Huyu Ndiye Jose Morinho

Pole sana my wife kwa team yako kushindwa kwenda finals, lakini kusema ukweli BARCA IS A WORLD CLASS TEAM, the football display does fit the century, it is a fabulous team,

Nakupongeza kwa hilo my wife, you are a fan of the great team with nice footbal display in the world today
 
Congratulations to Jose Mourinho ,kila siku nasema kila timu inabebwa but inategemea ni jinsi gani mnatumia hizo nafasi.Kama Inter wangekuwa 11 Barca wangeweza kushinda but ile red card ndio iliwafanya Inter wakaze but.Nicklas Bertnder,Dimitar Berbatov,David Ngog ni bora kuliko Zlatan Ibrahimovic
 
Barca with over 600 acurate passes 80% of which were done in the inside half of Inter Milan but they failed to score while Inter's defense led by Brazilian International Lucio committed no single error in the 90 minutes!!

The statistics are amazing!!
 
congratulations to jose mourinho ,kila siku nasema kila timu inabebwa but inategemea ni jinsi gani mnatumia hizo nafasi.kama inter wangekuwa 11 barca wangeweza kushinda but ile red card ndio iliwafanya inter wakaze but.nicklas bertnder,dimitar berbatov,david ngog ni bora kuliko zlatan ibrahimovic

u cant be serious !
 
Arsenal is not a football team ...is a bunch of boys! learning how to play footie. Sasa hivi Arsenal wanajandaa na kugombea kombe la Emirates. Emirates Cup tournamount has been announced!!!

AC Milan
Celtic
Lyon
Arsenal

Nadhani kila mwaka Arsenal huwa wanachukua hili LOL!

I support you mia kwa mia masanilo - Asernal is like their doing business of buying cheap young players developing and selling them to get money! i dont think its a club that needs trophies - mwaka wa ngapi huu unapita hakuna hata kikombe - they will say eti....
Tunacheza intertaining football sawa so what?
Wachezaji wetu vijana average age 23 sawa so what?
We have generated super profit in past 5 years sawa so what?
We have our new stadium Emirates sawa so what?

Yote hayo bila Kombe lolote ni sawa na Nothing - Football is all about winning Games Guys wakeup.
 
kwangu kuondolewa kwa Samuel Etoo Barca , ilikua na lengo la kuondoa nyota waliokua hawamuhofu kocha, hii ilimtokea pia Ronadihno na wenzake kadhaa, kua kocha mpya anahitaji wachezaji ambao yeye akiongea wanasalute. alifanya hivyo Fergie alipokua anajenga himaya yake. akawatoa Muhanga wachezaji kadhaa nyota, kisha akaja na kizazi cha wachezajiambacho kilikua kinamuhofu...akasajili Beckham, Scholes,Yorke,Cole,Giggs,Stam,Johansen na wengine.hii hufanywa na makocha wengi.
Ila Ibramhmovich haingii hata Nusu ya kipaji cha Etoo, hata uwezo binafsi Etoo yuko juu. uliona jana alivyokua anacheza kiwanja Chote kama kKiunga wa Kati....
 
Man U watasemaje na BerbatOFF?

Mkuu Masanilo hicho ni kiroba kingine cha mchanga ni sawa na hivi vingine viwili vya Asenali - Sylvester na Campbell eti Combination of Central defenders!! - Left-overs!
 
hakuna siku nimepata raha ya soka kama jana..yaani Mourinho mchezaji ana[ewa kadi nyekundu yeye anacheka..hahaaaaaa ... Jose ni kocha mzuri sana nakumbuka aliwahi kuwaambia wachezaji wa chelsea katika moja ya mechi za EPL kuwa ,we cannot loose but iam not forcing you to win!!! this alone inawapa wachezaji motivation ya kutosha..Go Inter Gooo!!

He gave the a sarcastic laugh which again affected the ref all over
 
Mnasemaje timu inashinda bila muitaliano? Waingereza wanalalamika kuhusu Wenger kila siku
 
Jambo lengine la kutia moyo zaidi, Mkenya Macdonald Mariga, waingereza walikataa kumpa Visa, mourinho akaona hapa yupo mtu!, Kijana angekuwa apigania nafasi na Man.City angalau wapate nafasi ya kucheza Euro. Kwa sasa Mariga atacheza fainali ya Euro, maajabu ya Maulana, mlangu ukifungwa huku mwenyezi akufungulia huku!. Congratulations Mariga!!!!!!!!!!
 
Tehetehe!...jana watu wengi walikuwa (tulikuwa), Inter Milan coz of two or more factors.....

1. Sisi wengi ni mashabiki wa Madrid (we hate Barca)
2. Sisi wengi ni Arsenal (4-1 nightmare still hautnt us)
3. Sisi wengi ni Chelski (unakumbuka mwaka jana nusu fainali nazengwe lao)
4. Sisi wengi ni Man Utd (kipigo cha fainali mwaka jana, real sucks!)
5. Sisi wengi we hate Seria A football but love Jose M (y?, coz ana maneno mengi kama m-bongo, tehetehe!)
 
tank yuuu, mi nampenda Mourinho sana, ila naipenda Liverpool, na vile vile nawachukia Barca vibaya mno. Uko sahihi.
 
Tehetehe!...jana watu wengi walikuwa (tulikuwa), Inter Milan coz of two or more factors.....

1. Sisi wengi ni mashabiki wa Madrid (we hate Barca)
2. Sisi wengi ni Arsenal (4-1 nightmare still hautnt us)
3. Sisi wengi ni Chelski (unakumbuka mwaka jana nusu fainali nazengwe lao)
4. Sisi wengi ni Man Utd (kipigo cha fainali mwaka jana, real sucks!)
5. Sisi wengi we hate Seria A football but love Jose M (y?, coz ana maneno mengi kama m-bongo, tehetehe!)

Mkubwa ni mshabiki wa Barca but sipendi timu inayocheza pasi 200,possesion 85% then hakuna goli
Jamaa walizidi kuwa overrated ,huko Italia sijui watampa nini Mourinho
 
Mkubwa ni mshabiki wa Barca but sipendi timu inayocheza pasi 200,possesion 85% then hakuna goli
Jamaa walizidi kuwa overrated ,huko Italia sijui watampa nini Mourinho

Barca ukicheza mpira wao lazima wakufanye kitu kibaya.
Jana wamekutana na kisiki, Moriounho baba wa tactics na mind games.
...
 
Nimeipenda sana hii:
"This match was difficult with 11 players... with 10 versus 11 it was historic" - Jose Mourinho
 
Back
Top Bottom