Wa Ndima
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 1,526
- 323
- Thread starter
- #21
QUOTE=Wa Ndima;1122417]
Ndugu zangu mnakosea,
Ndugu Wa Ndima katupa kipande hiki ili kisambazwe kwa watu wengi kuonyesha nini kile CCM imekusudia. Tafadhali nawaomba mtume kipande cha video hii kwa watu wengi sana kama mna emaili ambazo zina list-serve basi tuisambaze sana kwani hiyo ni kampeni tosha. Asante ndugu Wa Ndima kama kuna vipande vingine kama hivi ikiwa ni pamoja zile hotuba za Kikwete kuwa wasichana wenye kiherehere na kuwa hawezi kukaa nchini kwetu kugawana umaskini basi nazo zisambazwe. Mapambano bado yanaendelea na ......[/QUOTE]
Nimekusoma Rugemeleza, nitaviweka vipande vingine vya kipuuzi vya CCM kadri nitakavyovipata na naomba Wana JF mvisambaze kwa kila mwananchi wa Tanzania ajionee hawa mafisadi CCM walivyo.
Haya wale viherehere wapenda CCM mbona siwaoni katika hili?
Last edited by a moderator: