hivi wakuu sugu ana watu anaofanya nao kazi mfano wa kusoma na ku-edit taarifa zake kabla hazijaingia kwenye public domain?ningependa kujua tu!
the AUTHOR!
Kwaaaa kwa kwa kwaaa.
Sugu ni kama mvua kama nanyesha nanyesha......wanga huku na kule nawapa dol la kat*!
..........Kweli itakuweka huru.
kutoa changamoto tu kwenu,Sugu ameanza harakati za kutetea vijana wazi kupitia muziki na hata mahojiano ktk press kabla ya Mnyika,Zitto,Nape,Bashe n.k! Tusimbeze jamani tuwaenzi ma legendary wetu! Siasa zisitupindue
Kama wewe ni public figure na umefanya mazuri,public ndio watakuwa wasemaji wako! Unafikiri nyerere ana msemaji? Mazuri daima huishi kwenye mioyo ya watu na watakuzungumzia kwa hayo ndugu.Hivi wewe ni msemaji wa miss tatuu Jf?
Mnaoleta kiingereza kibovu cha Sugu hapa JF mnamuaibisha mwenzenu tu.
Mnaoleta kiingereza kibovu cha Sugu hapa JF mnamuaibisha mwenzenu tu.
Hivi sugu anaitambua nafasi yake ktk jamii?.
Kweli shule ni muhimu.
Sugu bado anasumbuliwa na madhara ya ndumu za utotoni yule. Unajua madhara ya ganja huwa yanakaa miaka 40 kichwani kwahiyo jamaa bado ana miaka 33 zaidi kabla ya kurudia hali yake ya kawaida.
Sugu bado anasumbuliwa na madhara ya ndumu za utotoni yule. Unajua madhara ya ganja huwa yanakaa miaka 40 kichwani kwahiyo jamaa bado ana miaka 33 zaidi kabla ya kurudia hali yake ya kawaida.