Elections 2010 Huyu ndio Raisi wetu akiwa Ikulu

Halafu jamaa anatabasamu wakati kina mama wana hali mbaya sana

hao wamama sindo walikuwa wanasema mwenyewivu ajinyonge, na kwa taarifa yako wanawake wengi ndo walimuunga mkono kwa hiyo "mjinga ndiye anayeliwa"
 
Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli haiwezekani kabisa kuikomboa Tanzania hata tu kwa kuwa na majengo mazuri ya hospitali na vitanda hata kabla hatujamfikia mtu mmoja mmoja?? Mungu aturehemu na kuwatoa hawa viongozi mioyo ya mawe waliyo nayo na kuwapa miyo ya nyama wawe wanaona huruma

Hapo yuko kwao, juzi baada ya kuapishwa alienda kupumzika huku na walimpokee kwa ngoma na nyimbo nyingi tu. Naye alijumuika kusakata moja ya ngoma. Hii inashangaza sana, mtu amekuwa mbunge wa eneo hilo kwa muda mrefu na sasa ni rais wa nchi lakini ameshindwa kuhimiza mipango ya maendeleo kwa watu wa jimbo lake. Hawa watu wa hapo wao kazi yao ni kuchoma mkaa tu basi.

Kwa hiyo tusitegemea makubwa kutoka kwa huyu jamaa. Miaka mitano impotea na mingine mitano tena itapotea kwenye uongozi wa Tanzania.
 
Charity begin at home. sasa kama Kikwete hali ya kijijini kwao ndiyo hiyo, kuna lipi tena anaweza kulifanyia taifa?
 
Hii ni kiboko kwelikweli!!! Wakati wa kampeni anakubali kukaa mpaka chini. Ila kabla na baada vumbi hataki kulisikia!!

Vipi juzi hapa alienda vacation huku kijijini kwao kwa muda wa siku mbili tatu. Ina maana ameshajenga ikulu ndogo huko?
 
Vipi juzi hapa alienda vacation huku kijijini kwao kwa muda wa siku mbili tatu. Ina maana ameshajenga ikulu ndogo huko?

Amekwisha jenga makazi yake ya kudumu huko kijijini kwao Msoga. Amejenga kijiji chake kilichozungukwa na nyumba za jirani za mbavu za mbwa lakini yeye zake ni kasli mithili ya kijiji cha marehemu Mobutu kule Zaire!! Msioamini nendeni mkaone nyumba hizo zinaonekana hata ukiwa barabarani unapoelekea Tanga au Moshi!! Most likely huyu jamaa atatughalimu sana wakati wa second term yake kwani dalili zinaonesha kuwa atatumia muda wake mwingi huko kijijni kwao { hata pengine kuhamia kabisa kujenga barabara ya Bagamoyo-Msata ikiwa majo ya sababu] na yeye ana retinue kubwa ya wapambe!!
 
Amekwisha jenga makazi yake ya kudumu huko kijijini kwao Msoga. Amejenga kijiji chake kilichozungukwa na nyumba za jirani za mbavu za mbwa lakini yeye zake ni kasli mithili ya kijiji cha marehemu Mobutu kule Zaire!! Msioamini nendeni mkaone nyumba hizo zinaonekana hata ukiwa barabarani unapoelekea Tanga au Moshi!!

Jamani kuweni waungwana kidogo basi kwani mbona kuna wagombea wengine wametumikia asasi za kidini zenye misaada na hawakutumia misaada kujenga nyumba za majirani zao wanakotoka? Hivi lini watu wataacha kucritiseze viongozi waliopewa ridhaa? mimi namuunga mkono Mhe Mkapa kuna watu wanawivu wa kike!
 
Doug%252BPitt%252BNamed%252BGoodwill%252BAmbassador%252BTanzania%252BSw4srOZgh2El.jpg

Huyu ni RAIS WA NEC
 
Jamani kuweni waungwana kidogo basi kwani mbona kuna wagombea wengine wametumikia asasi za kidini zenye misaada na hawakutumia misaada kujenga nyumba za majirani zao wanakotoka? Hivi lini watu wataacha kucritiseze viongozi waliopewa ridhaa? mimi namuunga mkono Mhe Mkapa kuna watu wanawivu wa kike![/QUOTE]

Hivi kuna wa kiume?na huyo Mkapa hajui mama yake ni wa kike?
 
mbona zile pete zingine sizioni au vipi?
Conquest-bora roho kuliko kihoro:nono:
 
Ntemi, Kuunga mkono rais anayekejeli watu na kufurahia mateso ya watu wake ni jambo baya na lisilo na utu. Tujaribu kuwa na ruhuma na watu wetu ambao uwezo wao wa kuchambua na kufanya maamuzi ya kuwasaidia ni madogo. T-shirt na Kanga kwao ndicho walichoona cha kuwasaidia kwa Kikwete pia anajua hawana nguo za kuvaa na angependa waendelee kuwa hivyo ili yeye na kizazi chake waendelee kuneemeka. Mimi na namini pamoja na watanzania wenye mtazamo wa utu hawamwonei Kikwete Gere bali wanamwonea huruma kwa kukosa UTU kwa watu wa nchi yake. Tunachokataa hapa ni ubinafsi na si maisha mazuri ya Kikwete
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom