Huyu ndie shetan wa leo aliearibu hewa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Unajua mapenzi sio lazima mpaka ufike nyumban upewe maji ya moto la haasha kuna wengine tuna mapenzi na bunge letu
na kila siku tunatamani kuona mungu wakifanya kitu fulan kwa ajili ya taifa
pengine utakuwa unasubru taarifa ya habari kuona upuuzi aliofanya mwnyekiti wa leo akikaimu sspika wetu yaanio leo
pamoja na binti kiroboto kuwa na matatizo yake kwa kweli leo hii nimemkumbuka sana sana yule bibi kama si kuwa na akili
wasingeruhusu ujinga uliotokea leo na kufanya sasa watoto kukataa kwenda shule wakitaka kuangalia leo kichekesho gani kinatokea bungeni.....

Ndugu zangu huyu bana mnaemwina yaani huyu ndie alichafua kabisa hewa afadhali ya wengine ila kama nilivyosema tunalaumu ila ni vyema tukaomba elimu zao wengi wameingia kuptia wagnga hapo dodoma na ndio maana leo hii wamemfanya hata mama yetu rwakatare kuwa kimya sababu majini yao ni maakali na mama anafikiria kuaribu ajira aakiongea against

ndugu yangu deo usitafute umaarufu utaaibika uliza hao bikira waliochaguliwa walivyokuja na kasi na leo hiio hata kuongea awaonge tenaaaa soma nyakati kaka yangu utakuja juta
 
huyu mbunge hana akili kabisa!mwenye cv yake aiweke hapa!nasikia alikua polisi akafukuzwa baadae akawa kanjanja wa habari
 
Jamaa kajifunze kuunda maneno kisha kutunga sentensi na baadaye aya ili thread zako ziwezinasomeka na kueleweka vizur.Yaani thread zako hazinadressing utadhani bata kaharisha.
 
Jamaa kajifunze kuunda maneno kisha kutunga sentensi na baadaye aya ili thread zako ziwezinasomeka na kueleweka vizur.Yaani thread zako hazinadressing utadhani bata kaharisha.
m,bona jamaa anaeleweka?unataka utafuniwe kila kitu?
 
MKUU WASAMEHE JF IMEINGILIWA NA MSHAROBARO WALIOpATA DEGREE KWA KUDESA WANATAKA KILA KITUUWAMEGEE TABUMTUPU Hata zimwi anaelewa nahisi watakuwa wamepata yale mambo yrtu fruuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mpyaaaaaaaaaaaa
 
kama unaangalia td joshua kesho kuna kipindi cha walionamatatizo ya kuelewa jamani iwe kazini nyumbani jf nk ntawaletea live kaama ntawahi kufika nyumban
 
Pdidy, nakuomba usitutoe raha zetu. Una habari nzuri lakini kuiandika ni matatizo. Nakupa ofa ya bure, kabla hujarusha habari kama hii itume kwangu kwa PM, ntai edit na kukutumia tena, ukiiona sawa na haiharibu maana ikopi na kuipast katika nyuzi unayoifungua.
 
Inaonekana na ww ni walewale.tdjoshuo ndo Mola wako.
kama unaangalia td joshua kesho kuna kipindi cha walionamatatizo ya kuelewa jamani iwe kazini nyumbani jf nk ntawaletea live kaama ntawahi kufika nyumban
 
Mkuu kwa maelezo yako pamoja na pictures ulizoweka nahisi nirahisi zaidi kwa mtu aliyelishuhudia tukio kuelewa na kuchangia ila kwa tusio liona tukio bado tunahitaji utunyooshee tena maelezo au tupate chanzo kingine cha habari ndio turudi kuchangia....samahani kwa kuto kukuelewa kwa haraka na kama huta jali na muda ukikuruhusu naomba utuvute na sisi vichwa ngumu-Ahsante.
 
Mbona Pdidy unaparaganya mambo? unatuletea mambo ya siasa kwenye jukwa la mapenzi unanini? mbona nakuhisi kama una chuki binafsi na huyu Deo ebu eleza wazi amekufanya nini? Habari yako haieleweki unajazba tele,ebu punguza hasama na choyo alie pewa kapewe omba na wewe utapewa, na kumtupia majungu huyo bwana wala hakutomfanya atote sana sana unazidi kumshaua2,ebu ongea mengine hayo ya Deo muachie mwenyewe usinichefue roho mie.
 
Pdidy, watu wengi hatuna taarifa za muhimu kuhusu nchi yetu.

Ni wachache tunaojua kuwa kuna tani za samaki zimengizwa toka Japan ambazo zina mionzi ya nuklia iliyotokana na mitambo ya nuklia ilivyolipuka wakati wa Tsunami iliyookea huku mwezi Februari mwaka huu.

Ni wachache tunaojua kuwa mzigo huo umeingia sokoni hapa dar Es Salaam, achilia mikoani.

Ni wachache tunaojua hizo facts mbili kwa sabubu kuangalia na kusikiliza taarifa ya habari sasa ni anasa ya hali ya juu kutokana na shida ya umeme.

Ni wachache tunaojuwa kuwa MH. Wenje alikuwa anataka kuomba taarifa ya serikali kuhusiana na dharula hiyo ya nchi,

Mbunge anayesimama kwa papara na kutaka kuzuia kupokea taarifa bila kujua undani wa hili jambo ni msaliti na shetani ambaye adhabu yake ataipata kwa wapiga kura wake na watanzania wote kwa ujumla wao.

Pamoja na kumziba mdomo Mh. Wenje ukweli unabaki kuwa kuna dharula kubwa sana nchini kuhusu samaki hao, tunaweza kumzuia Mh. Wenje kusema lakini hatuwezi kuwazuia watu kufa na au kudhurika kutokana na kula samaki hao.

Utaifa, Uzalendo Mbele na kiherere na papara nyuma.
 
pdidy, watu wengi hatuna taarifa za muhimu kuhusu nchi yetu.

Ni wachache tunaojua kuwa kuna tani za samaki zimengizwa toka japan ambazo zina mionzi ya nuklia iliyotokana na mitambo ya nuklia ilivyolipuka wakati wa tsunami iliyookea huku mwezi februari mwaka huu.

Ni wachache tunaojua kuwa mzigo huo umeingia sokoni hapa dar es salaam, achilia mikoani.

Ni wachache tunaojua hizo facts mbili kwa sabubu kuangalia na kusikiliza taarifa ya habari sasa ni anasa ya hali ya juu kutokana na shida ya umeme.

Ni wachache tunaojuwa kuwa mh. Wenje alikuwa anataka kuomba taarifa ya serikali kuhusiana na dharula hiyo ya nchi,

mbunge anayesimama kwa papara na kutaka kuzuia kupokea taarifa bila kujua undani wa hili jambo ni msaliti na shetani ambaye adhabu yake ataipata kwa wapiga kura wake na watanzania wote kwa ujumla wao.

Pamoja na kumziba mdomo mh. Wenje ukweli unabaki kuwa kuna dharula kubwa sana nchini kuhusu samaki hao, tunaweza kumzuia mh. Wenje kusema lakini hatuwezi kuwazuia watu kufa na au kudhurika kutokana na kula samaki hao.

Utaifa, uzalendo mbele na kiherere na papara nyuma.
mkuu maneno yako ni zaidi ya ubunge nduguyangu mungu akubariki la maana usiache kuomba aijalishi unasali kwa dini gani mungu anasikia haja za mioyo yetu mwombe mungu afichue uchafu wa nchi hii hata hao samaki nipe wiki kuna siri nkubwa wameingizwa na kigoogo mmoja serikalini na sasa anajiandaa kwa hali na mali kzuiba midomo watu na kupoteza ushahdi..lakini mungu alie hai akika atoacha kuiumbua wachafu wote wanaotafuna haki zetu na watoto wetu

soma 2kor 2:14 huu ni zaidi ya msumari
 
Pdidy, nakuomba usitutoe raha zetu. Una habari nzuri lakini kuiandika ni matatizo. Nakupa ofa ya bure, kabla hujarusha habari kama hii itume kwangu kwa PM, ntai edit na kukutumia tena, ukiiona sawa na haiharibu maana ikopi na kuipast katika nyuzi unayoifungua.
hamna pdidy usifanye hivyo akiiedit kutakuwa hakuna utamu wa Pdidy tena hapa JF.. PDIDY tumwagie kitu hivi hivi bila chenga
 
Afadhali uwaambie bana sijui wanataka niedit wani ban embu mchunguze huyo sio moja wa paw
am kiddin paw bana
 
Back
Top Bottom