Wasifu wa Ally Salum Hapi

Nakubaliana na wengi. Huyu Homeboy anajiweza sana. Kama ataendelea na tabia yake hiyo basi kwa CCM ana nafasi kubwa.
Ila kwa upande mwingine, kwa uwezo wake huo, angeliweza kupigana mwenyewe na kufika mbali bila ya kubebwa.

Matatizo ya kubebwa mdogo wangu ni kuwa siku ikibidi kwenda kuzima moto, basi wewe watakuwa KAFARA. Na hutaweza kubisha kwa sababu umeshafadhiliwa sana na hao jamaa.

Kama una akili, CHUKUA CHAKO MAPEMA na ukimbie haraka sana Siasa. Huko uliko wameshaanza kuraruana sasa hivi na siku zinavyokwenda basi wataanza kumla mzima mzima kila mpinzani wa kundi fulani ndani ya CCM. Sijui hapo wewe utajiweka kundi gani.

Kichwa unacho, huhitaji GAMBA kubebwa. Waombe wakupeleke ukachukue Masters na ukitoka huko, unakuwa na wewe Chenge wa Nzega kama siyo Mkono. Utakuja kuishia kuwa kama Mchumi wa first class Nchemba Mwigulu Lameck Mkumbo.
 
namjua huyu dogo toka enzi za akina owawa nilidhani mpiganaji kumbe gamba loh, alikuwa akipewa nafasi sana yakuzungumza wakti wa mgomo. ni mzunguzaji mzuri!!!!!!!
 
Kwa ukumbusho tu, haya yalikuwa ndiyo maoni ya Salum Ally Hapi kuhusu kifo cho Mwangosi;
Salum Ally Hapi said:
  • Marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida.
  • Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.
  • Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.
  • Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuia.
  • Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
  • Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.
  • Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.
  • Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.
  • Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.
Kwa bahati mbaya akadondoka, bomu likamlipukia kabla hajalitoa...HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLISI
Kumbe ndiye huyu kilaza mchumia tumbo aliyedai marehemu Mwandishi Daud Mwangosi alipewa bomu akawalipue polisi!
Bila shaka yoyote kilaza kama huyo, hifadhi yake lazime iwe huko huko CCM! Nazidi kuichukia CCM, kiwanda cha kuzalisha mafisadi!

369213_100000876702057_873153215_n.jpg


Salum Ally Hapi
MKT WA CCM (UDSM), MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM!
 
Mkuu Peres,

1.Pale Bwiru Boys Technical Secondary School (BBTSS) alichaguliwa akiwa kidato cha tatu(form three) na si form two wakati wa utawala wa Kisuu.

2. Ni kweli kwa wale tuliopita Technical school kuna ugumu wa masomo, na tulikuwa hatusomi "History subject"..lakini si jambo la kushangaza kwa mwanafunzi aliyekuwa akisoma sayansi(PCM/PCB) kama Ally Salum kufaulu high school INGAWA hakusoma somo hilo baada ya elimu ya msingi(Primary School).

Nimjuavyo mimi, ASH ni kiongozi kwa maneno na hana msimamo thabiti, hata katika hatua ya usaliti mara baada ya kusaliti baadhi ya viongozi waliokuwa katika serikali yake kwa lengo tu la kulinda heshima ya "ukiranja mkuu" labda watu wa BBTSS walioachwa pale kama asigwa waendeleze hapa.

Pili ni mtu wa maamuzi mawili mawili (Kigeugeu), hii imeshaelezwa hapo juu katika thread hii na wachangiaji wengine.
 
Last edited by a moderator:
Peres mdogo wangu unanishangaza sana! Ulitegemea salum agombee wapi?
 
Last edited by a moderator:
Baadhi yetu tuliokuwa kwenye bunge la DARUSO wakati huo tunajua Peres amemchora vizuri sana Ally, hakuacha makunyanzi wala makovu ya uso wake!
 
Huyu dogo hana msimamo kabisa, ni mpenda madaraka.

Nakumbuka tukiwa UD mimi nikiwa madarasa mawili mbele yake kitivo cha sheria kwenye uchaguzi wa mwaka 2008 wa rais wa DARUSO sisi tulikuwa na mgombea wetu anaitwa PASIENCE MLOWE na SALUM alikuwa anamuunga mkono ODONG ODWAR (raia wa Uganda), ilipofika siku ya uchaguzi jina la mganda likatolewa sababu alikuwa anatumia lugha ya matusi yeye na makampeni wake, salum akishirikiana na OWAWA STEPHEN, DAVID SILINDE (MB Mbozi CHADEMA) na DEO MUNISHI (KATIBU BAVICHA TAIFA) wakaanzisha mgomo mkubwa chuoni sisi tukaendelea na uchaguzi mgombea wetu akashinda tatizo ikawa ni bungeni kupitisha jina la waziri mkuu.

Hapa ndio nilipojua unafiki wa SALUM alitufata akatuambia tukimpa UWAZIRI WA ACCOMODATION basi atashawishi kundi lake lituunge mkono bungeni tukamkubalia lakini kikwazo akawa DAVID SILINDE (MB CDM mbozi) yeye alikataa katu katu HAPO NDIPO SALUM ALIONESHA NI KIJANA ASIE NA MSIMAMO NA HAFAI KUAMINIWA ATA KIDOGO.
 
Pamoja na kuwa ni mtumishi wa magamba, kuna kitu kimenivutia kwenye historia yake.
Jamaa alitoka shule ya Tech O-level, akasoma HKL Advance including History ambayo hakuwahi soma O level lakini bado akasukumia mabanda mawili na B moja, yaani div 1 point 4. Basi jamaa ni mkali sana!


Sio lazima awe mkali wakati mwingine paper za Tanzania hununuliwa mie siangalii divisheni za watu walizopata au madaraja kama akina Mwigulu Mchemba maana unakuta watu wanadivisheni kali au madaraja ya juu katika shahada lakini ukifanya nao maongezi au ukiiwasikia wakiongea kwenye midaharo au kwenye kutoa nasaha ni weupe kichwani.
 
Hawezi kushinda kwani mpaka sasa uchaguzi level za mikoa mikoa yote walioshnda kambi ya lowasa kasoro dar,pwani na kagera ndo watu wa membe wameshnda,membe mpaka home kwale lindi kamanda wa lowasa kashnd.
 
Nachukia sana kuona mtu kama huyu anaegombea cheo kikubwa namna hii kwa kuwa mnafiki, namua kwani nilisoma nae Bwiru boys tech sec school.Najua wale wazee wa Lumumba na Mkwawa Kawawa mtakuwa mnajua lile sakata,ufirauni wake na Bwiru girls.

kimsingi mtu kama huyu mwenye uroho wa madaraka kama ninavomjua sidhan safari yake ni ndefu,wanaobisha wakae wasubiri.
 
Hawezi kushinda kwani mpaka sasa uchaguzi level za mikoa mikoa yote walioshnda kambi ya lowasa kasoro dar,pwani na kagera ndo watu wa membe wameshnda,membe mpaka home kwale lindi kamanda wa lowasa kashnd.
Mkuu nimekupata vema, ila kambi ya Sitta yupo Paul Makonda, Kambi ya Membe yupo huyu Salum Ally Hapi, sasa embu jaribu kutumwagia mgombea mwingine ambaye ni kambi ya Lowassa.
 
Sikonge,

Mchungaji mwenyewe povu linamtoka akisikia Mwakalebela 2015 ndo mwisho wake kuitwa Mheshimiwa Mark my word


Pamoja na kwamba umejitahidi kutoka nje ya mada lakini ukweli ni kwamba watoa rushwa kama mwakalebela ndio tunawapenda kupambana nao katika uchaguzi, hasa huko tunakoelekea 2015.
Alishindwa lowasa kumnusuru mkwe wake Arumeru pamoja na kuhamishia kabenki kadogo kule itakuwaje kwa mwakalebela anayehonga vitumbua na chai!!
 
Kwa ukumbusho tu, haya yalikuwa ndiyo maoni ya Salum Ally Hapi kuhusu kifo cho Mwangosi;
Kumbe ndiye huyu kilaza mchumia tumbo aliyedai marehemu Mwandishi Daud Mwangosi alipewa bomu akawalipue polisi!
Bila shaka yoyote kilaza kama huyo, hifadhi yake lazime iwe huko huko CCM! Nazidi kuichukia CCM, kiwanda cha kuzalisha mafisadi!

369213_100000876702057_873153215_n.jpg


Salum Ally Hapi
MKT WA CCM (UDSM), MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM!

Hawa ndio wanasheria wanaotegemewa na ccm, ukisoma maandiko yao tu unagundua kwamba pamoja na kuwa na vyeti vya degree lakini vichwa vyao ni vitupu.
Na ndio maana nchi hii haiwezi kuwa na mkataba unaolinda maslahi ya umma kwakuwa wanasheria wenyewe ndio hawa hawa wa kuuza sura.
Inawezekanaje mwanasheria ambaye kichwa yake iko vizuri anategemea msaada wa rizimoko ili kufikia malengo ya kisiasa? katika hali kama hiyo hata degree yake ya sheria inakuwa ni upuuzi mtupu. Hata hivyo wacha achaguliwe tu kuwa makamu mwenyekiti wa uvccm ili naye ashiriki kikamilifu kuweka udongo kwenye kaburi lao kufikia 2015.
 
Hiyo story iliyotolewa hapo juu kuhusu Hapi inamashaka, imejawa na chuki binafsi,majungu na pia ipo ktk kurudisha nyuma harakati za maendeleo la taifa letu.inawezekana ni kikundi maalum zid ya kumpinga Hapi.
Ukweli ni kwamba hapi ni kijana mahiri,mchapakazi na ci mtu wa makundi.hiv mtu kujishughulisha ktk harakati za kulipeleka mbele taifa lake iwe ni kosa.na mbona hayo ndugu mtoa mada hukutueleza tangu zamani, kulikono leo baada ya kujitoa kijana wanzega kuwania nafasi hii? Tunasema hizo ni siasa za majungu na fitna na zimepitwa nawakati.
 
Sisi vijana wenzako ndio uliotufuata kwa kutushauri kuwania nafasi hii na nyota yako ya uongozi imejionyesha mapema nakumbuka tangu ulipokuwa pale chekechea lutheran mnamo miaka ya 1993 nzega ulichaguliwa kuwa kiongozi na ulidumu kuwa kiongozi kwakila hatua ulioifikia mpaka Udsm.hiv kama mtu mbaya, kweli unaweza kukubalika na wenzako kwa kiasi hiki tena ktk hatua hizi zote? Jaman Hapi ni mtoto wa maskini mwenzetu na tena mama yake mpendwa ni KARANI WA HALMASHAULI, anasimama mwenyewe yeye kama yeye tunapenda kuwaambia wapenda maendeleo ya taifa letu, tuachane na propaganda za makundi na wasiopenda maendeleo.
 
Sisi vijana wenzako ndio uliotufuata kwa kutushauri kuwania nafasi hii na nyota yako ya uongozi imejionyesha mapema nakumbuka tangu ulipokuwa pale chekechea lutheran mnamo miaka ya 1993 nzega ulichaguliwa kuwa kiongozi na ulidumu kuwa kiongozi kwakila hatua ulioifikia mpaka Udsm.hiv kama mtu mbaya, kweli unaweza kukubalika na wenzako kwa kiasi hiki tena ktk hatua hizi zote? Jaman Hapi ni mtoto wa maskini mwenzetu na tena mama yake mpendwa ni KARANI WA MANISPAA, anasimama mwenyewe yeye kama yeye tunapenda kuwaambia wapenda maendeleo ya taifa letu, tuachane na propaganda za makundi na wasiopenda maendeleo.

kwa maoni yangu hapo mwishoni ndio umeharibu,"eti tumchague ni masikini mwenzetu"yani tusiangalie sifa zake za kiuongozi ktk sehemu mbali mbali alizopata kuongoza badala yake kwasababu ni mwenzetu(masikini) tumchague,mbona mhe Pinda anajiita ni mtoto wa mkulima lakini hatujaona akiwatetea hao wakulima,wacha zimwagwe pumba na mchele pamoja wenye akili wachambue wakafanye maamuzi sahihi.mwisho mtu asiyekua na common stand hafai kabisa,vile vile mtu ambae price yake inafahamika hatufai kabisa.
 
Huyu si ndie aliyeunga mkono mauajia ya Mwangosi kupitia facebook alipoona upepo mbaya akaiondoa post nas kuomba radhi huku akisingiza akunti ilivamiwa? Nakajua haka kajamaa kanafiki ni mwisho. Ila huko Magambani ndio nyumbani so mchagueni tu jamani
 
Sisi vijana wenzako ndio uliotufuata kwa kutushauri kuwania nafasi hii na nyota yako ya uongozi imejionyesha mapema nakumbuka tangu ulipokuwa pale chekechea lutheran mnamo miaka ya 1993 nzega ulichaguliwa kuwa kiongozi na ulidumu kuwa kiongozi kwakila hatua ulioifikia mpaka Udsm.hiv kama mtu mbaya, kweli unaweza kukubalika na wenzako kwa kiasi hiki tena ktk hatua hizi zote? Jaman Hapi ni mtoto wa maskini mwenzetu na tena mama yake mpendwa ni KARANI WA MANISPAA, anasimama mwenyewe yeye kama yeye tunapenda kuwaambia wapenda maendeleo ya taifa letu, tuachane na propaganda za makundi na wasiopenda maendeleo.

Mkuu kuna watu Tanzania hii hii, wasio na kazi achilia mbali hiyo ya UKARANI WA MANISPAA.
Pili, huo umaskini unaupima kwa kuwa mlisoma naye chekechea?
Awe na sifa tu, hicho ndio kina matter.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom