Huyu ndie dk. Si raha

Sielewi unamaana gani kulinganisha Dini na Mambo ya Dunia,DK Slaa ni binadamu kama wengine,swala la Totoz na Slaa wapi na wapi ?DK slaa si wa kuchezewa Ni Msomi wa kiwango cha juu,Hakurupuki kwenye maamuzi, ni Mtafiti mzoefu na uhakika na anacho kisema Watanzania tulimwitaji sana Huyo mtu atuongoze alete mabadiliko tofauti na sasa wameshika nchi wababaishaji,ndiyo maana na sema sikuelewi labda umetumwa sisi tuna taka ubongo wa DK Slaa si mambo yake binafsi, kumbuka ukijenga nyumba ya vioo usitupe jiwe
 
Eti nasikia huyu muheshimiwa anafanya kazi hii kwa sasa

Hii forum inabidi ifanye mchujo wa members, hatuwezi kuvumilia kuwa na members vilaza kama wewe. Mbona umeanzisha thread ambayo haina mantiki, afterall hiyo picha ilishaletwa humu jamvini na tukai-ignore kwakuwa ni upuuzi. Embu lete hoja za maana kama huna, kaa kimya. Period!
 
Dr. hana mabega na ubile la namna hiyo toa uchafu wako humu! Hakuna proportionality kati ya urefu na ukubwa wa umbo na kichwa cha Dr. wa ukweli.
 
Kaka Nanii na wewe Boma 2000, kwa nini kama mna muda wa ziada wa kuchezea msikae na watoto / wadogo wenu weekend hizi muwasaidie homework zao na kuwashauri kuhusu maisha badala ya kutunga tunga tungo zisizo na mtungo wala tija. Nimesema!!!
 
wewe uliyepost hii thread, you seem to be idiot kabisa!

wewe ndio wale kina zidumu fikra za mwenyekiti wa chama! nonesense kabisa
 
aliyeleta maada hajui anachoongea au kufikiri, ndo matatizo ya akili za kushikiwa. nani asiyejua kuwa dr slaa alikuwa padri au anadhani hiyo ni habari kwetu, acha kutupotezea wakati nenda kadai elfu tano tano mlizokuwa mnapewa wakati wa kampeni.
 
alie leta mada hiyo akapimwe akili? inaonyesha walivyo wachakajuaji!!!!!!!!!
 
Wanafunzimbeyazamani.jpg
 
Eti nasikia huyu muheshimiwa anafanya kazi hii kwa sasa

Hivi kabla ya kupost hii picha na kutengeneza title ya post yako ulishirikisha Ubongo wako, au akili yako umemwachia mumeo/mkeo nyumbani...? Au ulitumia makalio kufikiria.. Shame on U.. na ikiwezekana upigwe na radi ya jua kali..ms***nzi weye
 
Kaka Nanii na wewe Boma 2000, kwa nini kama mna muda wa ziada wa kuchezea msikae na watoto / wadogo wenu weekend hizi muwasaidie homework zao na kuwashauri kuhusu maisha badala ya kutunga tunga tungo zisizo na mtungo wala tija. Nimesema!!!

Mamam Mdogo hawa jamaa hata kucheza na watoto/wadogo zao, kuwasaidia homework or kuwashauri hawataweza, yaani hoja kama hizo wanazotoa zinawaonyesha wazi what kind of people these are; low lives....mediocre thinking....so what could they possibly share with younger ones? Watoto na vijana wadogo wanahitaji kuwa karibu na watu wenye busara ili walelewe katika mazingira ya ustaarabu na intellectual nourishment...so mpendwa waondoe hawa katika maisha ya watoto wadogo; wanafaa tu kukaa kijiweni kutafuta udaku na slandering about others
 
hivi we ni ndugu ya malaria sugu? anyway inaonekana jana ulilala baa a serious person never post a stupid things like u,u seems to be poyoyo
 
Back
Top Bottom