Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

Sawa Mkuu ! Ni wasiwasi wangu tu pengine mpaka sasa imekwisha Fisadiwa na wanene!.Kama Masaki waliuziana bado nitabaki na dukuduku kama itakuwa bado ni Mali ya Umma c/o sirikali
Hapana,nasema ile ni hide out,kwa hiyo bora isitajwe,kwa sababu labda siku moja Magufuli atahitaji kukimbilia kule,watu wa kazi wakicharuka. Unakumbuka alivyosema Kambona,kwamba Mwalimu alivishwa baibui akatoroka,mimi ndio nikabakia kukabiliana na wale wanajeshi wenye gadhabu,kwa sababu mimi ndie nilikuwa Waziri wa Ulinzi.
 
Nimeshatoka kutoka kwenye kujua Kigamboni hiyo hide out iko wapi. Ila hoja inabaki je haijapigwa mnada kama Majengo mengine ?

Raia Mwema | Nyumba za Serikali
 
wakati mama mgaya anafariki nasikia eti mwl. alitamka kuwa kama mama umekufa basi nami sitaishi cku nyingi, je ni kweli alitamka hvyo? na kam ni kweli kulikuwa na link gani baina ya roho ya mama mgaya na nyerere?....dah haya maswal huwa yananiumiza sana, sasa mwitonge nae kalala mbele.

je ni kweli mwl.nyerere alikataa lami iwekwe kwenye barabara inayoanzia makutano ya juu kupitia kona 7, butuguri, busegwe hadi butiama, eti akidai hatak ukanda mweusi? mwitongo kwan ww unajua nn mbona hunijb

je ni kweli burito c baba ake halisi wa nyerere? na badala ake baba ake mzazi wa mbegu kwa kizanaki "kitungo" ni mzee MTOKA yupo kijiji Cha jirani BUMANGI pale mtaa wa kyawamang'we....je ni kwel mwaka 98 alimpelekea mzee mtoka suti?

katika kabila la wazanaki kuwa na mke nje ya ndoa (e-kitungo) ni jambo la kawaida, je mwl nyerere hakuwa na kitungo? na je km alikuwa nacho hajazaa huko mtoto?

mwitongo nitafurah endapo nitapata majibu muafaka toka kwako....plzzzz

je ni kweli burito c baba ake halisi wa nyerere? na badala ake baba ake mzazi wa mbegu kwa kizanaki "kitungo" ni mzee MTOKA yupo kijiji Cha jirani BUMANGI pale mtaa wa kyawamang'we....je ni kwel mwaka 98 alimpelekea mzee mtoka suti?
Naona ulijitahidi sana kuuliza ili uonekane ni mkazi wa huko au unafahamu maeneo ya huko. Hongera sana
 
UNATAKA KUELEWA AU UNATAKA UKAIONE? MAELEZO HAPO JUU YANAKIDHI...

Nataka kuelewa sijui maelezo yapi yanakidhi?
Kuwa ilikuwa sehemu ya mauziano ya Majengo ya Umma waliyouziana na kwamba mmoja ya iliyokuwa first Family inakaa humo kwa sasa?
Au bado ni jengo la Umma kupitia Ikulu na first Family iliyopo hujivinjari huko ?

Lipi kugumu kueleweka?.
 
asante mkuu, kumbe ile kesi ya kutunguliwa ndege yenye mtoto wa nyerere ilikuwa janja ya mayunga.
Nina swali lingine mkuu;
1.fimbo ya nyerere iliyoko kwenye makumbusho ya nyerere butihama nasikia ni feki, fimbo halisi ipo ikulu je ni kweli?
2. kaburi la nyerere kabla ya mwezi haujaisha tangu azikwe lilipasuka na kutoa mlio mkali kiasi kwamba walinzi wa ile sehemu wote walikimbia isipokuwa aliyekuwa mlinzi wake?
3. je asili ya neno nyerere ni Rwanda/Burundi likiwa na maana ya utelezi/teleza?
Andrew Nyerere tujibu na hili mkuu
 
mkuu mwitongo
mbona umesepa?

kwa nini J W BUTIKU ambae baba yake wiliam ni mtoto wa nje tu wa mzee burito amekuwa na sauti kubwa katika ukoo huu il hali watoto alowazaa Burito kwa halali kama Muhunda, wesigana, Nyerere wa mugalla, Jacton Nyambereka na wengineo wamefunikwa na hata pale Nyerere Foundation Kajaza wazinzi wenzie tuu
Chuki zako tu, kuna akina mzee Sanga pale, Salim Ahmed, tc
 
NI kweli mwalimu alisita kwenda Uingereza kama alivyosema Vincent. Siri ya kifo cha mwalimu inahitaji mwaka mzima kuijadili hapa. Tuombe Mungu tupate muda. tutaijadili. Kuhusu Andrew, si kweli kwamba ni kichaa, isipokuwa matatizo madogo tu ya aina hiyo yapo katika ukoo wote wa Nyerere Burito. Hadi kina manyerere, yule mwandishi walishaugua na kulazwa muhimbili kwa miezi mingi. lakini si kichaa, ni ugonjwa tu wa kawaida!!!!
Huo ugonjwa unatokana na nini?
 
Mbona Madaraka anazeeka fasta kuliko wakubwa wake? (kwa mujibu wa mpangilio wako)

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niwasaidie wote pamoja na huyo anayejiita Mwitongo. Ni hivi Nyerere hakuwa Mzanaki bali kuna historia iliyopotoshwa! Nyerere kwa kifupi ni damu ya Msukuma, mama yake walikorofishana na chifu kabla hajazaliwa akakimbilia Usukumani eneo ambalo leo ni wilaya ya Busega. Alipofika huko akaolewa na Kijana wa Kisukuma na wakabahatika kumpata huyo jamaa! Huku nyuma baada ya kama miaka kadhaa hivi Chifu akaanza kumfuatilia mkewe baada ya kusikia kuwa yuko Usukumani. Huko alimkuta akiwa na watoto wawili yaani yule aliyekimbia naye pamoja na huyo aliyemzaa Usukumani. Kwa mila za Kikurya/Kizanaki mke akienda kuzaa nje bado mtoto atakuwa wa huyo aliyemtolea mahari, hivyo ka-Nyerere nako kalibebwa na chifu kwenda Uzanaki kutoka Usukumani! "Na ichapwe"
 
Kwa miaka 26 mlioshika uongozi mmefanya nini? Mwatex? Kilitex? General Tyres? Tanganyika Packers? Machine Tools? Railway? ATC? Ranchi za taifa? viwanda vya kubangua korosho? Katani? Elimu bure? huduma za afya bure?

26 yrs of looting, mashimo matupu, watu wanakula mapanki.
Unatekenywa ulitaka wale manywere?
 
Chifu Nyerere Burito ambaye ni babake Mwalimu, alikuwa na wake 26. Mamake Mwalimu aliitwa Mgaya Nyang'ombe. Huyu alikuwa mke wa tano. Mwalimu alikuwa na ndugu zengine kwa babake, baadhi yao ni Justine Nyerere, Wisigana, Joseph Muhunda,Jackton, Wanzagi, Mukami, Tagazi, Nyasisenye, Daniel, na wengine wengi sana. Fikiria wanawake 26 si mchezo!!
sio mchezo kweli?
 
Ngoja niwasaidie wote pamoja na huyo anayejiita Mwitongo. Ni hivi Nyerere hakuwa Mzanaki bali kuna historia iliyopotoshwa! Nyerere kwa kifupi ni damu ya Msukuma, mama yake walikorofishana na chifu kabla hajazaliwa akakimbilia Usukumani eneo ambalo leo ni wilaya ya Busega. Alipofika huko akaolewa na Kijana wa Kisukuma na wakabahatika kumpata huyo jamaa! Huku nyuma baada ya kama miaka kadhaa hivi Chifu akaanza kumfuatilia mkewe baada ya kusikia kuwa yuko Usukumani. Huko alimkuta akiwa na watoto wawili yaani yule aliyekimbia naye pamoja na huyo aliyemzaa Usukumani. Kwa mila za Kikurya/Kizanaki mke akienda kuzaa nje bado mtoto atakuwa wa huyo aliyemtolea mahari, hivyo ka-Nyerere nako kalibebwa na chifu kwenda Uzanaki kutoka Usukumani! "Na ichapwe"
Mwitongo
 
Mkuu
Job K, kuna vitu vingine vinakuwa ni too inside family hata ukivisikia, hutakiwi kuviuweka in public namna hii under the right to privacy!, mbona watu wanayajua ya Karume, ya Mkapa hadi huyu aliyepo lakini hatusemi!. Tungekuwa na vingezo vya kupima DNA kwa viongozi wetu wakuu, watu wangebaki midomo wazi!.

Hivyo nauchukulia huu ni uongo mkubwa wa mchana kweupe!, ukweli ni ule unaosemwa rasmi!. Wakuu Andrew Nyerere na Mwitongo, uwongo ukisemwa sana na kuachwa bila kukanushwa, hukeuka ndio ukweli wenyewe!. Tafadhalini sana kanusheni hii, hata kama uwongo huu ndio ukweli wenyewe halisi, na yale yote tuliyoyajua ndio uongo wenyewe, kanusheni tuu ili tubakiwe na ukweli mmoja tuu ule tulioaminishwa toka mwanzo!.

Mimi mwenyewe na wife wangu tunaishi mbalimbali, mimi naishi TZ, wife anaishi US, tunatembeleana wakati wa likizo, once a year!, japo sisi wote ni weusi, lakini mmoja wa watoto wetu aliyezaliwa US ni cheupe, hayo ni mambo ya kijenetiki tuu lakini ni mwanangu na ndie the most favorite kid!.

Pasco
 
279892737d1d0e2802a1adba8018b05e.jpg
 
Chifu Nyerere Burito ambaye ni babake Mwalimu, alikuwa na wake 26. Mamake Mwalimu aliitwa Mgaya Nyang'ombe. Huyu alikuwa mke wa tano. Mwalimu alikuwa na ndugu zengine kwa babake, baadhi yao ni Justine Nyerere, Wisigana, Joseph Muhunda,Jackton, Wanzagi, Mukami, Tagazi, Nyasisenye, Daniel, na wengine wengi sana. Fikiria wanawake 26 si mchezo!!
Huyo Jacton ni baba wa mwandishi nguli,Mbobezi Manyerere Jackton
 
Back
Top Bottom