huyu ndiye mshindi wa miss chitchat

Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;
  • @catherine kura 1
  • @Cute kura 0
  • Kongosho kura 2
  • @beibe nasty kura 3[* cacico kura 9
[Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat
Nawasilisha

Haya matokeo sio valid, ni asilimia ngapi ya wanachitchat wamepiga kura?
 
Haya matokeo sio valid, ni asilimia ngapi ya wanachitchat wamepiga kura?

naomba nikuulize kwanza mkuu kabla ya kukujibu maana ndio tamaduni yenu wa-tz,tunauliza kabla ya kujibu swali, Je,kwa nini hukupiga kura?
 
Back
Top Bottom