

hao wanamuuliza aliwezaje ni ambao wako nyumbani na ni full time mothers/house wife na watoto wao ni vimeo. so wanamuuliza aliwezaje kulea watoto wake vizuri na mme ambae always wako pamoja as the best couple kwenye ukoo.

Hapa bado umeeleza tatizo lile lile,kama mama yako hakukulea hautajua namna ya kulea watoto wako!

Wanawake huwa hawataki challenges, kila wakiambiwa jambo wao hujibu "kwa vile mimi ni mwanamke eh" hebu tufuate maandiko ya vitabu vya dini tuachane na siasa. Tusiwe wanafiki wa kwenda kanisani huku ukweli tunaukimbia.

Mimi naamini mwanamke ndo mlezi namba 1 wa watoto, naamini pia mama ndo house care no 1. Ndo maana siku hizi nyumba nyingi mahouse girl wamechukua kasi sababu wanawake nao kujifanya mabwana.

Hivyo ndivyo ilivyokua,ndivyo ilivyo na ndivyo itakavyokuwa milele!

Yah but b'se of weman!

No. B'se of recklessness na that arrongant behaviour u have! U went straight beyond the boundaries without caring the package and even that special lady u have behind. If u could judge ur speed then u could have realized!

Nimeandika haya kutokana na uchungu wa yanayotokea kwenye jamii yetu,sina kumbukumbu yoyote mbaya ya utotoni!

Ok nimekuelewa.

Inasikitisha kiasi kwamba wanawake walio ulaya utaona wanakuwa karibu na wanao zaidi hata kama wanafanya kazi sababu asilimia kubwa sana hawana wasaidizi kuwasaidia ni baba na mama kushughulika.

Inasikitisha kweli

Mfano siku moja nilisikia mke wa rafiki yangu anatuaga tulipo eti wanawahi home hg atakasirika watoto wamechelewa ili awalaze hiyo ilikuwa Sunday.

My sister alikuwa likizo later akasema duh hapa tz kazi kwa kweli yaani hata Sunday hg analaza watoto ndio alisema anaelewa week days ubusy foleni wengi inaaribu maisha kama nilivyomweleza lakini na mimi nilishindwa elewa wkend pia hg mbele na hawa watu hawafanyi kazi hm zaidi ya kula na kulala

SAD

Nimechangia lakini nashangaa mchango wangu umenyofolewa,why??

No. B'se of recklessness na that arrongant behaviour u have! U went straight beyond the boundaries without caring the package and even that special lady u have behind. If u could judge ur speed then u could have realized!

Why don't u tell me that boundaries!And what that package?What special lady?,what speed is that?Plz answer this question!Apart from that i dont see any logic here!

Back
Top Bottom